kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Urusi yang'aka kuhusu ziara ya Zelensky kule USA

    Sasa sijui wanalia nini, kwani rais wa Ukarine hana uhuru wa kufanya ziara ya nchi nyingine aitakayo??? Subirini mfumo wa Patriot usimikwe vizuri ili show iendelee... The Kremlin said that nothing good would come from Ukrainian President Volodymyr Zelensky's trip to Washington on Wednesday...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli unaoogopwa kusemwa kuhusu bwawa la umeme la Nyerere

    LEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme. JNHPP itakuwa na uwezo wa kufua umeme megawati 2,100 na kuuingiza gridi ya taifa kila siku. Hatua kubwa kuelekea nchi...
  3. JamiiForums Tanzania Kati ya Rais Samia na Hayati Magufuli nani aliona vizuri kuhusu idadi ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM?

    Hayati Magu alipunguza wajumbe wa NEC wa CCM, Samia kaongeza idadi, nani aliyeona kwa jicho la makengeza kati ya hawa Wenyeviti wawili?
  4. JamiiForums Tanzania Maandalizi ya sikukuu ya Xmas

  5. JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu ulimwengu wa kiroho

    Nina ushahidi tosha juu ya ulimwengu wa kiroho sana ila sasa ningependa kukushirikisha juu ya watoto wa kiroho na jinsi wanavyopatikana . Mara nyingi wanapatikana katika ndoto pale unapoota unazini au unafanya mapenzi huwa no kweli katika ulimwengu wa kiroho na unapata watoto kabisa niamini...
  6. JamiiForums Tanzania Nape: Muda mnaotumia kulalamika kuhusu bei za bando mngefanya shughuli nyingine

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kuna watu wanamkosoa kuhusu gharama za bando mtandaoni naye anawajibu kuwa muda huo wangeutumia kufanya kazi nyingine wasingelalama kuhusu bando. Kauli hii ya waziri, imeenda kinyume na sera ya TEHAMA 2016 inayotaka...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kujifunza kwenu wana JF kuhusu Katiba na nafasi ya Urais Tanzania

    Tunatarajia kuwa na katiba mpya hivi karibuni! Ngoja tusizungumzie hiyo ijayo tuzungumzie iliyopo! Katiba iliyopo inaitambua nafasi ya Urais kuwa ni ya watanganyika na makamo wa Rais shariti atokee Zanzibar! Kwa minajiri hiyo, huku bara, yaani Tanganyika, ndiko anakotokea Rais wa muungano wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kila mtu akiulizwa kuhusu Siri ya Mafanikio yake lazima apigilie msumari katika "Nidhamu"

    Kila mtu akiulizwa kuhusu Siri ya Mafanikio lazima azungumzie kuhusu Nidhamu Nadhani nidhamu inayozungumziwa hapa ni Nidhamu ya Pesa so vijana wanabidi kulifahamu ili Mapema.
  9. JamiiForums Tanzania Serikali na Zitto warudishana Mahakamani tena kwa kesi ya CAG Prof. Assad

    Wakati Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akijiandaa kukata rufaa kupinga sehemu ya hukumu ya kesi ya kikatiba ya utumishi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Serikali imemtangulia na kuweka kusudio la kukata rufaa. Mahakama Kuu katika hukumu yake ya Desemba 5, mwaka huu chini ya...
  10. JamiiForums Tanzania Chibu ashtukia chezo la "Salome" kuhusu mtoto

    Chibu kastukia Chezo la kusingiziwa mtoto. Kaona amtolee mbavuni madam Salome. Kuna kitu cha kujifunza Kwa hawa slay Queens wa mchongo.
  11. Q

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga. Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro. === Balozi wa Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Je, utabiri wa Pep Guadiola kuhusu mshindi wa Kombe la Dunia utaenda kutimia hapo Jumapili?

    Mnamo Oktoba Julian Alvarez alipohojiwa na waandishi wa habari, alisema: "Wachezaji wa Ureno na Rodri walikuwa wakizungumza kuhusu nani angeweza kushinda Kombe la Dunia. Walikuwa wakisema Ureno, Ufaransa, na mataifa mengine ya Ulaya. Kisha Pep [Guardiola] akasema, 'unajua nani ana nafasi nzuri...
  13. JamiiForums Tanzania Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

    Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri...
  14. JamiiForums Tanzania Lema adai Gambo anaficha ukweli kuhusu Tsh. Mil 400 za Bodaboda, Kingai aingilia

    Siku moja baada Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo kutoa madai ya kuwepo njama za kuuawa baadhi ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wa Serikali aliosema anawajua, Godbless Lema, mbunge wa zamani wa jimbo hilo amemshukia akisema analenga kuhamisha goli huku Jeshi la Polisi...
  15. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nakerwa sana na wanaodai Nalamba asali, asali ni tusi kwangu, niko upinzani kwa miaka 30 sasa nikipambana kwa Jasho na Damu

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe wakati akiongea na Diaspora nchini Marekani leo amesema anakasirishwa na wanaosema amelamba asali ili kumfanya akae kimya, na kusema hilo ni kama tusi kwake lakini anavumulia kwakuwa ni sehemu ya harakati. "Nimekuwa nikifuatilia mijadala katika...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuache unafiki kuhusu suala la Morocco

    Waafrika wengi tunadai kulalamika eti Morocco ametubagua kwa kusema ushindi wao ni zawadi kwa Waarabu na Waislamu na kuwaacha Waafrika Hivi niwaulize ni tangia lini tumewachukulia Morroco kama Waafrika wenzetu? Hawa watu sisi si ndio tunaongoza kwa kuwaita Waarabu? Hata mechi za CAF club zao...
  17. JamiiForums Tanzania Tufunguke kuhusu hii kitu kwa unavyoijua au kuisikia

    Naamini hakuna ambaye hajawahi ona hii kitu Naombeni kujua maana Na kazi yake maana nimegundua huu sio urembo
  18. JamiiForums Tanzania Marekani: Tiktok yashtakiwa kwa kudanganya kuhusu Usalama wa Taarifa Binafsi za Watumiaji

    Mwanasheria Mkuu wa Jimbo la Indiana amesema mtandao huo unawapotosha watumiaji wake hasa watoto kuhusu kiwango cha Maudhui Yasiyofaa na Usalama kwa Mtumiaji. Katika malalamiko yaliyowasilishwa na Todd Rokita ambaye ni Wakili Mkuu wa Republican amesema kuwa Tiktok inakusanya maelezo nyeti na ya...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu Elimu ya chuo kikuu

    Samahani wakuu nilikuwa naomba kuuliza.. Hivi ule utaratibu wa kuandika barua kwenda TCU kwaajili ya kuondolewa kwenye system Yao pamoja na kuandika barua kupeleka bodi ya mikopo kusitisha mkopo ili uweze kuapply upya chuo pamoja na mkopo ikiwa kama ulipangiwa mwaka uliopita na hukuweza kuripoti...
  20. JamiiForums Tanzania Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

    Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na maji mchini, amshambulia vikali mwandishi, asema "Kuwa na shukrani".
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…