kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu lishe ya mwanadamu

    Wakuu mnakaribishwa kuuliza chochote kuhusiana na lishe na afya ya mwnadamu kwa ujumla.Ili kuelimishana na kuongeza maarifa lakini pia kujifunza njia salama za ulaji kuepuka matatizo ya kiafya.
  2. JamiiForums Tanzania Je una lolote la kumwambia mama mkwe kuhusu mtoto wake?

    Tuliopo kwenye ndoa! Je una lolote la kumwambia mama mkwe kuhusu mtoto wake?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu kuhusu kubadilisha jina kwenye NIDA Kwa mtumishi wa umma

    Naomba kujuzwa Kwa utaratibu wa kubadilisha jina Kwa mtumishi wa umma kwenye I'd yangu ya NIDA Ili majina yaende sawa ,kama iliyo kwenye ajira yangu ,nawasilisha nilishaenda NIDA ila walivyogundua mimi ni mwajiriwa hawakuendelea,na hili jambo linakuwa ni changamoto kwangu
  4. JamiiForums Tanzania Diamond kamchapa kijembe Harmonize kuhusu kumiliki Range Rover?

    Baada ya Harmonize kutoka hadharani na kutamba kwamba, hataongea na Msanii yeyote wa Afrika Mashariki ambaye hamiliki gari aina ya Range Rover! Leo Diamond Platnumz ni kama amerusha kijembe kwa Kondeboy kupitia insta story yake. Chibu ameweka video ya Zuchu ambaye amejinunulia gari aina ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kususa kuhamasisha mashabiki wenu kuja uwanjani kisa nyie sio mwenyeji ni ujinga

    Kuna hili jambo niliwahi kuambiwa ila sikulitilia maanani siku za nyuma ila wiki hii nalishuhudia tena. Pale timu mojawapo inapokuwa mwenyeji wa mechi hii ya "dabi", hiyo timu mwenyeji kwa kuwa inaenda kupata mapato yote ya mchezo ndiyo pekee inafanya hamasa. Timu ambayo ni mgeni "inauchuna"...
  6. JamiiForums Tanzania Eric Djemba Djemba: Mashine kutoka Afrika Magharibi na Siri ya Alex Ferguson kuhusu wachezaji wa Afrika

    Unakumbuka nini ukisikia jina Djemba Djemba. M Cameroon aliye lamba deal la kusajiliwa Manchester united na Alex Ferguson at his age of 21 Alisajiliwa akitokea Nandes ya ufaransa. Alipo sign deal na Manchester united akaenda kununua magari matano Kwa mkupuo. Inasemekana Sir Alex Ferguson...
  7. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu ucheleweshwaji wa malipo ya fidia?

    Habari wakuu. Ninaomba msaada wa kufafanuliwa kuhusu ucheleweshwaji wa malipo ya fidia ya ardhi iliyo twaliwa miaka 3 iliyopita na baada ya muda wa miaka 2 kupita, toka jedwali la malipo kukamilika na mlipaji kutolipa kwa wakati au kuaghirisha malipo na kuirudisha ardhi kienyeji kwa wananchi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023 Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge ahoji kuhusu misafara ya viongozi

    Mbunge wa Viti Maalum, Kunti Majala ameshauri mamlaka zinazosimamia misafara ya viongozi, kuwasiliana ili kupunguza muda wa watu kusimama njiani wakati wakiwasubiri wapite. Mbunge huyo ameyasema leo Aprili 12,2023 wakati akichangia mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kumiliki pesa nyingi

    Kuna watu wanajiuliza sana na wanapambana sana kupata utajiri, siwakatishi tamaa ila fahamu haya kisha jipime kama unachokifanya kinakufanya uje kuwa tajiri au uishi mazuri tu...
  11. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Billion 94 zimetoka kwa Vijana, Wanawake na Walemavu. Mijadala bado inaendelea mitaani, twitter na JF kuhusu maisha magumu kwa Vijana

    Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa mada mbali mbali hususani JF na Twitter. Vijana wengi wamekuwa wanalalamika sana kushindwa kuanzisha biashara za kujikimu kimaisha (Malazi & Chakula) I've been wondering kuona hili bado ni Tatizo kubwa kwa Vijana wengi ambao in reality wengi wako tired na...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani wahangaika kumtafuta aleivujisha taarifa za siri za kijeshi kuhusu vita ya Ukraine

    Serikali ya Marekani pamoja na wizara ya Ulinzi na makao makuu ya kijeshi Pentagon bado wapo na kitendawili cha kutegua mtu alievujisha taarifa za siri za kijeshi kuhusu vita ya Ukraine. Hadi sasa imefahamika kuwa taaarifa hizo zilitokea katika mchezo wa computer yaani "online game" na zilikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

    Ebhana niaje, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha. 1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sana. 2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi 3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa...
  14. JamiiForums Tanzania Kuhusu plea-bargaining inaonesha kuwa Tanzania hatuna Viongozi wanaojitambua

    Mtu anataifisha pesa kutoka kwa Mtu binafsi then huyo Mtu anakamatwa na anafanya plea-bargaining na serikali then analipa pesa kwa Serikali baada ya kukili kosa lake mahakamani kupitia ofisi ya (Dpp) na kuachiwa huru hii huku victim muhathirika wa kuibiwa pesa zake na Mali anatoka 0-0 Hivi kwa...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee badala ya kujibu hoja ya Mnyika kuhusu Wenyeviti wa PAC na LAAC, yeye amtusi Mnyika na CHADEMA

    “Ni MUHIMU sana KUJIANDAAA kabla ya kufanya CHAMBUZI za CAG. Ukiwa haujajipanga vyema, unaweza jikuta unaongea UPUUZI. Na Mwenye DHAMANA akiongea UJINGA , anaidhalilisha TAASISI aliyopewa DHAMANA kuiongoza. Ushauri wa BURE,CAG ameongea mambo makubwa na mazito. Do your HOMEWORK”. Halima Mdee.
  16. JamiiForums Tanzania Macron aitaka Ulaya isijihusishe kwenye mgogoro wa China na Marekani kuhusu Taiwan

    Macron amesema ulaya lazima ipunguze utegemezi wake kwa Marekani pia iepuke kuingizwa kwenye mzozo kati ya China na Marekani kuhusu Taiwan, "Ulaya lazima isiingie kwenye makabiliano kati ya Marekani na China kuhusu Taiwan, Wazungu lazima waamke na kuepuka kufuata mdundo wa Marekani", Prez...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo gani ulidanganywa kuhusu watu wazima na umegundua ni uongo?

    Tunapokuwa wadogo kuna mambo mengi tunadanganywa na kuamini kuhusu watu wazima. Lakini miaka inavyoenda tunagundua uongo mwingi sana. Uliamini nini na ukashangaa hakuna ukweli wowote. 1. Niamini watu wazima hawapendi wali. Si kwel hata kidogo. Wanapenda wali kuliko hata watoto. Kama uamini pika...
  18. JamiiForums Tanzania Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake

    NDOTO ZA UTAJIRI 1. 777 -Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7. 2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA. Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k 3. Kuokota pesa za sarafu za zamani. 4. Unafanya mtihani na umefaulu kwa alama za juu hadi unasifiwa. 5. Mwanamke kuota amejifungua mtoto wa kike...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Wydad nilikuwa sifahamu kuhusu Simba SC

    📝 "Nilikua siijui Simba, nimekuja kuijui baada ya kupangwa na Raja Casablanca kwenye makundi,Kwa jinsi nilivyoiona mechi mbili na Raja,inabidi mashabiki wao wazidishe maombi" Juan Carlos Garrido kocha wa Wydad
  20. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021/2022. ATCL, NHIF, Deni la Taifa, Vyura wa Kihansi, risiti za kielektroniki, Biswalo. Vyazua Mjadala

    Leo April 06, 2023 mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali, Charles Kichere ameongea na waandishi wa habari kuhusu ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22. Miongoni mwa mambo muhimu CAG amewashukuru waandishi wa habari, wenyeviti na makamu wenyeviti wa kamati za Bunge kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…