kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ileje

    JamiiForums Tanzania Bongo Zozo ana hoja kuhusu uraia pacha kwa Watanzania

    Kulingana na hoja za Bongo Zozo raia wa Tanzania waliopo ughaibuni wananyimwa fursa ya kuendeleza nchi yao. Aidha Tanzania inakosa fursa ya kupata huduma kutoka kwao Tuna Jambo la kujadili ili tupate muafaka!
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia

    Taarifa kamili hii hapa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi. Marehemu...
  3. Wakili

    JamiiForums Tanzania Ujue ukweli kuhusu NASA

    Heshima kwenu wote humu ndani. Leo napenda kushare na ninyi hii siri. Je wajua kua NASA, ni taasisi ya siri ya kijeshi ya jeshi la Marekani, ambayo serikali ya Marekani ime-invest millions of dollars ili kufanya majaribio ya makombora ya masafa ya mbali yaani ICBM, Inter Continental Balistic...
  4. MwanawaMUNGU41

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2. GHARAMA Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kuhusu bodi ya CRB

    Mheshimiwa Rais tunakuomba uteue bodi ya Contractors Registration Body. Kuna kazi nyingi zimesimama kutokana na bodi kufutwa. Kuna makampuni yanasubiri update, mengine mapya yanasubiri kusajiliwa. Maisha kwa upande wa huku kama yamesimama na athari ni kubwa Sana. Naleta kwa kwa...
  6. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Serikali fikirini kimkakati kuhusu reli ya Dar es salaam - Moshi-Arusha

    Habari wana jf. Leo napenda kuwasilisha wazo la kimkakati linaloweza kuharakisha maendeleo ukihusisha miundo mbinu ya reli hasa Kanda ya kaskazini. Ili kuboresha biashara hasa na washirika wetu wa Afrika Mashariki tunatakiwa kuwa na reli ya SGR ukanda huu. Arusha na Moshi ni eneo la karibu...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Ajira Portal

    Sorry nilituma maombi ya kazi UDSM ila wakati natuma sikuwa nimeweka profile picha, nimeweka picha deadline imeshapita. Je, Kunaweza kukawa na shida na kusababisha nisiwe shortlisted? Msaada wadau🙏
  8. RedPill Prophet

    JamiiForums Tanzania Sheria za Tanzania kuhusu ndoa zibadilishwe kulingana na mabadiliko ya Utamaduni na jamii

    Sheria za Tanzania kuhusu ndoa kuwa Mwanaume anatakiwa kulea na kuitunza familia peke yake bila pesa za mkewe kutumika inatakiwa ibadilishwe kutokana na mabadiliko ya kijamii kwa sasa maana kipindi kile mwanaume ndo alikuwa sole provider wa familia ila kutokana na mapinduzi ya kijamii ambao...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Serikali kuhusu Walimu

    Waraka kwa serikali kuhusu waalimu, serikali iwajali walimu. Ni muda sasa umepita kukiwa na manung'uniko kwa walimu katika nyanja nyingi zinazohusu maslahi yao ikiwemo mishahara yao, stahiki zao na kunyima haki na kuonewa na kuchukuliwa kama watu wa shida na kila kiongozi. Kuna haja serikali...
  10. Gwappo Mwakatobe

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu suluhisho la kudumu la kero za Muungano uliopo

    Tunapoikumbuka Aprili 26, ya mwaka 1964, tujikite zaidi katika kuepukana au kumaliza kabisa zinazoitwa kero za Muungano kwa kufanya mojawapo ya yafuatayo: Mosi, tuwe na nchi moja na serikali moja, yaani Muungano kamili (complete union). Tuachane kabisa na Muungano huu wa kubanana, kufinyana...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu real motor auction japan kama kuna mtu ameshawai agiza gari kwao

    Naomba kujua hii company hipo kwel au
  12. mama D

    JamiiForums Tanzania Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha akitoa darasa kwa mabinti na wanawake. Wanaume mnasemaje kuhusu hili!?

    Mimi nimekutana na malalamiko mengi na magomvi mengi ya mahusiano yanayotokana na hili. Hapa ndio pale mwenyezi Mungu aliwaambia wanaume waishi wanawake kwa akili. Usipotumia akili unaweza kuachwa sababu ya kukosa kazi na unaweza kuachwa sababu una kazi😁😁😁 Sisi ndio wanawake 😅😅 Cc...
  13. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Usibishe hizi ndio sifa za ajabu tulizofichwa, kuhusu wanyama na wadudu

    Mwingine Huyu HAPA Anaitwa TenkSon Scratch Nakuletea Mambo 10 Kuhusu Nyoka Huyu Anayeelekea Kupotea Duniani 👇 👇 (1) Nyoka Huyu Aligundulika Duniani Mnamo Mwaka 1624 Huko Nchini Congo BlazaVile Enzi Hizo Pakijulikana Kama Zaire (2) NYOKA Huyu Uwa Anataga Yai Moja Tu Kwa Mwaka Mzima Yai Hilo...
  14. Candela

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu kuhusu Single Mothers

    Habari wadau. Moja kwa moja kwenye hoja. Mwaka jana nikaingia kwenye penzi na single mother mmoja hivi, mapenzi yalikuwa mubashara mwanzo lakini ghafla akawa haeleweki, kufatilia nikagundua ana mahusiano na mtu mwingine nikajaribu kumuhoji akawa mkali nikasema sio kesi. Ghafla yakaanza...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Babu alinipa usia mzuri kuhusu wanawake

    Aliniambia usilegee kwa mwanamke. Eti jentlomani. Alisema mjukuu wangu Shebby achana na uzungu. Binti akikuzinguka mgonge makonzi au mbata akili ikae sawa. Alinambia uwe nare nare utachekwa. Hata stories zako achana na love stories kabisa kwa mademu. Mhudumie unapoweza mkamue sana ile kibingwa...
  16. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Nini cha kuzingatia unapoandika title ya research yako?

    Kichwa cha habari cha utafiti ni muhimu sana kwa sababu kinapaswa kuwa na maneno yanayoelezea kwa usahihi na kwa ufupi lengo la utafiti wako. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia unapotafuta kichwa cha habari cha utafiti: Eleza kwa usahihi na kwa ufupi lengo la utafiti wako: Kichwa cha habari...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tuwaelimishe vijana wanaoajiriwa sasa kwenye Utumishi wa Umma kuhusu haki na wajibu wao!

    Kwa kawaida Serikali huwa imejipanga vizuri sana inapokuwa imetoa kibali cha ajira kwenye utumishi wa umma kuhusu haki na stahiki za waajiliwa wapya. Lakini huwa kuna tatizo kubwa kwa watendaji watekelezaji wa adhima hiyo ya serikali hasa kuhusu eneo la haki na stahiki za waajiriwa wapya. Mara...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Thea Ntara ahoji kuhusu Sheria Mpya ya Umri wa Ndoa ili uanzie miaka 18

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe. Dkt. Thea Medard Ntara amehoji “Suala hili lina muda mrefu sana na Watoto wanazidi kunyanyasika kwa kuolewa na umri mdogo, Je, Serikali imejiwekea muda gani wa kufanya mabadiliko ya sheria!?, pia hamuoni haja ya kusitisha maoni ya Wadau kwasababu...
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sauti ya Hayati Magufuli inakwambiaje kuhusu mafisadi?

    Umekuwa ukisikika mara kwa mara ukisema sauti ya Magufuli ina kwambia mara hivi mara vile, lakini hatujawahi kusikia sauti hiyo imekwambia chochote kuhusu; 1. Mafisadi 2. Wezi 3. Wavivu makazini 4. Rushwa 5. Wote wanaoshiriki kupandisha gharama za maisha bila sababu za msingi Kuna kila dalili...
  20. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki. Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda. Hakika baada...
Back
Top Bottom