Usibishe hizi ndio sifa za ajabu tulizofichwa, kuhusu wanyama na wadudu

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,107
52,832
Mwingine Huyu HAPA Anaitwa TenkSon Scratch

Nakuletea Mambo 10 Kuhusu Nyoka Huyu Anayeelekea Kupotea Duniani

👇
👇

(1) Nyoka Huyu Aligundulika Duniani Mnamo Mwaka 1624 Huko Nchini Congo BlazaVile Enzi Hizo Pakijulikana Kama Zaire

(2) NYOKA Huyu Uwa Anataga Yai Moja Tu Kwa Mwaka Mzima Yai Hilo Uwa Linakuwa Linawatoto Watatu (Nyoka) Kila Mmoja Uwa anakuwa na Uzitowa kilo 18

(3) Nyoka Huyu anaposkia Njaa Chakula Chake Kikubwa Ni Nyama Ikiwemo Binadamu Na Endapo Akiwa Na Njaa Na Akakutana Na Binadamu Mmoja Basi Nyoka Huyu Hujificha Na Kumuacha Kwa SABABU Ata Akimla Mtu Mmoja Uwa Hashibi

(4) Akisikia Harufu Ya Moshi Wa Sigara Uwa anafanya Jitihada Zote Ili Afike MAHALI Moshi Huo Unatokea Na Akikuta Mtu Anavuta Sigara Yeye Macho yake Na Akili Zake Zote Zinakuwa Kwenye Sigara

(5) Anaufahamu Vizuri Ugari Lakini Mara Nyingi Anapenda Wali

(6) Nyoka Huyu Huwa Ana Umbali Mrefu Zaidi Kwenda Juu Kuliko Hercopta

(7) Anapenda Matunda Hususani Machungwa

(8) Ikifika Usiku Macho Yake Uwa Yanawaka Kama Tochi Na Uwa Inamrahisishia Kuona

(9) Hapendi Kujichanganya Na Nyoka Wengine Hivo Mda Mwingi Hukaa Mwenyewe Ama Na Mwenza Wake

(10)Nyoka Huyu Haongei Sana Mda Mwingi Huwa Anautumia Kukaa Kimya

Unajua simu ya Motorola tafadhali elewa swali kwanza 😂😂😂
FB_IMG_16823406402749880.jpg

2👉""MZIGO HUO HAPO""
Naam anaitwa san coboco.

Huyu sasa kama una moyo wa woga tafadhali usisome sifa zake maana utaogopa kila ukikaa pekee yako.

Ana sifa na maajabu mengi lakini leo nakuletea maajabu "saba tu"

=> Anapatikana kwenye eneo lenye jangwa, mbuga sehem za wazi zisizo na miti.

1. Nyoka huyu ana unene wa mita 12,000 yaan ni sawa na unene wa tajiri ya pikipiki.

2. Nyoka huyu ana sumu inayoitwa drug abuse ambayo hutumika kutengenezea dawa kama cykolin, glavidous na phycolixin.

3. Anaweza kumeza ng'ombe kuanzia 3 kwa mara moja.

4. Anaweza kutanuka na kufikia unene wa tairi ya trekta.

5. Kutokana na uwezo wake kutanuka anaweza kunywa maji kuanzia lita 100.

6. Akinyeshewa na mvua mwili wake hutoa umande na mvuke mkubwa mgongoni.

7. Ndio nyoka pekee mwenye uwezo wa kuishi ndani ya kina cha maji kwa zaidi ya miezi sita bila kutoka nchi kavu.

8. Inasemekana ana penda bifu Sana so kuwa makini asikuzingue
FB_IMG_16823413582307679.jpg

03 👉""MBABE HUYU HAPA""
Anaitwa Collin diep.

Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani.

Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu.

Apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.

1. Ana sumu inayoweza kuua ndani ya sekunde tano na mzoga ukaoza ndani ya dakika 10.

2. Ana rangi 26 mwilini mwake.

3. Anaweza kubadilika anapohisi kuwa kuna adui karibu yake na kuwa mamba.

4. Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo.

5. Ana urefu wa mita 25 yaani robo ya uwanja wa mpira wa miguu.

6. Anaweza kuruka kwa urefu wa mita 75 yaani robo tatu ya urefu wa uwanja wa mpira wa miguu.

7. Sehem aliyepita na kisha binadamu akapita kwa muda huo, anaweza kupalalaiz yaani akapata strock.

8. Anaweza kurusha mate na yakaenda urefu wa mita 100.

9. Anaweza kusikia na kuona kitu kilicho umbali wa kilomita 10.

10. Ukipata harufu yake unatoka vidonda kooni na baada ya siku chache utakufa.

11. Akishaua na akisikia sauti za vilio vya watu, anakuja karibu ya tukio kusikiliza kinacho endelea, akisikia mazungumzo kuwa atafutwe na auliwe yeye hugeuka upinde wa mvua kisha hupaa juu angani.

12. Hazalishi wala hazai kwa sababu nyoka huyu huteremshwa toka angani.

13. Hana jinsia yoyote.

14. Anatabia ya kulipiza kisasi pale alijeruhiwa. Hutoka msituni na kuja kuleta fujo mtaani.

15. Ana Iman ya dini na hujishughulisha na ibada, japo hatujagundua sehemu yake ya ibada
FB_IMG_16823415035983458.jpg

04👉 "MWAMBA HUYU HAPA"
Anaitwa San Francisco garter.

Ni nyoka mwenye maajabu makubwa na kushikilia rekodi ya dunia.

Kama muoga acha kusoma maajabu ya nyoka huyu.

Leo nakuletea maajabu 10 ya nyoka huyu.

1. Anapatikana sehem za mabonde, nyasi ndefu na mito yenye maji.

2. Ana rangi 48 kwenye ngozi yake.

3. Ana gamba la ngozi ngumu lenye unene wa nchi 6 hadi 8.

4. Ana urefu wa mita 30, na unene wa sentimita 1200.

5. Ana sumu kali inayoweza kuua kwa sekunde 3 na kisha mzoga huoza na kutoa wadudu ndani ya dakika 5.

6. Ni nyoka ambaye huishi zaidi ya miaka 100 hadi 135.

7. Anaweza kuona na kusikia sauti kitu kilicho mbali zaidi ya km 25.

8. Sehem aliye pita nyoka huyu mvua hainyeshi kwa zaidi ya miaka 7.

9. Harufu yake ni hatari kwa mama mjamzito kwani huweza kusababisha mimba kuharika.

10. Sehem atakayo onekana, husababisha ulemavu na vifo vingi kwa watoto chini ya miaka 5 hadi 8 kutokana na harufu yake kuenea zaidi ya kilomita 150.
FB_IMG_16823609950771181.jpg

5 👉 Sanda kunonga, huyu ana patikana katika bara la afrika, Kijiji kiitwacho wabahatishaji fc.
👉sifa zake 👉 01: ana Uwezo was kupiga miluzi zaidi ya nusu saa,

02: akikasirika anaweza akauza mpaka ngozi yake, katika solo la umoja was nyoka duniani.

03; alishawai kutuma onyo, kwa masela wote wanao penda kula nyama ya porini. Kuwa siku akiwashika ata wapikia bure.

04: ana mdomo mkubwa, kiasi Cha kuweza kubeba matofali ya block 50 na mifuko ya cement 10.

05: ana penda kusikiliza nachi za kihindi I'll ajifunze lugha za maadui wapya.

06: inasemekana akikupenda atakupa jiwe la dhahabh lililoko tumboni mwake. Ila ukubali kukaa nae siku70 tu.
FB_IMG_16823724804528264.jpg

👉Tutaendelea, I mean no malice to nobody.
Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉Roho begani
 
Mwingine Huyu HAPA Anaitwa TenkSon Scratch

Nakuletea Mambo 10 Kuhusu Nyoka Huyu Anayeelekea Kupotea Duniani

👇
👇

(1) Nyoka Huyu Aligundulika Duniani Mnamo Mwaka 1624 Huko Nchini Congo BlazaVile Enzi Hizo Pakijulikana Kama Zaire

(2) NYOKA Huyu Uwa Anataga Yai Moja Tu Kwa Mwaka Mzima Yai Hilo Uwa Linakuwa Linawatoto Watatu (Nyoka) Kila Mmoja Uwa anakuwa na Uzitowa kilo 18

(3) Nyoka Huyu anaposkia Njaa Chakula Chake Kikubwa Ni Nyama Ikiwemo Binadamu Na Endapo Akiwa Na Njaa Na Akakutana Na Binadamu Mmoja Basi Nyoka Huyu Hujificha Na Kumuacha Kwa SABABU Ata Akimla Mtu Mmoja Uwa Hashibi

(4) Akisikia Harufu Ya Moshi Wa Sigara Uwa anafanya Jitihada Zote Ili Afike MAHALI Moshi Huo Unatokea Na Akikuta Mtu Anavuta Sigara Yeye Macho yake Na Akili Zake Zote Zinakuwa Kwenye Sigara

(5) Anaufahamu Vizuri Ugari Lakini Mara Nyingi Anapenda Wali

(6) Nyoka Huyu Huwa Ana Umbali Mrefu Zaidi Kwenda Juu Kuliko Hercopta

(7) Anapenda Matunda Hususani Machungwa

(8) Ikifika Usiku Macho Yake Uwa Yanawaka Kama Tochi Na Uwa Inamrahisishia Kuona

(9) Hapendi Kujichanganya Na Nyoka Wengine Hivo Mda Mwingi Hukaa Mwenyewe Ama Na Mwenza Wake

(10)Nyoka Huyu Haongei Sana Mda Mwingi Huwa Anautumia Kukaa Kimya

Unajua simu ya Motorola tafadhali elewa swali kwanza 😂😂😂View attachment 2598227

2👉""MZIGO HUO HAPO""
Naam anaitwa san coboco.

Huyu sasa kama una moyo wa woga tafadhali usisome sifa zake maana utaogopa kila ukikaa pekee yako.

Ana sifa na maajabu mengi lakini leo nakuletea maajabu "saba tu"

=> Anapatikana kwenye eneo lenye jangwa, mbuga sehem za wazi zisizo na miti.

1. Nyoka huyu ana unene wa mita 12,000 yaan ni sawa na unene wa tajiri ya pikipiki.

2. Nyoka huyu ana sumu inayoitwa drug abuse ambayo hutumika kutengenezea dawa kama cykolin, glavidous na phycolixin.

3. Anaweza kumeza ng'ombe kuanzia 3 kwa mara moja.

4. Anaweza kutanuka na kufikia unene wa tairi ya trekta.

5. Kutokana na uwezo wake kutanuka anaweza kunywa maji kuanzia lita 100.

6. Akinyeshewa na mvua mwili wake hutoa umande na mvuke mkubwa mgongoni.

7. Ndio nyoka pekee mwenye uwezo wa kuishi ndani ya kina cha maji kwa zaidi ya miezi sita bila kutoka nchi kavu.

8. Inasemekana ana penda bifu Sana so kuwa makini asikuzingueView attachment 2598231

03 👉""MBABE HUYU HAPA""
Anaitwa Collin diep.

Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani.

Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu.

Apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.

1. Ana sumu inayoweza kuua ndani ya sekunde tano na mzoga ukaoza ndani ya dakika 10.

2. Ana rangi 26 mwilini mwake.

3. Anaweza kubadilika anapohisi kuwa kuna adui karibu yake na kuwa mamba.

4. Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo.

5. Ana urefu wa mita 25 yaani robo ya uwanja wa mpira wa miguu.

6. Anaweza kuruka kwa urefu wa mita 75 yaani robo tatu ya urefu wa uwanja wa mpira wa miguu.

7. Sehem aliyepita na kisha binadamu akapita kwa muda huo, anaweza kupalalaiz yaani akapata strock.

8. Anaweza kurusha mate na yakaenda urefu wa mita 100.

9. Anaweza kusikia na kuona kitu kilicho umbali wa kilomita 10.

10. Ukipata harufu yake unatoka vidonda kooni na baada ya siku chache utakufa.

11. Akishaua na akisikia sauti za vilio vya watu, anakuja karibu ya tukio kusikiliza kinacho endelea, akisikia mazungumzo kuwa atafutwe na auliwe yeye hugeuka upinde wa mvua kisha hupaa juu angani.

12. Hazalishi wala hazai kwa sababu nyoka huyu huteremshwa toka angani.

13. Hana jinsia yoyote.

14. Anatabia ya kulipiza kisasi pale alijeruhiwa. Hutoka msituni na kuja kuleta fujo mtaani.

15. Ana Iman ya dini na hujishughulisha na ibada, japo hatujagundua sehemu yake ya ibadaView attachment 2598247

👉Tutaendelea, I mean no malice to nobody.
Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉Roho begani
CHumvi haijakolea vyema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom