kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina alikuwa sahihi kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amejiridhisha na Mchango wa Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe.kutofanyiwa kazi na watendaji wa jeshi la Hifadhi. Dkt. Tulia amesema hayo June 28,2023 Bunge, Dkt. Tulia amesema...
  2. JamiiForums Tanzania Game station business: Naomba taarifa kuhusu hii biashara

    Ndugu zanguni kuna biashara huwa naionaga lakini sasa nahisi nakosa kujua naifunguaje kutokana na nature ya biashara. Biashara ya Games Station,ni biashara ambayo taarifa zake wanazo wacheza hayo magame ambao ni vijana (toto za kishua na waliorizika flani) Kwa circle yangu ya maisha Sina mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Bandari imepewa DP-World kwa kuwa utendaji wa TICTS ni mdogo

    Akielezea suala linaloendelea kuhusu mkataba wa DP-World na Tanzania ametoa sababu kuwa ni utendaji kazi mdogo wa TICTS ambao umesababisha meli nyingi ziwe zinashushia mizigo Lamu, Mombasa au Afrika kusini hali ambayo imepunguza wateja wa Bandari ya Dar es salaam. Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnamtaka Rais atoe kauli kuhusu Bandari wakati wahusika wameshatolea ufafanuzi?

    SUALA la Bandari tayari limeshatolewa ufafanuzi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Elieza Feleshi, Waziri wa Ujenzi, Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo. Sasa nyie mnataka Rais azungumze nini tenawakati...
  5. JamiiForums Tanzania DP WORLD: Uliza swali lolote kuhusu Mkataba wa Tanzania na Dubai kuhusu Bandari

    Wakuu, Sabalkheir na Eid Mubarak! Sakata letu la Bandari limechukua taswira tofauti tofauti mitandaoni, wengine wakisema “Bandari imeuzwa” wengine wakilalamikia Mkataba, wengine wakipotosha, basi alimradi tafrani. Lengo la uzi huu ni kuweka wazi na kwa ukweli kuhusu Mkataba huu. Kwa dhamira ya...
  6. JamiiForums Tanzania Nimegundua hili kuhusu wake za watu. Inaweza kukatisha tamaa kuoa

    Kwa uzoefu wangu mdogo tu katika mahusiano kwa umri wangu mdogo wa miaka 50+ kuna mambo ambayo nimeyagundua ambayo huwa yananifikirisha sana. Shughuli zangu za kikazi hunifanya nisafiri kuhama hama kila wakati. Ingawa familia ilisha settle Dar. Mimi huwa nasafiri sana ndani na nje ya nchi. Mara...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wetu Nguli Hashim Rungwe, sema neno kuhusu mkataba wa bandari nyoyo zetu zipone!

    Kwako mzee wetu Hashim Rungwe. Shikamoo. Hivi sasa nchini mwetu kuna mjadala mzito sana wa mkataba wa bandari. Mjadala huu umewahusisha wananchi wengi wakiwemo wasomi na wataalamu wa sheria, wansnchi wa kawaida n.k Sehemu kubwa ya wananchi, wanapinga mkataba huu kuwa in a long run ni kitanzi...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli hatutaki kusema kuhusu Sure Boy

    ABUBAKAR Salum ‘Sure Boy’. Fundi mmoja wa mpira kuwahi kutokea nchini. Sio huyu wa sasa anayecheza pale Yanga, hapana, huyu ni baba yake mzazi. Ndiye mwenye jina halisi la Sure Boy. Alipewa jina hilo kutokana na kazi yake njema uwanjani. Alikuwa na kasi kubwa uwanjani. Akipiga krosi na pasi...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna la kujifunza kuhusu mkataba wa DP World na wabunge wa CCM,

    Nimeuliza tu !! Japo mada hii itafutwa nusu saa ijayo
  10. JamiiForums Tanzania Putin alia lia kuhusu gharama aliyoingia ili kuwakimu Wagner, nani kamtuma

    Kuna wakati Urusi iliwahi kukana uwepo wa kikundi hiki cha Wagner, ila imejikuta ikiwakubali na Putin kukiri hadharani hela alizotumia kukidhi mahitaji yao, hela ndefu sana hadi inamuuma, $1b sio mchezo aisei, mwenyewe kawalea na nusra wamle kichwa, ndivyo huwa kwa watu wanaolea viumbe vya ajabu...
  11. JamiiForums Tanzania Tuwe na akiba ya maneno kuhusu IGA na DP World

    Wasalaam wana zengwe Hili suala la IGA na DP World limeleta mijadala mingi na kauli nyingi kinzani, gombeshi na chongeshi. Ata mimi nimeandika nyuzi hii ikiwa ya tatu, lakini yote ikiwa katika kuchakata uhalali na ukubalifu wa IGA na DP World. Kitu kikubwa ambacho bado naamini kina tunza...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ongea ya Rais Samia imebadilika tangu sakata la bandari lianze

    Kwa anayefuatilia hotuba za Rais Samia atagundua kuwa namna yake ya kuzungumza na hulka yake vimebadilika kwa kiasi flani tangu sakata la bandari lianze. Ile sauti yake ya kurelax na kujiamini imetetereka kidogo. Sina uhakika kama ni hali ya hewa na kibaridi hiki. Lakini hii yaweza kumaanisha...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu utaratibu wa utoaji huduma TANESCO kwetu tusioelewa

    Habarini wadau? Nimewauliza TANESCO kwenye thread yao hawajanijibu nimekuja kuomba msaada huku. Je, surveyor kutoka TANESCO analipwa na mteja anayehitaji kuunganishiwa umeme ndo aje afanye survey nyumbani kwako au ni bure?? Nimeuliza hivi maana mimi nimeambia nitoe pesa ili mtoa huduma hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kuhusu Rais Samia kabla ya 2030

    Salamu, huu ndio utabiri wangu kumhusu mama kabla ya 2030. Haya yote anayoyafanya ni calculated issues. Haya Mambo yanaenda kwa mpangilio ufuatao 1) 2025 Rais Samia atashinda Mama atashinda uchaguzi wa 2025. Atashinda uchaguzi kwa sababu hakutakua na katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Hakuna mwekezaji atakubali kuwekeza halafu umwambie aende Mahakama ya Kisutu ambapo Majaji wanaweza kupigiwa simu na watu wa Serikali

    "Kwanini wanaenda court ya kimataifa na sio hapa nchini? hiyo ni sheria ambayo hauwezi kupata muwekezaji. Hamna muwekezaji atakuja hapa kuwekeza pesa zake halafu kesho unamwambia aende kisutu, Kisutu ambapo mtu yeyote wa Serikali anaweza kumpigia simu jaji akamwambia huyo usimpe hukumu hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar

    Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika. Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ipi inafaa kwa Certificate kwa matokeo haya?

    Kozi ipi inamanufaa kwa ngazi Certificate kwa hay matokeo PHYS D CHEM D BIO C GEO C HIST C KISW C CIV D ENG D MATH F
  18. JamiiForums Tanzania Tulitangazwa bure Burj Khalifa...

    Ikifika mwezi wa 7 , kuna ‘mbuzi’ wawili au watatu watatolewa kafara, hii ni kwa decoding binafsi ya mtiririko wa matukio takriban matano hadi kumi niliyoya -observe, na inanipelekea kuamini hivyo. 1.) Haya majibu yanayotolewa na serikali kupitia Gerson Msigwa , Kassim Majaliwa na Hamza Johari...
  19. JamiiForums Tanzania Je, CCM kama chama tawala kiliridhia na kubariki Mkataba wa Makubaliano na DP World?

    Mkataba wa Makubaliano (Mkataba wa awali) kati ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai tayari ulishapata baraka za Rais Dr. Samia Suluhu Hassan. Kwa baraka hizo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliingia katika Makubaliano ya awali na kampuni ya DP World (DPW) ya...
  20. JamiiForums Tanzania NADHARIA Kifo cha Gavana Gilman Rutihinda

    Katika pita pita zangu mitandaoni leo nimekutana na "Twit" inayosema kwamba Gavana wa BOT Gilman Rutihinda (1989 - 1993) alifariki kutokana na ajali ya gari mwaka 1993 kama hii tweet inavyojieleza: Hata hivyo kuna article ya Mwaka 2011 hapa katika Forum inayoelezea kifo cha Gavana Rutihinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…