Game station business: Naomba taarifa kuhusu hii biashara

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,939
22,989
Ndugu zanguni kuna biashara huwa naionaga lakini sasa nahisi nakosa kujua naifunguaje kutokana na nature ya biashara.

Biashara ya Games Station,ni biashara ambayo taarifa zake wanazo wacheza hayo magame ambao ni vijana (toto za kishua na waliorizika flani)

Kwa circle yangu ya maisha Sina mtu hata mmoja alie karibu yangu anaecheza hata Game la nyoka kwenye Simu, yani wanaonizunguka wote biashara zao ni zile acha kazi ufanye kazi.

Nakuja Kwenu wajuzi,wafanyabiashara,na yeyote anaeweza nipa HINTS kuhusu hii biashara.

Gharama za GAMES husika,
Changamoto za games(mashine)
Mtaji Unaoweza Tosheleza.
Jinsi ya Kuanza
Kuchezesha ni Bei Gani
Matumizi Makubwa ya Ofisi,nk

Taarifa zote ambazo watu mtakua mnazijua kuhusu hii biashara,nitaomba nipatiwe.

Game Station hiii nataka iwe na games zote za PS kuanzia Ps ya Kwanza hadi Ps ya sasa PS 5.

NA Pia itakua na Games kama inayooonekana kwenye hizi Clip hapa Chini.

Package ya ALL GAMES IN ONE ROOF.

Mwisho Kabisa Naomba KIJANA anaejua ameshawahi kucheza Game Zote hizi na anaweza SIMAMIA ofisi kama hiii Aje PM tujue namna ya kufanya.

Nahitaji Mtu wa Kusimamia OFISI hii pindi nitakapofanikiwa Ifungua kutokana na Haya mtakayonishauri kupitia biashara Hiii.
 
Miuu inalipa Sana hi ila inahitaji mtaji mzuri

Bei za PS hutofautiana mfano PS 2 Ina Bei yake Ps 3 Ina Bei yake Ps 4 Ina Bei yake hivyo hivyo kwa PS 5

Huku kwetu
PS 3 Ni 300 (Hi haipendwi Sana)
PS 4 Wanacheza kwa 500
PS 5 700

Kama unataka Anza na PS 4 mbili na Ps 5 moja au Ps 4 moja na Ps 5 moja Weka game za aina tofauti Kama Soka magari Moto combat nk pia zingatia location nzuri

Changamoto

1.Umeme kukatika
2.Pad kuharibika
3.Kufatwa na Wazaz wa watoto kuja kukutolea Mbovu maana Madogo huiba Hata Pesa kwao ili Wakacheze game😀
 
View attachment 2673993View attachment 2673994View attachment 2673992

Mwisho Kabisa Naomba KIJANA anaejua ameshawahi kucheza Game Zote hizi na anaweza SIMAMIA ofisi kama hiii Aje PM tujue namna ya kufanya.

Nahitaji Mtu wa Kusimamia OFISI hii pindi nitakapofanikiwa Ifungua kutokana na Haya mtakayonishauri kupitia biashara Hiii.
Experience yangu kama mchezaji wa hizo games......PlaySlstation anza kuweka 3 hadi 5 ila PlayStation 1 na 2 saiv hazina wachezaji wengi

Changamoto mojawapo ninayoijua ni uharibifu wa controllers(Pad) maana zinashikwa na wengi

Pia naona siku hizi game center nyingi wamejiongeza wanaweka na huduma ya movies
 
Miuu inalipa Sana hi ila inahitaji mtaji mzuri

Bei za PS hutofautiana mfano PS 2 Ina Bei yake Ps 3 Ina Bei yake Ps 4 Ina Bei yake hivyo hivyo kwa PS 5

Huku kwetu
PS 3 Ni 300 (Hi haipendwi Sana)
PS 4 Wanacheza kwa 500
PS 5 700

Kama unataka Anza na PS 4 mbili na Ps 5 moja au Ps 4 moja na Ps 5 moja Weka game za aina tofauti Kama Soka magari Moto combat nk pia zingatia location nzuri

Changamoto

1.Umeme kukatika
2.Pad kuharibika
3.Kufatwa na Wazaz wa watoto kuja kukutolea Mbovu maana Madogo huiba Hata Pesa kwao ili Wakacheze game
Hizi bei za kuchezesha pia inategemea na hadhi ya ofisi

Kuna sehemu ofisi ya ki local tu ps4 game moja la mpira ni 500 Ila Sehemu nyingine unakuta ofisi imetulia.... furniture nzuri..mziki kwa mbali na Feni au A/c inakupepea hapa bei yake inakuaga 1000 kwa game kwa Ps4

Ila pia kuna Game centre zile za high standard kuna kipindi walikua wanachezesha Ps4 lisaa ni 5000/=,Ps5 lisaa ni 10000/= na virtual reality dakika 20 ni 10000/=
 
Miuu inalipa Sana hi ila inahitaji mtaji mzuri

Bei za PS hutofautiana mfano PS 2 Ina Bei yake Ps 3 Ina Bei yake Ps 4 Ina Bei yake hivyo hivyo kwa PS 5

Huku kwetu
PS 3 Ni 300 (Hi haipendwi Sana)
PS 4 Wanacheza kwa 500
PS 5 700

Kama unataka Anza na PS 4 mbili na Ps 5 moja au Ps 4 moja na Ps 5 moja Weka game za aina tofauti Kama Soka magari Moto combat nk pia zingatia location nzuri

Changamoto

1.Umeme kukatika
2.Pad kuharibika
3.Kufatwa na Wazaz wa watoto kuja kukutolea Mbovu maana Madogo huiba Hata Pesa kwao ili Wakacheze game😀
Niliwahi kumiliki hii biashara miaka fulani maeneo ya Kawe. Asee kuna mzazi alikuja kunivamia ghafla sina hili wala lile eti namkosesha mwanae hafanyi homework akirudi shule ni game tu.

Tulipigana mpk kwenda kuamuriwa serikali za mtaa.😂

Kuna dogo mmja mshua nilikuwa nampa mashine moja yote na Pad anaenda kucheza nyumbani kwao ananilipa hesabu ya siku nzima elfu 30 hapo nakuwa na uhakika plus hesabu ya umeme sina.

Nilikuwa napendwa na madogo na kuchukiwa na wazazi.

Ikifika usiku masela wanakuja kucheza kamali wanaweka hela ukifungwa unalipa hela ya mchezo na hela ya bet.

Ni biashara nzuri ila siwezi kuifanya tena sababu ya ugomvi na wazazi na kuitwa serikali za mtaa lakin pia age yangu sasa kudeal na watoto ni ngumu.
 
Kwa circle yangu ya maisha Sina mtu hata mmoja alie karibu yangu anaecheza hata Game la nyoka kwenye Simu, yani wanaonizunguka wote biashara zao ni zile acha kazi ufanye kazi.
Shouldn't this tell you something ?

Anyway kuna kipindi watu wanashangaa Ma-Playstation na Games hazipatikani kwenye Simu watoto wengi walikuwa wanapenda hii kitu hadi wengine kutoroka shule (hence angalia usigombane na wazazi kama ni mtaani / uswahilini)

That said sidhani kama gamers kwa Bongo ni sana..., kuna sehemu watu mpaka wana mashindano na kwenye computer zao wanaweka networking na kucheza multi-players...., Mtu anatengeneza Computer yake mwenyewe especially for gaming; yaani graphics cards tu anayoweka ni USD 1500 au zaidi (watu wa hivyo kama kuna competition anabeba li-computer lake kwenda kukesha sehemu kwenye tournament)
 
Biashara inayohusika na mkusanyiko wa watoto ni risk sana; unaweza ukazushiwa kesi za ajabu ajabu
Mkuu kwa research niliyoifanya wacheza michezo hiii wengi ni Watu wazima Age ya 20+

Mlangoni kibao kinasoma 18+ and Above.. sitaki kwa ajili ya watoto my Targets ni Watu wazima ndio mana hata games nategemea kuweka zile za watu wazima zaidi.
 
kikiboxer kwasasa gamers wengi ni watu wazima.

katika kila biashara unayofungua lazima uwe umejua unafungua kwa ajili ya watu gani.

Hata biashara ya nguo,vyakula,nk lazima ujue targets yako ni watu wa kipato kipi kundi lipi la maisha.

Binafsi target yangu ni watu wazima na si Watoto.

Watoto nitatafuta siku 1 ya Week Wnd kwa ajili yao nitai dedicate kwa ajili yao ila siku zingine zote ni sikubza watu wazima ku refresh.
 
Back
Top Bottom