Nitaenda Magogoni kuhoji hili jambo

Nitaenda Magogoni kuhoji hili jambo

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,812
Reaction score
8,166
Kuna project naiona ya kubomoa majengo ya zamani ya umma (NHC) na kujenga majengo mengine .KARIAKOO-DSM

Tukumbuke haya majengo mengi yalitaifishwa na Baba wa taifa ili yamilikiwe na umma.

Nitahoji mnajenga majengo ya umma au siyo ya umma.

Wameuza viwanja kwa gharama ya sh ngapi na pesa zipo wapi.

Kwa nini wameuza mali ya umma bila ruhusa ya bunge.

NB nimejiwekea chip for any thing happen.
 
Hili ni jambo jema, majengo hayo ya zamani ni ymezeeka na yamechoka mno!.

Yes ni mali ya umma.

Huna haja ya kuhoji hilo, jibu ninalo ni majengo ya umma.

Wameuza kwa bei ya soko, fedha zote za serikali zinalipwa kwa control number, na zikiishalipwa, zinawekwa benki kwajili ya matumizi.

Wewe ni mvivu tuu wa kujisomea, nani alikudanganya ili kuuza mali ya umma, lazima uombe idhini ya Bunge?, nenda kaitafute mandate ya NHC wanaweza kufanya nini na nini hawawezi, kisha ndipo urejee hapa!.

Its very good kuwa na chip, hiyo chip inakusaidia tuu kuwa traced, lakini haisaidii kitu chochote kuwazuia wenye kazi zao kufanya yao!, hata Balozi Polepole ana chip, ilisaidia nini?, kitu muhimu ni uwe na bima kubwa ya life insurance, ili usipokuwepo, wale yatima wako wasiteseke!.

P
 
Wanabomoa majengo ya zamani wanafuta kabisa historia
Wenzetu utakuta jengo ni la mwaka 1800 huko na bado linatumiwa na facilities zote
Zinakuwepo kwenye jengo la
Kale....
Inasikitisha sana wanavyobomoa majengo ya zamani

Ova
Hili linafanyika kwa majengo la landmark za kihistoria, sio kila jengo la zamani ni historical!.

P
 
Hili ni jambo jema, majengo hayo ya zamani ni ymezeeka na yamechoka mno!.

Yes ni mali ya umma.

Huna haja ya kuhoji hilo, jibu ninalo ni majengo ya umma.

Wameuza kwa bei ya soko, fedha zote za serikali zinalipwa kwa control number, na zikiishalipwa, zinawekwa benki kwajili ya matumizi.

Wewe ni mvivu tuu wa kujisomea, nani alikudanganya ili kuuza mali ya umma, lazima uombe idhini ya Bunge?, nenda kaitafute mandate ya NHC wanaweza kufanya nini na nini hawawezi, kisha ndipo urejee hapa!.

Its very good kuwa na chip, hiyo chip inakusaidia tuu kuwa traced, lakini haisaidii kitu chochote kuwazuia wenye kazi zao kufanya yao!, hata Balozi Polepole ana chip, ilisaidia nini?, kitu muhimu ni uwe na bima kubwa ya life insurance, ili usipokuwepo, wale yatima wako wasiteseke!.

P
That's enough ,,there is nothing more to discuss here .
 
Its very good kuwa na chip, hiyo chip inakusaidia tuu kuwa traced, lakini haisaidii kitu chochote kuwazuia wenye kazi zao kufanya yao!, hata Balozi Polepole ana chip, ilisaidia nini?, kitu muhimu ni uwe na bima kubwa ya life insurance, ili usipokuwepo, wale yatima wako wasiteseke!.
Aisee wewe kweli ni realist. Siasa ngumu sana aisee.
 
FB_IMG_1779347096393.jpg
 
Hili ni jambo jema, majengo hayo ya zamani ni ymezeeka na yamechoka mno!.

Yes ni mali ya umma.

Huna haja ya kuhoji hilo, jibu ninalo ni majengo ya umma.

Wameuza kwa bei ya soko, fedha zote za serikali zinalipwa kwa control number, na zikiishalipwa, zinawekwa benki kwajili ya matumizi.

Wewe ni mvivu tuu wa kujisomea, nani alikudanganya ili kuuza mali ya umma, lazima uombe idhini ya Bunge?, nenda kaitafute mandate ya NHC wanaweza kufanya nini na nini hawawezi, kisha ndipo urejee hapa!.

Its very good kuwa na chip, hiyo chip inakusaidia tuu kuwa traced, lakini haisaidii kitu chochote kuwazuia wenye kazi zao kufanya yao!, hata Balozi Polepole ana chip, ilisaidia nini?, kitu muhimu ni uwe na bima kubwa ya life insurance, ili usipokuwepo, wale yatima wako wasiteseke!.

P

Hili jibu lina akisi tukio la David Jumbe sijui una neno la kusema
eti watu wawe na bima una bariki upumbavu unaofanyika sio
 
Kuna project naiona ya kubomoa majengo ya zamani ya umma (NHC) na kujenga majengo mengine .KARIAKOO-DSM

Tukumbuke haya majengo mengi yalitaifishwa na Baba wa taifa ili yamilikiwe na umma.

Nitahoji mnajenga majengo ya umma au siyo ya umma.

Wameuza viwanja kwa gharama ya sh ngapi na pesa zipo wapi.

Kwa nini wameuza mali ya umma bila ruhusa ya bunge.

NB nimejiwekea chip for any thing happen.
Kwanini usmuulize meneja wa NHC kwenye Wilaya uliyopo? U-rais ni taaisisi, una shughulikia zaidi ya Watu milioni 70 sasa swali lako kuna mtu kateuliwa na anakula mshahara kwa kukupa jibu, nenda huko.
Tuheshimu Ikulu.
 
Kuuza mali ni pepo, mtu mwenye pepo hilo atauza kilakitu. Huyu wa sasa analo hilo pepo, pamoja na mapepo mengine mengi ilikiwemo la mauaji.

Ulaya hawavunji majengo, wanafanya renovation ya kutunza historia yao. Lakini bongo hata kutunza makaburi tunashindwa.
 
Kwa ya Dar labda wanafuta historia ioneshayo mengi ya majengo hayo yalijengwa na wahindi.
 
Back
Top Bottom