Wahindi wameanza kuhoji mfumo wa Kodi

Wahindi wameanza kuhoji mfumo wa Kodi

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,195
Reaction score
10,709
Miaka ya nyuma niliwahi kukutana na Naibu Waziri wa Fedha huko Dodoma kwenye kongamano moja la vijana kuhusu masuala ya fedha. Nilipata wasaha wa kuzungumza naye mawili matatu kuhusu mambo ambayo yeye yapo kwenye wizara yake.

Katika jambo ambalo nilipata wasiwasi ni kuhusu mfumo wa kodi, Mfano, Ukiwa mfanyakazi unakatwa kodi, pesa yako ya mshahara inaingia katika mfumo wa benki ambapo ili uweze kuitoa lazma kuna makato ya kiserikali katika muamala husika, ukinunua bidhaa unakatwa kodi, ukilipia umeme, pamoja na Maji unakatwa tena kodi.

Ukisema utume pesa kwa wazee kijiji wapate kuona matunda ya kijana ama binti yao, bao makato yanakuhusu.

Wenzetu Wahindi wameanza kuhoji kuhusu utitiri wa kodi ambazo kimsingi ni kodi za kijinga zisizo na tija yotote. Tunaposikia kuwa Mamlaka ya TRA imevunja rekodi ya makusanyo ya kodi inatakiwa iwe neema kuwa miradi ya maendeleo itakwenda kuwa bora na maisha ya watu kuwa mazuri kwa hatua fulani.

Wenzetu wameanza kuhoji kuhusu utaratibu huu ambao kwa wananchi wenye utimamu wanauona ni mfumo wa kuwanufaisha wachache. Je sisi tumeridhika ama tunasubiria mpaka tutoke usingizini?
 
View attachment 3290456

Nyie.endeleeni kusifu na kuabudu
 
Shida sio Kodi ,shida ni matumiz mfano pale badget kubwa Kwa ajili ya ndoto za wanasiasa walipokua wadogo wakataman sahii zao zionekane kwenye pesa za nchi alaf wengine watumie zkiwa na sahihi zao...
 
Miaka ya nyuma niliwahi kukutana na Naibu Waziri wa Fedha huko Dodoma kwenye kongamano moja la vijana kuhusu masuala ya fedha. Nilipata wasaha wa kuzungumza naye mawili matatu kuhusu mambo ambayo yeye yapo kwenye wizara yake.

Katika jambo ambalo nilipata wasiwasi ni kuhusu mfumo wa kodi, Mfano, Ukiwa mfanyakazi unakatwa kodi, pesa yako ya mshahara inaingia katika mfumo wa benki ambapo ili uweze kuitoa lazma kuna makato ya kiserikali katika muamala husika, ukinunua bidhaa unakatwa kodi, ukilipia umeme, pamoja na Maji unakatwa tena kodi.

View attachment 3290456

Ukisema utume pesa kwa wazee kijiji wapate kuona matunda ya kijana ama binti yao, bao makato yanakuhusu.

Wenzetu Wahindi wameanza kuhoji kuhusu utitiri wa kodi ambazo kimsingi ni kodi za kijinga zisizo na tija yotote. Tunaposikia kuwa Mamlaka ya TRA imevunja rekodi ya makusanyo ya kodi inatakiwa iwe neema kuwa miradi ya maendeleo itakwenda kuwa bora na maisha ya watu kuwa mazuri kwa hatua fulani.

Wenzetu wameanza kuhoji kuhusu utaratibu huu ambao kwa wananchi wenye utimamu wanauona ni mfumo wa kuwanufaisha wachache. Je sisi tumeridhika ama tunasubiria mpaka tutoke usingizini?
Mtanzania haki yake haimhusu hata kama unajitolea kumsaidia aipate.
Nakuhakikishia kuwa uzi huu hautapata watu 15.
 
Kodi za yale magari ambayo yatawasaidia Wananchi wao wameweka juu Coaster sasa hivi inafika kwa 90m,fusso Tipper inafika 90m,Mende tipper ni zaidi ya 140m,Bus luxury lina kodi zaidi ya 75m na Tanzania tupo busy na mchina wenzetu Wazambia washatoka huko gari wanazotumia ni kama hili bus linatoka SA kwenda Lusaka na kodi ya hili bus ni rafiki kwa Wazambia yapo mengi ila Tanzania lipo moja tu la Azam.hapo nimeenda kupakia Engine ya Land Cruiser inakuja Tanzania asubuhi hii.
20250402_060945.jpg
20250402_060928.jpg
 
Attachments

  • 20250402_060955.jpg
    20250402_060955.jpg
    655.9 KB · Views: 29
Back
Top Bottom