kuharibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kuwa kufanya lamination ya nyaraka zako kunaweza kuharibu thamani yake ya kisheria?

    Inaonekana maridadi. Inaonekana salama. Lakini pindi unapofanya lamination ya nyaraka halisi, kisheria unaweza kuonekana umeziathiri au kuzibadilisha bila kujua. Watu wengi hulaminate vyeti, hati za kiapo, risiti na nyaraka nyingine wakidhani wanazihifadhi. Ukweli ni kwamba, unapozifunika kwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza leo Novemba 23, 2025 na vyombo vya Habari amesema kwamba Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, wenye ushauri na wenye maswali yote yatapokelewa na kufannyiwa kazi hivyo hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaofanya chokochoko mtandaoni wanataka kuharibu uchumi wetu ili washindani wetu wanufaike

    Msigwa anasema wote wanaofanya chokochoko mtandaoni na kupitia kwenye vyombo vya habari lengo ni kuharibu uchumi wetu ili wao wafanikiwe. Ni sababu wanaona Tanzania inaendelea kiuchumi ndio maana wanafanya hayo yote, kutokana na maendeleo tuliyopiga kiuchumi kuna mpaka nchi zinakuja kujifunza...
  4. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Media za Magharibi zinatumika kuharibu amani yetu

    Sijawahi kuwaona CNN ,DW wala BBC wakiwa karibu na nchi yetu kiasi hiki Tume kuwa tukifanya mazuri mengi hata mabaya vyombo hivi havijawahi kuonekana kujikita na taarifa za nchi yetu ila wakati huu wamekuwa mstari wa mbele sana kurepoti vya kweli na visivyo vya kweli kwa ukaribu na userious...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Maandamano wakati wa uchaguzi Oktoba 29 yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka amani, we cannot accept

    Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
  6. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Mkiandamana achaneni na kuharibu mali za umma au za watu

    Kuharibu Mali za Umma au za mtu yeyote sio njia nzuri ya kufanya demonstration. Hizi Mali za Umma, ni kodi zetu ndio zinatumika kujenga. KWa akili ya kawaida tuu kituo cha mwendokasi au kituo cha polisi hakuna faida yoyote ukikichoma moto, zaidi ya hasara. Maandamano kwa watu waliostarabika...
  7. passioner255

    JamiiForums Tanzania Naona CCM wanaendelea kuharibu nchi

    Naona hamtaki kufanyia kazi sababu hasa ya maandamano mnawakamata watu wasiohusika na maandamano kama chadema na gwajima. Nk: Naona mnaandaa maandamano mengine
  8. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania "Wakati Shetani anaamua kuharibu jamii, huanza na wanawake.”

    Kwanini shetani akitaka kuharibu jamii aanze na mwanamke? kwanini si mwanaume au watoto na jamii nyinginezo? ni kitu gani ndani ya nafasi ya mwanamke kinachomfanya kuwa mlango wa jamii aidha kwa ujenzi au uharibifu? Je, maneno hayo ya mchungaji ni onyo au lawama? Alikuwa akionya juu ya nguvu...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania KISAIKOLOJIA :ALIYESHIRIKI KUHARIBU MALI NA KULETA VURUGU ILIYOPELEKEA VIFO HATOISHI KWA AMANI

    Ukishashiriki katika harakati zenye kuishia katika kuharibu mali ya mtu au yenye maslahi na roho za watu basi ujue hutokaa salama kihisia na kiroho. Leo hii wapo waliopoteza ndugu zao au baba zao kisa ulishiriki kuleta vurugu hakika danu yako na vizazi vyako havitokuwa salama kiroho. Hilo ni...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Vijana tukalinde Amani, tusikubali kushawishiwa kuharibu Amani yetu

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni leo Oktoba 12, 2025, Runzewe, Mkoa wa Geita amesema; "Nchi inayoitwa JMT iko moja peke yake, na toka nchi hii imeundwa tumepigana vita moja tu na Idi Amin na kwasababu...
  11. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania NI LINI SERIKALI ITAWAJIBIKA KWA KUHARIBU PESA YA MIRADI?

    Kuna Miradi mkubwa Magufuli aliacha na Mingine ya awamu ya sita haijazinduliwa mpaka Leo. Ucheleweshwaji wa uzinduzi au kufunguliwa wa miradi hii hupoteza mabilioni ya mapato ya pesa kodi na fursa za kiuchumi Kwa watanzania. Mfano: Masoko Makubwa yalikua yamepangwa kufunguliwa kama la...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkubwa akivuliwa nguo huchutama: CCM wazuieni vijana wenu wasijibu kwa mihemko, wanazidi kuharibu

    Kila mtu sasa ni lwake ndani ya chama! Walau mpaka jana usiku walikuwepo bado wachache wa kusema kitu.. Lakini si kuanzia usiku wa kuamkia Leo! This time limeongolewa jambo ambalo ccm katu wasingekubali kwa gharama yoyote ile liwekwe wazi.. Baada ya maonyo mengi na kutosikilizwa hatimaye Pole...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Agizo la Jaji Mkuu George Masaju ladaiwa kuharibu kesi za polisi mahakama za Mwanzo

    Ni agizo alilolitoa mapema mwaka huu baada ya kuapishwa kuwa watuhumiwa wa makosa ya jinai mahakama za mwanzo waww wanajidhamini wenyewe Tatizo limekuja kuwa gumu baada ya wanaojidhamini mahakamani kutorudi tena na kutokomea kusikojulikana. Ingawa alielekeza kuwa kesi ziendelee upande mmoja...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Watoto hawa niwafanyeje? Baada ya kuharibu TV sasa wamebamiza gari gharama za kurekebisha milioni 3

    Mwaka Juzi walidondosha TV ya Samsung ambayo nilijidunduliza na kujibana sana hadi kuinunua dukani kwa milioni 2 na nusu. Jana siku ya Jumapilii walibaki peke yao nyumbani tukiwa (na mke wangu) tumeenda kwenye shughuli ya kijamii, ufunguo huwa nauficha lakini wakagundua ulipo. Jirani...
  15. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Mama Samia kwa nini unataka kuharibu taswira ya Chama kitachokuwepo vizazi na vizazi kwa ajili ya Mitano tena?

    CCM ITAKUWEPO MIAKA MINGI IJAYO TAMAA ZA MUDA MFUPI ZISIHARIBU TASWIRA YA CCM kuna hatari CCM ikakosa Heshima na nguvu iliyonayo kwa tamaa za muda mfupi za viongozi waliopewa dhamana wakashindwa kuheshimu desturi na utaratibu ndani ya Chama cha Mapinduzi Ccm inataka kudhoofishwa kwa makusudi...
  16. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Chama kinachodiriki kushirikiana na Mataifa mengine ili kuharibu mstakabali wetu kifutwe

    Moja kwa moja kwenye mada Kila Mtanzania anajuafika kuwa amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania haifai basi kundi hilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku...
  17. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Watu 15 wakamatwa Uganda kwa kuharibu mabango ya kampeni ya rais

    Wanachama 15 wa chama cha upinzani cha National Unity Platform nchini Uganda, wameshtakiwa kwa kuharibu mabango ya kampeni ya Rais Yoweri Museveni, kwa mujibu wa ripoti ya tovuti ya kibinafsi ya Chimp. Polisi wanasema 15 hao waliharibu mabango katika mji mkuu wa Kampala siku chache kabla ya...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watu watano waliohusika pakubwa zaidi kumsaidia Magufuli kuharibu demokrasia ya Tanzania

    Utazunguka kokote ila hawa ndio walikuwa mstari wa mbele na jiwe muda wote kuturudisha kwenye chama kimoja. 1. Bashiru Ally 2. Polepole 3. Ndugai 4. Makonda 5. Afande Sirro Historia ya Tanzania mpya itakapoandikwa hawa watano hawatakosekana kama sehemu ya wawezeshaji wakuu wa utawala wa giza wa...
  19. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Haya hapa Mambo Ambayo yanaweza kuharibu maisha Yako yote na jinsi ya kuyaepuka

    Katika maisha yetu, Kuna mambo ambayo yakikutokea either kwa kupenda au kutopenda basi tambua maisha Yako yote yanakwenda kuwa ya shida, hata kama sio shida basi tambua utakuwa mtu wa msongo wa mawazo maisha Yote. Yafuatayo ni mambo hayo na namna ya kuyaepuka. 01.Ulevi wowote...
  20. Chakaza

    JamiiForums Tanzania G. Lema Kweli Unakitu Macho Yetu Hayajakiona. Maombi Yako Kuhusu Yanga na Simba Kuharibu SiasaZetu FIFA Kaja Kulimaliza.

    Ulitamka katika vitu unamuomba Mungu vile ni Simba na Yanga maana (sio kwamba huzipendi) ndizo zinatumiwa na serikali ya CCM kupumbaza watu wasijue haki zao bali warubuniwe. Miongozo na kanuni za mpira duniani pote ni kuuweka mbali kabisa mpira na siasa. Ndio maana tuliona vita kule Angola...
Back
Top Bottom