kuharibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Chama kinachodiriki kushirikiana na Mataifa mengine ili kuharibu mstakabali wetu kifutwe

    Moja kwa moja kwenye mada Kila Mtanzania anajuafika kuwa amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania haifai basi kundi hilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku...
  2. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Watu 15 wakamatwa Uganda kwa kuharibu mabango ya kampeni ya rais

    Wanachama 15 wa chama cha upinzani cha National Unity Platform nchini Uganda, wameshtakiwa kwa kuharibu mabango ya kampeni ya Rais Yoweri Museveni, kwa mujibu wa ripoti ya tovuti ya kibinafsi ya Chimp. Polisi wanasema 15 hao waliharibu mabango katika mji mkuu wa Kampala siku chache kabla ya...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watu watano waliohusika pakubwa zaidi kumsaidia Magufuli kuharibu demokrasia ya Tanzania

    Utazunguka kokote ila hawa ndio walikuwa mstari wa mbele na jiwe muda wote kuturudisha kwenye chama kimoja. 1. Bashiru Ally 2. Polepole 3. Ndugai 4. Makonda 5. Afande Sirro Historia ya Tanzania mpya itakapoandikwa hawa watano hawatakosekana kama sehemu ya wawezeshaji wakuu wa utawala wa giza wa...
  4. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Haya hapa Mambo Ambayo yanaweza kuharibu maisha Yako yote na jinsi ya kuyaepuka

    Katika maisha yetu, Kuna mambo ambayo yakikutokea either kwa kupenda au kutopenda basi tambua maisha Yako yote yanakwenda kuwa ya shida, hata kama sio shida basi tambua utakuwa mtu wa msongo wa mawazo maisha Yote. Yafuatayo ni mambo hayo na namna ya kuyaepuka. 01.Ulevi wowote...
  5. Chakaza

    JamiiForums Tanzania G. Lema Kweli Unakitu Macho Yetu Hayajakiona. Maombi Yako Kuhusu Yanga na Simba Kuharibu SiasaZetu FIFA Kaja Kulimaliza.

    Ulitamka katika vitu unamuomba Mungu vile ni Simba na Yanga maana (sio kwamba huzipendi) ndizo zinatumiwa na serikali ya CCM kupumbaza watu wasijue haki zao bali warubuniwe. Miongozo na kanuni za mpira duniani pote ni kuuweka mbali kabisa mpira na siasa. Ndio maana tuliona vita kule Angola...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Nani anaehusika kuharibu uzi wangu nikiwananga waKenya ?

    Leo jioni niliandika mada kuhusu walimu wa kikenya walivyokuwa wanakunywa nyuka mabel mstarini, lakini cha ajabu naona sijui ni wakenya wameingilia kati ? uzi ume editiwa yaani ili uonekane laini kama uji wa maziwa. Nilichokiandika hapa ni kweli na ni kweli tupu, hakuna haja ya kupepesa...
  7. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kuwanyima haki ya kuiona timu yao ikicheza fainali ya CAF maelfu kwa maelfu ya mashabiki wa Simba ni doa lisilofutika

    Kuwanyima maelfu ya Watanzania haki yao na fursa ya kuangalia mechi ya kihistoria katika uwanja wao kwa sababu za mvua ni kinyume cha juhudi zote za kuufanya mchezo wa mpira wa miguu uwafikie watu wengi zaidi. Kuna timu nyingi, zingine zina mafanikio ambazo zinahangaika kutafuta mashabiki ila...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini kuna wimbi la wakenya wameingia nchini kwa lengo la kufanya uchochezi na fujo kwa lengo la kuharibu amani ya nchi yetu

    Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wawe makini na raia wa kigeni wanao ingia nchini katika kuelekea uchaguzi mkuu, wengi wao ni Wakenya ambao ni wazoefu wa kuhamasisha vurugu wapo wengi sana. Na baadhi yao ni wataalamu wa IT wanafuatiliwe kwa makini hadi chooni. TCRA kuweni macho, wadukuzi...
  9. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Je, ya Makonda tumuachie Gambo au ya Gambo tumuachie Makonda au ndiyo ile inayosemekana kuwa Mkakati wa kuendelea kuharibu mambo sana ili Samia afeli?

    ARUSHA NI VITA YA EGO; MAKONDA VS GAMBO JIVISHE uhakimu, andika hukumu ya Paul Makonda. Ametumwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mkuu wa mkoa ni nembo ya rais. Matarajio ya Rais Samia kwa Makonda ni kumsaidia kazi na kutunza misingi ya uongozi wake ndani ya jiji...
  10. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Huenda Azam anaweza kabisa ku dominate ligi yetu ila anahofia kuharibu biashara zake

    Naangalia hapa mechi ya Azam na Dodoma inaonekana Azam anajua "kucheza"na kupata ushindi mnono ila anahofia endapo atacheza kama Simba na Yanga ataharibu biashara yake ambapo watu hawataona sababu ya kununua ving'amuzi vyake Itakumbukwa kuwa ligi kuu (Simba na Yanga ) ndio bidhaa kubwa zaidi...
  11. maiko sultan

    JamiiForums Tanzania Tabia 11 zinazoweza kuharibu ubongo wako

    1. USINGIZI USIO WA KUTOSHA Kwa mujibu wa kituo cha Sayansi ya mfumo wa neva (Neurology) cha Marekani, uharibifu mkubwa zaidi kwa ubongo wetu unasababishwa na kutokuwa na usingizi wa kutosha. Usingizi wa kutosha kwa watu wazima unamaanisha saa 7 hadi 8 za usingizi kati ya saa 24 kwa siku...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Taja watu kwenye series waliokuwa sababu kubwa ya kuharibu kila kitu

    My list - Snowfall - Alton alikuwa teja lakini familia yake ikamkubali upya, matokeo yake akaanza kusnitch, huyu mzee hana shukrani na kasababisha anguko kubwa sana la Franklin - Prison Break - (T BAG ) aiseee !! huyu jamaa ana tamaa vibaya mno ukiongeza na ukatili wake kachangia sehemu...
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania "The Crew" genge la Karia linalozidi kuharibu mpira wa Tanzania

    Ni genge la siri linaloundwa na mashabiki 12 wa timu 3 za mpira, kazi yake ni kuwaorganize mashabiki kuja uwanjani na picha za mwanasiasa fulani. Sasa wameprint picha na ujumbe wa mitano tena kwa mwana siasa huyo. Sidhani kama FIFA wamemtuma karia kuanzisha The Crew. Na yule mchambuzi yuko...
  15. S

    JamiiForums Tanzania unaweza kuishi hapa

    hii itakua mwanza rock city maisha yanataka utake risk lakini kuishi hapa ni zaid ya risk yenyewe
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nafasi ya Uongozi unayoipata Mwanamke isiwe sababu ya kuharibu familia

    https://www.youtube.com/watch?v=BQDpwewcZEw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS Songwe walia mifugo kuharibu barabara

    Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Songwe umeonyesha wasiwasi wake kuhusu uvamizi wa hifadhi za barabara unaofanywa na wafanyabiashara ndogo ndogo (machinga) pamoja na changamoto ya mifugo kupitishwa kwenye barabara, hali inayosababisha uharibifu wa miundombinu hiyo. Taarifa hiyo...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Huwa unatumia njia Gani kuharibu Nyaraka na Karatasi zenye Taarifa zako binafsi?

    Kuharibu nyaraka zinazohusiana na taarifa za kibinafsi, kama vile kiatambulisho cha NIDA, cheti cha kuzaliwa, taarifa za benki, taarifa za kadi ya mkopo, stahili za malipo, au risiti, ni muhimu ili kuhakikisha kuwa taarifa zako binafsi haziangukii mikononi mwa watu wasiostahili kuziona. Hii pia...
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Dr Bashiru ndo Mwanasiasa anayebidi kulaumiwa kwa kuharibu demokrasia ya Tanzania .

    Wakuu. Ccm ilikuwa inafanya umafia Ila alipoingia Dr Bashiru alianzisha mfumo mchafu wa kuhakikisha wagombea wa Ccm wanapita bila kupingwa. Huyu jamaa kiufupi ni mtu ambaye hastahili kupewa heshima yoyote katika Taifa la Tanzania. Leo hii Ccm hawafanyi uchaguzi wanatumia mbinu chafu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Lema azuiliwe anataka kuharibu uchaguzi

    Haiwezekani uchaguzi umeanza wewe unaitwa vyombo vya habari kutaka kuzua taharuki. Nashauri chama kimzuie asilete taharuki. Kamkimbia mh Makonda Arusha akiamini katika siasa hana tena chake
Back
Top Bottom