kugombea ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    PreGE2025 Magreth Lutufyo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya ACT kugombea Ubunge wa Jimbo la Tanganyika

    Wakuu ACT wanaendelea na arakati za maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 na sasa ni zamu ya Magreth Lutufyo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya ACT kugombea Ubunge wa Jimbo la Tanganyika. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa jimbo la Tanganyika, Ndugu Emanuel Ntinda.
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Samwel John Malecela atia nia ya kugombea ubunge jimbo la Dodoma mjini

    Ndugu Samwel John Malecela ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoani Dodoma na Mkurugenzi wa Lemutuz Media, ametangaza nia ya Kugombea Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
  3. Miss Zomboko

    Mahakama kuu yaombwa kumwondolea Sifa za Kugombea Ubunge Moses Ali

    Kampala, Uganda Ombi limewasilishwa katika Mahakama Kuu ya Uganda kutaka kumwondolea sifa mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Fedha chini ya utawala wa Idi Amin, Mheshimiwa Jenerali Moses Ali, asigombee nafasi ya Ubunge (Adjumani West County), likitaja madai ya kutokuwa na uwezo wa...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge Chaurembo aitosa Mbagala, atangaza kugombea Ubunge jimbo jipya la Chamazi

    Mbunge wa Mbagala, Abdallah Chaurembo, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Chamazi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Chaurembo ametoa kauli hiyo leo Juni 19, 2025, wakati akichangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka...
  5. Lady Whistledown

    Mtu aliacha Shule Darasa la 2 anataka kuwa Mbunge? Tutafakari vigezo vya kugombea Ubunge

    Juzi aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, alinukuliwa akisema: “Mtu aliacha shule darasa la pili anataka kuwa mbunge? Mtu asiyejua hata neno moja la Kiingereza awe mwakilishi wa wananchi?” Hii kauli imeibua mjadala mpana kuhusu sifa za msingi zinazopaswa kumfanya mtu astahili kuwa...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Jesca Magufuli kugombea Ubunge jimbo la Chato?

    Wakuu! Mtoto wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Jesca Magufuli anatajwa kuwa ni Miongoni mwa wanaotaka kugombea Ubunge kwenye Jimbo la Chato, Geita.
  7. Nipe Maji

    PreGE2025 Halima Nabalanganya wa ACT atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Mtwara mjini

    Mwanachama wa chama cha ACT-Wazalendo, Halima Yusuph Nabalanganya, Mei 22, 2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mtwara Mjini kupitia chama hicho. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu, Halima amesema hatua hiyo inalenga kuomba ridhaa ya wanachama wa ACT-Wazalendo ili aweze...
  8. W

    PreGE2025 Jesca Kishoa atangaza kugombea ubunge Iramba Mashariki

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Jesca Kishoa, ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, baada ya kupokea maombi ya wananchi kumtaka awanie nafasi hiyo. Akizungumza Mei 24, 2025, katika mkutano wa hadhara...
  9. Mindyou

    PreGE2025 RC Iringa, Peter Serukamba atangaza kuachana na Ukuu wa Mkoa na kwenda kugombea Ubunge kwenye jimbo la Lukuvi

    Wakuu, Zile mbwembwe na tashtiti za Uchaguzi zimeanza rasmi. Huyu kaamua kuubwaga Ukuu Mkoa wa Iringa na kwenda kugombea Ubunge! ======================== Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba, ametangaza rasmi dhamira yake ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu ujao, akisema sasa ni muda...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Baba Levo ajitosa Ubunge Kigoma, anajiweza kweli kuchuana na Zitto Kabwe?

    Aloooo, kweli uchawa unaenda kuharibu nchi, na kimasihara anaweza 'kumshinda' Zitto🤣🤣 kama jinsi wagombea 'walivyoshinda' viti 2020! Wana Kigoma tutawashangaa sana kura zikienda kwa chawa, itabudi tuingie kwenye rekodi ya Guiness ya kuwa wapumbavu wa Dunia! === Msanii na Mtangazaji maarufu...
  11. Bushmamy

    Arusha; wananchi washangazwa na wageni kuja kugombania kugombea ubunge kwenye ardhi Yao. Muda wowote kuliamsha

    Wakazi wa Arusha washtushwa na Siasa za Arusha kuwa zimekuwa za ajabu na kushangaza sana kwa kuona baadhi ya wakuja ambao sio wazawa wa Arusha huku wakiwa hawajui matayua Arusha , kuja kugombea uwakilishi wa ubunge katika ardhi Yao wakati sio wazawa wa Arusha huku vijana wazawa wenyeji tena...
  12. KING MIDAS

    Diwani wa kata ya Msasani Luca Neghesti kugombea ubunge Jimbo la Kigamboni.

    Luca Neghesti diwani wa kata ya Msasani amejipanga kulibeba mazima Jimbo la uchaguzi la Kigamboni ambalo kwa sasa liko wazi baada aliyekuwa mbunge wa Jimbo Hilo ndugu Faustine Ndungulile kufariki dunia.
  13. M

    PreGE2025 Tetesi za RC Kagera Fatuma Mwassa kugombea Ubunge Bukoba Mjini CCM zimeanza kuleta mgawanyiko Bukoba

    Siasa za kuelekea katika uchaguzi mkuu kwa Bukoba mjini mkoa wa Kagera zimeingia shubiri baada ya kikao cha jana usku kutaka kuvujika baada ya RC Fatuma Mwasa kueleza adhima yake ya kugombea ubunge kupitia CCM katika jimbo la Bukoba mjini. RC amewaeleza wajumbe kuwa ana baraka zote za viongozi...
  14. lost files

    PreGE2025 Zitto kugombea Ubunge: Rasmi ACT na CCM waungana kupinga mabadiliko No Reform No Election

    Huyu Jamaa Ni mtu hatari Sana kwenye siasa za upinzani,ukifatilia historia yake ya usaliti,kuvujisha texts,misimamo yake, utagundua kua anakula meza moja na watesi.. katika maandamano yake ya Jana ya kutangaza Nia ya kugombea ubunge Hakukua na polisi wala mgambo Kama wanavyofanyiwa wapinzani...
  15. F

    Ya Zitto Kabwe kugombea ubunge, je kaambiwa ataachiwa jimbo? Kwanini serikali na polisi wanamuonea Mdude Nyagali? Amekosa nini?

    Yaliyotokea wiki hii...Mdude alivamiwa na polisi akiwa amelala na mkewe, akapigwa sana bila kosa na kuchukuliwa kupelekwa kusikojulikana. Kwa maelezo ya mkewe, Waliomchukua ni polisi na kutokomea naye, walimpiga kichwani na kitu kizito na akapoteza damu nyingi. Uwezekano wa kupona ni mdogo sana...
  16. Jackbauer

    PreGE2025 Zitto Kabwe kuchukua fomu kugombea Ubunge Kigoma Mjini

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kesho Mei 04, 2025 atachukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama hicho kumteua kuwa Mgombea wa Jimbo la Kigoma Mjini ambapo akishachukua fomu ataongea pia na Wananchi wa Kata ya Bangwe. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  17. F

    PreGE2025 Jesca Magufuli anajipanga kugombea ubunge viti maalumu Geita au jimbo la Chato?

    Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge. Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
  18. R

    PreGE2025 POTOSHI Makamu Mwenyekiti wa CCM Steven Wasira kugombea Ubunge Bunda 2025

    Siyo umbea sikiliza mwenywe NCHI HII TUMELOGWA. NA HII NI KWA VILE ANAJUA ATAIBA KURA ATASHINDA! TUME IKO UPANDE WAKE ATAIBA KURA ATASHINDA
  19. matunduizi

    Vijana wenye miaka 21-30 msio na AJIRA Jitikezeni KWA wingi kugombea UBUNGE

    Kuna graduate moja asiye na ajira aliwahi kujilipua kijijini kwao akachukua form akiwa hakuna hata mjumbe moja anayemjua. Alipopeww nafasi ya kujielezea walimuelewa wazee wakapigwa chini akala ajira ya UBUNGE. Vijana muingie wa kutosha. Ni kosa kulalamika wakati hujaribu. Huwezi kujua siku yako...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 RC Chalamila: Bado sijafikiria kugombea Ubunge 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema hadi sasa hajaandika barua ya kuomba ruhusa ya kwenda kugombea ubunge hivyo yeye bado hana dhamira ya kuweka nia ya kugombea ubunge popote kama baadhi ya taarifa zinavyodai. Akiongea Jijini Dar es salaam, RC Chalamila amesema "Kuhusu swali...
Back
Top Bottom