Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Catherine Magige amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Catherine amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumamosi, Juni 28, 2025...
Mapema leo Abdallah Said Kirungu alifika Ofisi za CCM Wilaya ya Ulanga iliyopo mkoani Morogoro kwa ajili ya kuchukua fomu ya kutia nia ya ubunge katika Jimbo la Ulanga.
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Itilima mkoani Simiyu, Njalu D. Silanga amerudisha fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo hilo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Itilima jiioni ya leo June 28, 2025
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Gaston Meltus Francis, ni Mfanyabiashara maarufu katika Jiji la Dar es salaam na Kada wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) pia ambaye leo June 28 2025 amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kawe, Dar es salaam ambalo ni moja ya Majimbo yenye ushindani mkubwa ndani ya Dar es salaam.
Kupata...
Mtangazaji na mwanaharakati wa kijamii, Mkuwe Abdul Isale maarufu kama Mamy Baby, ameonyesha nia ya kulitumikia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum.
Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Tabora, Mamy Baby...
Tunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za ubunge.
Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia kugombea nafasi ya Ubunge na watakaopitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo.
Juni 2025
Mchungaji...
Aliyekuwa Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Mtumba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akieleza kuwa endapo atapata ridhaa ya chama, atakuwa tayari kuwania nafasi hiyo kwa ajili ya kuwatumikia wananchi.
Akizungumza mara...
Wananchi wa Jimbo la Uyole Mkoani Mbeya wamemchukulia fomu ya kuwania Ubunge Dkt. Tulia Ackson katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2025 hapa nchini.
Akizungumza baada ya kuchukua fomu hiyo kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la Uyole Adil Mwansepele amesema kilichowasukuma...
Wakuu mpo!
Mwaka 2024 nilitabiri Hersi atagombea ubunge mwaka 2025
https://www.jamiiforums.com/threads/anguko-la-yanga-limechangiwa-na-eng-hersi-mwenyewe-na-gsm-kuwa-na-tamaa-ya-madaraka-ya-kisiasa-mwaka-2025.2286008/
Leo nmeona taarifa kachukua fomu.
Niwaambie tu wajumbe kuwa hata msipo...
Aliyekuwa Naibu Meya wa Ilala Ojambi Didas Masaburi, amechukua fomu leo kuwani Jimbo Jipya la Kivule, Jijini Dar es Salaam. Ojambi kabla alikuwa Diwani wa Kata ya Chanika, Wilayani Ilala.
Soma, zaidi: Mchuano mkali katika jimbo jipya la Kivule. Naibu Meya Jiji la Ilala anatajwa huenda akajitosa...
Kada wa CCM, Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo ya jamii, Comrade Linus Silayo sasa rasmi anaenda kutia nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo.
Linus Silayo ni jina linalotajwa sana katika Jimbo hilo, amekuwa karibu sana kusaidia masuala ya kijamii ikiwemo yanayohusu vijana, anatarajiwa...
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mtangazaji wa kabumbu wa Azam Tv, na msemaji wa Timu ya Azam FC ametangaza nia yake ya kugombea ubunge wa jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro.
==
MWANGA NI YETU, KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE....
Salamu kwa Vijana wenzangu,
Huu ni wakati wa...
Jumuiya ya umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Tanga imewataka Vijana kujitokeza kwa wingi kuchukua fomu za Uchaguzi kwa lengo la kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika na za Udiwani na ubunge, ambapo fomu hizo zitaanza kutolewa kuanzia June 28 hadi July 2, 2025 katika...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Kata ya Nyachiluluma wilayani Geita Mkoani Geita Bi. Ester James amejitosa katika kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge katika Jimbo la Katoro.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Happiness Seneda ambaye alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe amewaaga Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo na kuweka wazi mipango yake ya kwenda kuwania Ubunge katika Jimbo la Geita.
Seneda amesema anamshukuru Rais Samia Suluhu kwa kumpa nafasi hiyo ya Katibu Tawala na kwamba alikuwa mmoja...
Mwenyekiti wa klabu ya Simba ambaye katika uongozi wake Simba imebamizwa mabao mengi kuliko wakati wowote ule Mhe Murtaza Mangungu siku ya Jumamosi Asubuhi anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kilwa Kaskazini.
Mangungu ambaye amewahi kuwa mbunge wa Jimbo Hilo kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.