kugombea ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    PreGE2025 Taasisi ya Vyombo Vya Habari (MISA- TAN) yataka waandishi wa habari kuweka hadharani msimamo wao kugombea kwenye Uchaguzi

    Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika,Tawi la Tanzania (MISA TAN), imewataka waandishi wa habari kuweka wazi uamuzi wa kugombea kwenye udiwani na ubunge ili kuepusha mgongano kimaslahi. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Aprili 14,2025 na Mwenyekiti wa MISA TANZANIA,Edwin Soko...
  2. Tlaatlaah

    PreGE2025 Kamati ya Usalama na maadili ya CCM iwaengue Watumishi wa umma watakao toroka kazini kwenda kuomba uteuzi kugombea Ubunge bila kibali

    Ifanye hivyo ili iwe fundisho kwa watumishi wa umma wenye tamaa na kila nafasi ya utumishi na wasioridhika kuwatumikia wananchi kwenye nafasi wanazotumikia kwa sasa. Majuzi, jaji mkuu alitoa angalizo kwa watumishi wa mahakama wenye nia au kusudio la kwenda kutangaza nia kugombea ubunge au...
  3. S

    Fomu ya kugombea ubunge CCM ni shilingi ngapi?

    CHAMA Cha MAPINDUZI kimetangaza kuanza mchakato wa uchukuaji fomu za Ubunge lakini kwenye tangazo hilo sijaona fomu ya Ubunge ni shilingi ngapi? au mimi sikulisoma vizuri hilo tangazo.
  4. Tlaatlaah

    PreGE2025 Kwa neema na baraka za Mungu, nitachukua fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea Ubunge kupitia CCM J’nne tar. 65.2025 saa 4 Asubuhi

    Nawatakia mema na kila la kheri watia nia wengine wote wa CCM maeneo mbalimbali nchini, wa ubunge pamoja na wale wa udiwani. Tuheshimiane na daima kua wastaarabu miongoni mwa watia nia wengine, ili hatimae mchakato huo muhimu ndani ya chama uishe kwa kwa salama na amani na hatimae tubaki wamoja...
  5. CM 1774858

    PreGE2025 Natangaza kugombea Ubunge

    == Mimi ni kada mtiifu wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwenye namba ya uanachama CM 1774858, Rasmi natangaza kugombea na kushinda nafasi ya Ubunge katika Jimbo letu kwa nguvu ya Mungu, Uzoefu ndani ya chama ni miaka 7, Naomba ushauri, mawazo na connections ni jinsi gani naweza kushinda na...
  6. Ojuolegbha

    PreGE2025 CCM yatangaza kuanza kwa mchakato wa uteuzi wa Wagombea wa Uchaguzi Mkuu 2025

    TANGAZO KWA UMMA Chama Cha Mapinduzi kinawatangazia Wanachama wake kwamba, mchakato wa ndani ya Chama wa uteuzi wa wagombea nafasi za Ubunge, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na Udiwani, kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, utazanza rasmi tarehe 1 Mei, 2025 kwa zoezi la uchukuaji na...
  7. Komeo Lachuma

    Wale ambao wanakataliwa kugombea Ubunge kupitia Chadema. Kuna Vyama vingi tu msikonde

    Mi nadhani ukiona CHADEMA wanasema No Reforms No Election. Njoo CCM, TLP, ACT, CUF, NCCR, CHAUMA n.k mbona rahisi sana. Haina hata haja ya kujiuliza mara mbilimbili. Hii kauli mbiu alianzisha Mbowe mwenyewe na ushahidi upo. Imeonekana hakuna reforms basi kusiwe na Election. Mbona rahisi sana...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Mchome wa Chadema atangaza kugombea Ubunge bila kujali harakati za "no reforms, no election"

    Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko. Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa...
  9. Mindyou

    PreGE2025 Hawa ndio Wakuu wa Mikoa wanaotarajiwa kugombea Ubunge mwaka huu na kwanini wanataka kugombea

    Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali, kutoa taarifa mapema, ili nafasi zao ziweze kujazwa kwa wakati? Sasa hali hiyo inajidhihirisha wazi, kwani baadhi ya viongozi hao, hasa wakuu wa mikoa...
  10. W

    PreGE2025 Wassira awaunga mkono vijana kugombea ubunge na udiwani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira, ametoa rai kwa vijana wenye sifa kujitokeza kugombea udiwani na ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu. Wasira ametoa rai hiyo leo Machi 16,2025, alipokuwa akizungumza na Wana CCM Wilaya ya...
  11. Just Pray

    SI KWELI PreGE2025 Sugu atangaza kugombea ubunge Mbeya Mjini, aonesha mashaka dhidi ya 'No reforms, No Election'

    Wakuuw Wakuu huko mjini Facebook nimekutana na hii taarifa ya MillardAyo na Wasafi kuwa Sugu ametangaza rasmi kugombea ubunge Mbeya mjini na anaonekana Sugu mwenyewe amepost huko X, Je, ni kweli wakuu?
  12. Tlaatlaah

    PreGE2025 Wenye nia za kugombea Ubunge na udiwani ndani ya CHADEMA wako njia panda, wajipanga kutafuta fursa hiyo vyama vingine vya siasa nchini

    Hali hiyo imetokana na chama hicho kujikita zaidi kutafuta pesa za matumizi ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa mgongo wa matumizi ya chama na kuhamasisha wananchi kutokushiriki uchaguzi mkuu huo wa kikatiba October mwaka huu 2025, mpaka pale matakwa ya chama hicho yatakapotimizwa. Wengi wao...
  13. Mindyou

    Diwani amwaga machozi mbele ya kikao akitaka Paul Makonda agombee Ubunge Arusha Mjini

    Madiwani wa jiji la Arusha wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ikimpendeza muda utakapofika achukue fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini ambalo kwa sasa lipo chini ya Mrisho Mashaka Gambo. Wakizungumza Naibu Meya wa jiji la Arusha, Abraham Mollel na Diwani wa kata ya...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Musukuma: Milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo Geita Vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Geita Dkt. Joseph Kasheku Musukuma, amesema kuwa milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  15. mriringa

    PreGE2025 Nataka kugombea Ubunge mwaka huu

    Awali ya yote nawasalimu katika jina la Mungu Baba wa Mbinguni na amani ya Bwana wangu iwe pamoja nanyi. Mimi kama kijana wa miaka 35 mwenye shahada ya kwanza ya Uchumi na ni mtumishi wa Umma nimeamua kuingia kwenye siasa na nitagombea ubunge mwaka huu kwaani sababu za kugombea ninazo na uwezo...
  16. W

    PreGE2025 Mbunge Philip Mulugo Atangaza Rasmi Kugombea Ubunge Songwe

    Miaka mitano imeshaisha sasa miamba inaenda kuomba nafasi kwa miaka mitano mingine kisha wakapige makofi bungeni na kusisitiza kuwa vijana wajiajiri ilihali wao wamekomaliaga hapo tu. === Mbunge Mlugo ameaga rasmi katika Kikao cha Bodi ya Barabara kwa niaba ya wabunge wenzake, akihitisha kwa...
  17. Just Pray

    PreGE2025 Simiyu: Mbunge wa jimbo la Itilima Njalu Silanga achangiwa Milioni moja na laki tano kwa ajili ya fomu ya kugombea ubunge, fomu ishalipiwa

    Hivi mbunge anakosa hela ya kuchukulia fomu mpaka achangiwe? Na wanalipwa posho si chini ya laki sita kila siku huko bungeni, ni yale yale wanaomchangia Rais kila siku.. Mshana Jr weka neno hapa ==== Mbunge wa jimbo la Itilima Njalu Silanga amechangiwa pesa takribani 1,586,000 kwa ajili ya...
  18. Mindyou

    PreGE2025 Wakili Mwanaisha Mndeme atangaza kugombea Ubunge jimbo la Kigamboni kupitia ACT Wazalendo. Ataweza kumrithi Ndugulile?

    Wakili Mwanaisha Mndeme ambaye ni Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje ya ACT Wazalendo, na Waziri Kivuli Viwanda na Biashara wa chama hicho, leo tarehe 6 Februari 2025 ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni mkoani Dar es Salaam katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Wakili...
  19. aka2030

    Wanamuziki waliopanga kugombea ubunge 2025

    Wengi ni baada ya kuvutiwa na Sugu Prof jay Na sasa Mwana FA Ay - isimani Fid Q - Nyamagana Madee - ubungo Japhet zabron - kahama
  20. milele amina

    PreGE2025 Davis Mosha kugombea Ubunge Jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya CCM

    Utangulizi; Ninapenda kuwajulisha rasmi kwamba Davis Mosha, ambaye ni bilionea na mfanyabiashara maarufu, atagombea ubunge katika jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba 2025 Hii ni hatua muhimu kwa ajili ya maendeleo ya jimbo letu...
Back
Top Bottom