kugombea ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa misaada makanisani na misikitini ni kigezo cha kuteulia kugombea ubunge kupitia CCM Moshi Mjini?

    Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini. Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo. Swali langu kwa wanamoshi ni hili: Je...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Abdul Nondo aungana na Zitto kulitaka Jimbo la Jimbo la Kigoma Mjini, asema "Baba Levo ni kama Kinyago kilichochongwa na ACT"

    Ndugu wananchi na wanachama wa Jimbo la Kigoma Mjini leo tarehe 15/Julai /2025 ambayo ni siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu ndani ya chama chetu nimechukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 ibara ya 21 na Katiba ya chama...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika?

    Wazanzibari wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika? Wanaruhusiwa kugombea uenyikiti wa vijiji na mitaa Tanganyika?
  4. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Boni Yai amehamia CHAUMMA na kutangaza nia ya kugombea ubunge

    JamiiCheck ni kweli kuwa BoniYai kahamia CHADEMA?
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Hatujapokea barua ya ACT kuhusu Watia Nia wa Ubunge na Udiwani kutakiwa kutoa taarifa zao kwa Jeshi la Polisi

    Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuhusu madai ya Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo kwamba wamemwandikia barua Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini kutokana na madai ya Viongozi wao kuwa wametakiwa kuwasilisha taarifa na majina ya watia nia ya kugombea ubunge na udiwani kwa Jeshi la...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kauli za kufikirisha za waziri mkuu Majaliwa akijiondoea kugombea ubunge Ruangwa.

    Amesema, 1. Sasa amewaruhusu watu wengine wakashike nafasi yake ya ubunge wa Ruangwa. 2. Wagombea wote wa ubunge waliojitokeza ni wazaliwa wa Ruangwa, wana uwezo wa kuleta maendeleo. 3.Hatua yake ya kuacha ubunge wa Ruangwa imeongozwa na Mungu.
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mark Mabula achukua na kurudisha ya kugombea Ubunge jimbo la Nzega Vijijini

    Mark Mabula amechukua na kurudisha fomu leo 02 July,2025 ya kugombea Ubunge jimbo la Nzega Vijijini kupitia chama cha mapinduzi Ccm Wilaya ya Nzega. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedheha kwa mama Salma Kikwete kuendelea kugombea ubunge.

    Inamaana hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuongoza huko lindi?
  9. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rogatus Shotta Nkwera achukua na kurudisha Fomu ya kugombea Ubunge Ludewa kupitia CCM

    Mdau wa Maendeleo na Kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rogatus Shotta Nkwera amechukua na kuerejesha Fomu ya Kuomba ridhaa ya Kugombea Ubunge Jimbo la Ludewa. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Leo Julai 2.2025 ni Siku ya Mwisho kwa watia nia kurudisha fomu...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, gharama za kuchukua Fomu kugombea Ubunge kwa Chama Babu ingekua ni Shilingi Milioni 5 hata Wavuta Bangi, Wehu, Wezi na Drug Dealers wangechukua?

    Kazi yangu kubwa sana leo baada ya kuanzisha huu Uzi ni kusoma tu Comments zenu mkiwa mmeshakijia Chama Babu.
  11. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Francis Luhanya atangaza nia rasmi ya Kugombea Ubunge Sumbawanga Mjini

    Francis Luhanya ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Sumbawanga Mjini baada ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu, Luhanya alisema kuwa ana nguvu, uwezo na nia dhabiti ya kuwaongoza wananchi wa jimbo hilo...
  12. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Deo Mwanyika achukua Fomu ya Kugombea Ubunge kwa awamu ya Pili Jimbo la Njombe Mjini

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini mwaka 2020/25, Deo Mwanyika (CCM) leo Julai 01, 2025 amechukua Fomu ya kuwania Ubunge awamu ya pili katika Jimbo la Njombe Mjini. Mwanyika amechukua Fomu hiyo katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Njombe ambapo amekabidhiwa Fomu na Katibu...
  13. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtoto wa Komba, Dkt. George Komba achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Nyasa kupitia CCM

    Dkt. Geogre John Komba ambaye ni mtoto wa Hayati Kapteni John Komba aliyekuwa mbunge wa jimbo la Nyasa na muimbaji na kiongozi wa bendi ya TOT ambayo inamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo la Nyasa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi.
  14. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Patrick Malogoi arejesha Fomu ya Kugombea Ubunge Geita kupitia CCM

    Wakili Msomi kutoka ofisi ya mwanasheria Mkuu wa serikali, Patrick Stephen Malogoi amerejesha fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hii ni mara ya pili kwa wakili Malogoi kuomba ridhaa ya CCM ambapo katika kura za maoni za mwaka 2020 na kushika nafasi ya...
  15. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Rufiji: Kada wa CCM Shaban Matwebe akataliwa kuchukua form ya kugombea Ubunge jimbo la Mchengerwa.

    Kada wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amelalamikia kuwa Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Rujifi amekataa kumpa fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Rufiji. Akiongea leo July 1 2025 Matwebe amesema hiyo sio mara ya kwanza kwake kupata changamoto kwani alishawahi kukamatwa na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwandishi wa habari Salim Kikeke achukua fomu kugombea Ubunge Moshi vijijini

    Mwandishi wa habari mkongwe na mtangazaji Salim Kikeke amechukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa...
  17. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Kesho nachukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Ruangwa

    Habari wakuu, Kesho tarehe 2/07/2025 ninatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Ruangwa mkoa wa Lindi.Nitachukua na kurudisha kesho hiyohiyo. Kama mwanachama mwenzenu dua zenu muhimu sana.
  18. technically

    JamiiForums Tanzania Makonda, Gambo, Mwijaku,Mchengerwa, Omera wakamatwe kwa tuhuma kutumia madaraka yao vibaya sio kugombea ubunge

    Naongea haya kwa masikitiko makubwa Moja ya watu waliotuhumiwa kwa utekaji na Mambo mengine moja wapo ni Hawa watu Halafu leo wanagombea Tena ubunge na nchi hii ilivyo ya mazuzu wanawashangilia tu Hawa watu WANATAKIWA kukamatwa na takukuru na kohojiwa kwanza kwa kutumia madaraka yao vibaya...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Kinyori 'Kibakuli' ajitosa kugombea Ubunge katika Jimbo la Handeni Mjini

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mdau wa maendeleo Salum Kinyori 'Kibakuli', leo Juni 30, 2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Handeni mjini Mkoani Tanga. Salum ambaye ni mdau wa Maendeleo na msomi aliyebobea kwenye fani ya uchumi na mfanyabiashara mbobevu amechukua fomu hiyo...
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mohamed Yakoub amechukuwa fomu kugombea Ubunge Jimbo la Kilosa

    Mohamed Yakoub, Naibu Meya wa zamani Ilala amechukuwa fomu kugombea Ubunge Jimbo la KILOSA. Jimbo hilo mbunge wake aliyemaliza muda wake ni Mhe. Prof. Palagamanda Kabudi.
Back
Top Bottom