kugombea ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    GE2025 Cecilia Paresso achukua fomu ya kuomba CCM kugombea Ubunge Jimbo la Karatu Mkoani Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha anayemaliza muda wake Cecilia Paresso amechukuwa fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Karatu Mkoani Arusha Paresso amekabidhiwa fomu hizo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Karatu hivi leo na Katibu wa Chama Cha...
  2. W

    GE2025 Kambarage Wasira (mtoto wa Stephen Wasira) achukua fomu ya ubunge jimbo la Bunda Mjini

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kambarage Wasira (kushoto) akichukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge Bunda Mjini. Kambarage amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumanne Juni 30, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Bunda, Evodia Zumba katika ofisi chama hicho wilayani humo.
  3. W

    GE2025 CHAUMMA yafungua dirisha la kuchukua fomu za kugombea ubunge na udiwani

    Wakuu kwa wale mliokuw amnasubiri kwa hamu kujitosa kwenye ubunge na udiwani kupitia CHAUMMA ni wakati wenu sasa. Fomu zitaanza kutolewa kuanzia Julai 1, 2025 katika ofisi mbalimbali za chama kuanzia saa 2:30 asubuhi.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Founder Maxence Melo huu nawe ni wakati wako sasa Kugombea Ubunge kwenu Kagera au njoo kwetu Mara tukupe Jimbo utuwakilishe Bungeni

    Na majimbo ambayo ukija Mkoani Mara tutakupa Ugombee ni ya Tarime Mjini, Serengeti na Mwibara kwa Watu waliopinda. Cc: Maxence Melo
  5. Mshana Jr

    GE2025 CCM vita ya kuwania kuteuliwa kugombea ubunge inaweza kuwafanya wakaumizana sana

    Hali ni ngumu sana ndani ya ccm kwenye vita ya kinyang'anyiro cha kuteuliwa kugombea ubunge ma sidhani kama majeraha yatapona baada ya uchaguzi kama utakuwepo bila kujali kama watashinda ama la Vita vyao wenyewe kwa wenyewe vinafunua siri nyingi sana za huko nyuma .. Ni faida ya baadae huko...
  6. mshale21

    Vigezo vya kugombea ubunge , udiwani na urais viboreshwe, la sivyo tutatengeneza Taifa lenye viongozi vilaza

    Kwa vigezo vilivyopo na katiba mbovu tuliyonayo , ni wazi kabisa tunakoelekea tutatengeneza wabunge na mawaziri vilaza kuliko kawaida. Nashauri hili suala liangaliwe kwa jisho la tatu na kwa wivu mkubwa kwa maslahi mapana ya taifa letu, ni wazi kabisa kuwa walioitengeneza katiba hii...
  7. PAYE

    GE2025 Dkt. Catherine Joachim achukua fomu ya kugombea Ubunge Viti Maalum, kupitia Umoja wa Wazazi CCM

    Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati ya Afya na Mazingira Umoja wa Wazazi Taifa, Dkt Catherine Joachim, amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum katika Umoja wa Wazazi Jumuiya ya Chama cha Mapinduzi. Dkt Joachim amekabidhiwa fomu hiyo tarehe 29 Juni, 2025 na Bi...
  8. PAYE

    GE2025 Kada wa CCM Hezroni Mtawa achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Ileje

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Ileje Mkoani Songwe Hezroni Mtawa ambaye pia ni Mhadhiri Chuo Cha Mipango Dodoma amechukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Ileje. Amekabidhiwa fomu hiyo mapema June 28,2025 na katibu wa chama hicho wilaya ya Ileje Hassan Lyamba ,huku akisema endapo...
  9. F

    Picha: Gwajima kwa haya yaliyofanywa na Polisi kanisani kwako jana na wewe kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge CCM wewe ni mwehu?!

    Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu! Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!! Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Salome Sengo achukua fomu ya Kuomba ridhaa ya Kugombea ubunge Jimbo la Lupa

    Salome Sengo Amechukua Fomu ya Kuomba ridhaa ya Kugombea ubunge Katika Jimbo la Lupa Lililopo Jijini mbeya Kupitia Chama Cha Mapinduzi ''CCM''.
  11. Just Pray

    PreGE2025 Farid Amanzi atangaza nia ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi na Aliyekuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM Tawi la Chuo Cha Kodi na Mjumbe wa Seneti ya Dar es Salaam Mwaka 2021/2022. Farid Amanzi ametangaza Nia ya Kuchukua FOMU ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki ambalo Kwa Sasa lipo chini ya Mheshimiwa...
  12. S

    Bw Murtaza Mangungu Jana jumamosi amechukua fomu kimya kimya kugombea ubunge Kilwa Kaskazini

    Mm nafuatilia nyendo zako za kisiasa, Kama nilivyoripoti hapa jamiiforums juzi kuwa Mangungu angechukua fomu jumamosi kWa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa jimbo la kilwa kaskazini kupitia chama cha mapinduzi, ni kweli Jana Mangungu ametinga ofc za CCM Wilaya zilizopo eneo la Kilwa...
  13. Just Pray

    PreGE2025 John Longolela achukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM jimbo la Wanging'ombe

    Mdau wa maendeleo jimbo la Wanging'ombe johnlongolela mara baada ya kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM, amesema ana imani chama chake kitatenda haki.
  14. Just Pray

    GE2025 Linus Silayo achukua fomu ya kutia nia kugombea Ubunge Jimbo la Rombo Kilimanjaro

    Kada wa CCM, Linus Silayo, Mapema leo hii amewasili ofisi za CCM Wilaya ya Rombo kufuata fomu ya kutia nia kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo Kilimanjaro.
  15. Just Pray

    GE2025 Mhandisi Jafari Hegga achukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki

    Mhandisi na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Jafari Hegga amechukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki. Hegga amechukua na kurejesha fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025.
  16. Just Pray

    GE2025 Paul Chacha Makuri achukua fomu kugombea ubunge Jimbo la Serengeti

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha Makuri, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti kupitia tiketi ya chama hicho tawala, akiahidi kusukuma mbele ajenda nne kuu zinazolenga maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu ya...
  17. Just Pray

    GE2025 Shilole achukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na CCM kugombea ubunge wa Viti maalumu mkoa wa Tabora

    Namshukuru Mwenyezi Mungu mapema leo nimefanikiwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama changu cha CCM kugombea nafasi ya UBUNGE wa Viti maalumu mkoa wa Tabora kupitia UWT. Nashukuru nimepokelewa na mama yangu Katibu wa UWT Mkoa wa Tabora, Bi. Rhoda John Madaha. Ndugu zangu fomu...
  18. W

    GE2025 Geofrey Timoth achukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia CCM

    Wakuu Naona jimbo la Kawe watu wanalichangamkia sana. === Geofrey Timoth amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Timoth amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025 na Katibu wa Vijana CCM Wilaya, Amos Richard. Jimbo hilo...
  19. MASHUKE ORIGINAL

    Leonard Mahenda Qwihaya a.k.a Manguzo açhukua fomu kugombea ubunge jimbo la Ilemela kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi.

    Mjumbe wa halmashauri kuu Mnec Leonard Mahenda Qwihaya achukua fomu kugombea jimbo la Ilemela. Mama Mabula ajiandae kuachia jimbo.
  20. W

    GE2025 Kinje achukua fomu kugombea ubunge Kilwa Kaskazini

    Kada wa chama cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Kinjekitile Ngombale Mwiru Leo amechukua fomu za kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kilwa Kaskazini. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Back
Top Bottom