kufungua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wadukuzi wanadai fidia ili kufungua tovuti za Serikali Msumbiji

    Wadukuzi wamepata tena udhibiti wa tovuti zaidi ya 30 za Msumbiji, saa chache baada ya serikali kusema kuwa imezima shambulio la Jumatatu. Kundi linaloitwa "Yemen Hackers" limedai kuhusika na shambulio hilo la hivi punde. Baadhi ya tovutizilizolengwa ni pamoja na mamlaka ya usimamizi wa majanga...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kufungua shule ya chekechea na Primary. Naombeni mawazo tafadhali

    Ndugu zangu, nimepata mawazo ya kufungua shule ya chekechea maeneo ya kiluvya, tuna eneo mimi na mkwe wangu la heka tisa. Tunataka kuanza na chekechea, baadaye tuongeze hadi primary baada ya kuisoma biashara na mwenendo wake. Naomba mwenye uzoefu na biashara hii atuambie changa moto zake...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufungua saloon Kimara

    Naombeni ushauri wenu ndugu zangu, nina 1.5m nafikiria kufungua Saloon ya kiume maeneo ya Kimara. Je zipi ni changamoto zake na faida za kufanya biashara ya namna hii.
  4. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Swila aomba ahirisho kuwa hajisikii vizuri; kuendelea na ushahidi 10/02/2022

    Habari Wakuu, Leo 09/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki:Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shukrani Rwanda/Uganda kwa kufungua mpaka wa Gatuna-Katuna

    Mizigo kutokea Mombasa itawahi fasta na kufika Rwanda, Burundi n.k. Rwandan President Paul Kagame and his Kenyan counterpart Uhuru Kenyatta have agreed to ensure a smooth flow of goods between their borders, after a key route was reopened on January 31. The commitment which came days after the...
  6. JamiiForums Tanzania Chanting:- Moja ya funguo za kufungua ulimwengu wa roho (Mtaifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka huru)

    Nawasalimu wote. Mwenye ufahamu afahamu, na afunguliwe kuzijua siri za ufalme wa roho. Leo nitaongelea njia moja wapo ya kuweza kufungua mlango na kuingia katika ulimwengu wa roho. Njia hiyo ni chanting. UTANGULIZI Kwanza kabisa chanting ni nini!? Nikutamka au kuimba maneno kwa kurudia...
  7. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Nimefungua biashara ya Mgahawa sehemu flani hapa jijini Dar es Salaam, nimeweka wafanya kazi 3; mmoja kwa ajili ya chips na wa2 kwa ajili ya chakula kwa sababu biashara yenyewe bado changa. Eneo ambalo nafanyia biashara lina population kubwa na halina competition kubwa sana. Mimi napitia mida ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ajali za kufunga mwaka na kufungua mwaka uacha makovu makubwa ya moyo na nafsi kwa watoto.

    Niliwahi kushuhudia familia ikipoteza baba na mama kwa wakati mmoja katika ajali ya gari wakiwa wanatokea kula Krismasi na mwaka mpya, kijijini kwao, wakati huo watoto wao wa pekee (mapacha), walikuwa wamebaki shuleni (skuli ya wazazi na walezi wenye kipato cha kati) wakifanya maandalizi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Ali Kiba aizungumzia Wasafi Bet, asema yeye hana mpango wa kufungua kampuni ya betting kwa sababu dini yake hairuhusu, hajajua kuhusu dini ya Diamond

    Msanii wa muziki wa Bongo fleva Ali Kiba alisema hayo alipoulizwa kama na yeye ana mpango wa kufungua kampuni ya betting kama msanii mwenzake.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufungua Microfinance

    Wakuu habari za sasa hivi. Naomba kufahamu wapi pa kuanzia ikiwa nataka kufungua microfinance, na je, kuna kima cha chini cha kuanzia kwa mjibu wa sheria? Majanga yatokanayo na hiyo biashara ni yapi? Nini cha kuzingatia katika kuendesha hiyo biashara? Ahsanteni tf.
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania tuige mfano wa Uganda kuwajengea DRC barabara Ili kufungua biashara

    Hello members. Hivi karibuni nchi ya Uganda imeanza ujenzi wa barabara za kimkakati zinazolenga kukuza biashara baina yake na nchi ya DRC Congo.. Barabara hizo zinajengwa ndani ya Mipaka ya DRC kwa makubaliano maalumu na kuharakisha kukuza biashara na uchumi. Kwa mtizamo wangu ,hili ni wazo...
  12. JamiiForums Tanzania Wazoefu wa mambo ya kuchezesha games, mtaani naomba msaada

    Nafikilia kufungua pes game ya mtaani, vitu gani niandae kwa jili ya kuanzia sina mtaji mkubwa, naomba mwenye uzoefu anishauri nitumie nini hasa au pc za ukubwa upi ili niwe na mwanzo wenye uangalau, na PC izo nataka nitafute mtaani, sio shop, coz Huku kwetu wanapenda PES so FIFA
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kufungua kesi dhidi ya mhe. Samia (alitenda kosa kabla hajawa rais)

    Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda serikali". Haya ni matamshi yanayoashiria kwamba Samia aliijua na alishiriki kupanga mipango ya uchafuzi...
  14. JamiiForums Tanzania Atakayenisaidia kufungua microfinance ya kukopesha wajasiriamali nitampa pesa

    Hi ladies & gentlemen! Vipi hii kitu inahitaji mtaji kiasi gani, na mizunguko yake ikoje mpaka kukamilika? Aliye tayari aje pm tuyajenge?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ni kiwango gani che pesa nahitajika kuwa nazo ili niweze kufungua Pharmacy hapa Dar?

    Nakusalimuni wakuu. Binafsi nina ndoto za muda mrefu sana za kufungua Biashara ya kuuza dawa za binaadamu yani Pharmacy kwa rejareja hapa jijini Dar es salam. Naomba maoni yenu wakuu, ni kiasi gani nahitajika niwe nazo ili niweze kufungua na kuanza hii Biashara. kwa maana ile starting point...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wa kufanya kazi baada ya Kuanzisha Online TV

    Wakuu habari Nataka kuanzisha online tv. Natafuta watu wa kufanya kazi wenye ujuzi na hiki kitu. Tuanze pamoja, tuinuke pamoja Ni pm namba ya simu tuyajenge
  17. JamiiForums Tanzania Ukifungua macho yako, kila kitu kiko wazi

    No one will be part of the New World Order unless he carries out an act of worship to Lucifer. No one will enter the New Age unless he receives Luciferian initiation. Maana yake: Hakuna mtu atakayekuwa sehemu ya New World Order Hadi afanye kitendo cha ibada kwa Lusifa. Hakuna atakayeingia...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Natamani kufungua kesi dhidi ya WHO. Kwanini ugonjwa mmoja una chanjo zaidi ya 24?

    Tunaposema tuwe makini siyo kwamba ni ujinga. WHO imeruhusu chanjo zaidi ya 24 kwa ugonjwa mmoja tu.Hii maana yake chanjo bado ziko kwenye utafiti na zimetolewa kwa hati ya dharula (soma masharti). Na kama zimeshakuwa fully approved maana yake ni kuwa zinazidiana ubora au uwezo ni sawa na dawa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika tufungue Zahanati

    Ndugu wanajanvi mimi ni mkazi wa DSM Kigamboni, nahitaji kupata mshirika ili tuweze kwa pamoja tufungue dispensery, mimi nitatoa eneo na majengo. Tuwasiliane kwa namba 0713851751
  20. JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kesi kupinga kodi ya jengo kupitia Luku lakini sioni wa kunitetea mahakamani

    Haki yangu ya msingi naona imeporwa, nataka kufungua kesi dhidi ya malipo ya kodi ya jengo kupitia Luku ila shida iliyopo ni hao ninaowategemea wana maslahi na nafuu waliyoipata, wakili ananyumba anapangisha yeye mzigo wa kuilipia kodi wamemtua na hakimu naye nyumba yake anapangisha naye mzigo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…