kufungua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je tutaweza kufungua nyumba kwa kutumia ufunguo wa gari?

    Mkoloni alipofika tu kwetu alikimbilia kuzinyonga mila na tamaduni zetu maana alifahamu mila, desturi na utamaduni ndizo nguvu na nguzo za kila mtu, kila familia, kila ukoo na kila taifa. Hizo ndizo anuani za mawasiliano kati yako, familia, ukoo, kabila, taifa na Mungu wao, ndio ufunguo wa...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Siyo sahihi kuifungua dawa iliyotengenezwa kwa mfumo wa “Capsule” ili utumie unga wake

    Baadhi ya watu huamini kuwa kutumia unga wa dawa iliyo tengenezwa kwa mfumo wa “capsule” ndiyo njia sahihi na haraka ya kupona ugonjwa husika. Kitaalamu, dawa hutengenezwa kwa mfumo wa capsule ili kuepusha athari za kupungua kwa nguvu yake kabla haijafika kwenye sehemu sahihi ya mwili...
  3. tax_expert

    JamiiForums Tanzania Je, ungependa kufungua kampuni ndani ya siku saba?

    Naamin huu uzi unaweza usiwe wa kwanza kwako juu ya ujuzi wa kufungua Kampuni na umekua ukipata ujuzi kutoka kwa watu mbalimbali Lakin ngoja nikuulize swali “unahisi bado kuna kipande cha ujuzi ndani yako kinakosekana? Bhas huu uzi ndio kipande cha ujuzi kilichobaki ambacho kilikua kinakosekana...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufungua website na kulipia domain

    Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufungua website na kulipia domain. Hela ya vocha ipo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ili akili zitukae sawa, napendekeza serikali ije na tozo za kufungua pages za watu maarufu mitandaoni

    Yaani ukitaka ku- access akauntiz(mfano ya twitter au Instagram ) ya mtu kama Diamond, Ali Kiba, Mayele, Sakho, Chama, Wema, n.k, ukiwa humu nchini, shariti kwanza ulipe 500, then kupitia simu yako, unatumiwa password maalumu itayokuruhusu kuingia katika akaunti ya huyo mtu maarufu . Nadhani...
  6. J

    JamiiForums Tanzania TARURA yaondoa kero ya wananchi Same kwa kufungua barabara mpya

    Ujenzi wa barabara mpya ya Mpirani Dispensari – Dindimo Primary School (4.30 KM) inayojengwa kwa kiwango cha changarawe katika kata ya Bombo Wilaya ya Same utawapunguzia wananchi kero ya kutembea kwa takribani kilomita 18 wakitumia barabara ya mzunguko ya Maore – Vuje – Bombo. Akizungumza mbele...
  7. Powder

    JamiiForums Tanzania Naweza kufungua Bank Account nikiwa nje ya Tanzania

    Naishi nje ya Nchi.....! Inawezekana kufungua Online Account kwa Bank zetu za Tanzania....! NB. Najua humu kuna Wafanyakazi wa Bank, ama member wenye Uzoefu na mambo Banking. Asante.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya wanadiplomasia wa Afrika mkoani Hunan, China, kufungua fursa nyingi zaidi za kibiashara na kiuchumi

    Na Pili Mwinyi China na Afrika ni ndugu ambao wanafaana wakati wa dhiki na faraja, na uhusiano uliopo kati yao tunaweza kusema kwamba ni uhusiano wa kihistoria duniani. Uhusiano huu mashuhuri ambao unajulikana vizuri na kwa mapana zaidi duniani, kutokana na umuhimu wake katika kuchangia...
  9. Greg50

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Wadau wa wa elimu zingatieni Kalenda ya Mihula iliyotolewa na WyEST kupitia Nyaraka za Elimu Namba 1 na 2 za mwaka 2022

    Tangazo kutoka Wizara ya elimu, sayansi na teknolojia.
  10. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kinachofuata baada ya Raila Odinga kufungua Pingamizi la Urais

    Ndani ya saa 24 baada ya jibu la ombi kuwasilishwa, kiambatanisho kitawasilishwa na kutolewa uamuzi, ambapo upande wa Mawakili wa Rais Mteule William Ruto utakuwa na siku 4 kuwasilisha na kutoa majibu kufuatia ombi hilo. Mkutano wa kabla ya kesi utafanyika ndani ya Mahakama Kuu kwa siku 8...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Propozo ya kufungua kituo cha kujaza mafuta

    Poleni na mihangaiko, Nimepata wazo la kufungua kituo cha kujaza mafuta. Kama kuna yeyote ana mfano wa propozo ya kufungua kituo cha kujaza mafuta naomba anisadie. Ahsanteni.
  12. chongoe

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua biashara ya cable tv ushauri wako

    Naomba ushauri nini na nini nifute ili nisiwe hatiani nipo Mafia
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Uchaguzi wasogeza mbele muda wa kufungua shule

    Serikali ya Kenya imesogeza mbele muda wa kufungua shule hadi Agosti 15, 2022 badala ya Agosti 11 kama ilivyokuwa awali kwa kuwa bado mchakato wa kuhesabu kuwa za uchaguzi mkuu unaendelea. Waziri wa Elimu wa Kenya, George Magoha amewataka wazazi kupuuza taarifa walizopewa shuleni za kuwarejesha...
  14. Mjomba Nchumari

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kufungua blog kwa ajili ya kuingiza kipato?

    Habari za jioni wakuu... Ninaomba msaada kuhusu namna ya kufungua blog kwa ajili ya kuingiza kipato. Vitu gani muhimu nahitaji kuwa navyo na aina gani ya content ni nzuri? Ahsanteni!
  15. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kufungua Huduma ya Afya "Kituo Cha Afya"

    Wakuu habari za wakati huu, natamani sana kujua ABCs za kuanzisha kituo Cha Afya Cha binafsi. Je ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia? Je, Kuna mtu anaweza ku-share experience namna ya kukiendesha kwa faida? Natanguliza shukrani sana
  16. S

    JamiiForums Tanzania Website and Database errors fix services

    Kwa wamiliki wa website na web apps kuna changamoto ambazo unaweza kupitia katika uendeshaji wako. Mara nyingi hutokana na kutokupata maboresho mapya kwa wakati sahihi. Kutokana na changamoto hizo tunatatua matatizo yafuatayo; Database 1. Database cleanup 2. Database optimisation 3. Database...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu imewaruhusu Halima Mdee na wenzake 18 kufungua kesi ya kupinga CHADEMA kuwavua uanachama

    #HABARI MAHAKAMA Kuu imewaruhusu wabunge 19 wa Viti Maalum kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)./bit.ly/3OUFVbx ========== Mahakama Kuu imewaruhusu waliokuwa wanachama wa CHADEMA, Halma Mdee na wenzake 18 kufungua shauri la kupinga uamuzi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Samia kufungua soko la nyama falme za Kiarabu. Je, wanaopuuza zoezi la uwekaji hereni mifugo ni wasaliti wa Rais aliyewateua?

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Tanzania kuna mambo ya kubishaniwa ila sio uhodari,Umakini na Uchapakazi wa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan. Mtakumbuka hivi majuzi Rais Samia alifanya ziara katika nchi za falme ya kiarabu (UAE) akihangaika kuifungua Tanzania ili kuwaletea Watanzania...
  19. VMWare-Oracle

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kufungua akaunti ya Benki

    Habarini wanajamvi. Hivi inawezekana kufungua account ya benki (personal account) Kwa kutumia namba ya NIDA pasipo kitambulisho cha NIDA? Uzi tayari.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufungua naye saluni - Mfadhili/Mwekezaji

    Habari wana forum, Naitwa Lucy ni mtaalam wa mambo ya salon, shughuli zangu huwa nafanyia mtaani nafwata wateja au wao wananifwata kwa huduma ya ususi Leo niko hapa kutafuta mtu ambaye atakuwa tayari either kunisapoti kwa kuwekeza au kunifadhili au hata kushare naye... Hali ya ajira ni ngumu...
Back
Top Bottom