kufungua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kufungua online radio

    Habari wanaJF, naamini ni wazima Nimefanikiwa kufungua online radio ambayo ni tzgospel japo sina studio wala sijafanikiwa kusajili lakini kituo kimekuwa na wasikilizaji wengi wanaosikiliza lakini nashindwa kutangaza maana sijafanikiwa kupata vifaa kama laptop mic mixer ndogo nk Maana pesa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ubora hafifu wa vichuma vya kufungua na kufunga gesi kwenye mitungi midogo

    Sijui ni mimi tu ndio naona hili au kuna wapo wengine mmeona hivi vichuma vya kufungua na kufunga gesi kabla ya kuwasha kwenye mitungi midogo. Sivijui jina lake kwa kingereza au kiswahili wee elewa ivo tu nilivoandika. Ubora wa hivi vichuma nina mashaka nao kama uko sahihi na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania BOT - Ruksa sasa Watanzania kununua hati fungani ktk nchi za SADC / kufungua akaunti kwa hela ya kigeni

    BOT - RUKSA SASA WAKAAZI/ WATANZANIA KUNUNUA HATI FUNGANI KTK NCHI ZA SADC / KUFUNGUA AKAUNTI KWA HELA YA KIGENI / KUNUNUA FEDHA ZA KIGENI US$ 10,000 WANAPOSAFIRI New Foreign Exchange Regulations Issued Set foreign exchange limits for travelers Restrictions for residents to maintain bank...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hili janga la kufunga na kufungua nchi dawa yake tutaipata lini na wapi?

    Nikiri wazi kuwa nchi yetu inajichanganya sana kwenye mwendelezo wa uongozi wake. Ukiangalia tunavyoongozwa ni kana kwamba tumeongozwa na vyama tofauti vya kisiasa, wakati inajulikana fika kwamba tangu tupate uhuru tumeongozwa na chama hichohicho, sana sana kilijibadilisha jina. Takribani Kila...
  5. JamiiForums Tanzania Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

    Tayari kile kilichokuwa kinahisiwa kuja kutokea kimeanza kusikika maeneo ya Dodoma na Dar ambapo kundi la wabunge 19 waliovuliwa uanachama wa CHADEMA limejipanga kufungua kesi mbili mahakama kuu kupinga kuvuliwa uanachama wao wakati wowote wiki ijayo. Kesi ya kwanza itakuwa ni kesi ya msingi...
  6. JamiiForums Tanzania Nataka kufungua ad network

    Oy wazee wa tech nilikua na wazo la kufungua ad network ambayo ni special sana kwa blogu za kuswahili ila lugha nyingine nitalipa pia japo bado nipo kwenye mawazo wapi nitapata matangazo au publishers Haya nimelileta kwenu vipi mtanisapoti au ?????? Wenye blog/tovuti N.B NATENGENEZA BLOGU...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Waliofunga Ramadhani/Pasaka Kisha wakaanza kufungua zipu walijishinindisha njaa, jehamu ipo pale pale

    Watu wote waliofunga Ramadhani na Pasaka Kisha walipofungua tu wakawekeza kufungua zipu, kulewa, kutenda matendo yasiyompendeza MUNGU naaomba kuwakumbusha kwamba mpijishindisha njaa. Endapo tu mngenyakuiwa mkiwa wenye Fung a mngeweza kwenda Mbinguni. Lakini rehema mliyopewa ya kuwepo hai Hadi...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada nataka kufungua day care je nianzie wapi?

    Habari wana Jf nimeamua kufungua daycare baada ya kuhitimu diploma ya childhood education nimeamua nijiajiri,hivyo ninaomba mwenye uelewa wa taratibu za kufuata anielekeze tafadhali.Ushauri
  9. JamiiForums Tanzania Google imeanza kuajiri ofisi yao mpya ya Nairobi

    Mda si mrefu uliopita Google walitangaza kufungua ofisi yao ya kwanza ya product development Africa jijini Nairobi, kazi ndo hizo engineers, UX experts, researchers mnaweza mkakamata! Google to set up first Africa product development centre in Nairobi Build for Everyone - Google Careers
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jambojet yaruhusiwa safari za ndani ya Tanzania, huku Taifa gas ikiruhusiwa kufungua kiwanda Kenya

    Tunakwenda vizuri hadi hapo. Hakuna majungu ila tu makubaliano ya kibiashara, hamna cha kuchomeana vifaranga ======== Tanzania and Kenya have hammered out a bilateral trade deal cutting across the aviation and energy sectors, enabling growth of the Common Market. In the new deal, Kenyan...
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufungua Duka la Vifaa vya Ujenzi, naombeni msaada

    Habari wakuu! Nahitaji kufungua duka la vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam, sasa naomba kwa anaefahamu jinsi ya kuwapata mawakala wanaosambaza vifaa vya ujenzi baada ya kuagiza toka nje ya Tanzania anisaidie namna ya kuwapata. Au hata kama kuna namna ya kuwa naagiza vifaa hivyo toka nje ya...
  12. JamiiForums Tanzania DAR: Mgonjwa atibiwa tatizo kwenye ubongo bila kufungua fuvu

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Ramaiah India imeendesha kambi maalum ya uchunguzi na tiba ya mishipa ya damu kwenye ubongo bila kufungua fuvu kwa mbinu za kisasa. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Respicious Boniface amesema zaidi ya wagonjwa 160...
  13. JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja wa Samia madarakani, TARURA yafanya mapinduzi ya kufungua Nchi kufika kusikofikika kwa barabara za Vijijini na Mijini

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua Nchi kufika kusiko fikika hivyo . kuwanufaisha wananchi. Ikumbukwe kabla ya kuongezewa bajeti...
  14. JamiiForums Tanzania Je, mtaji wa hisa Ulioidhinishwa huhesabiwaje wakati wa kufungua kampuni?

    Msaada ndugu Mtaji wa hisa Ulioidhinishwa huhesabiwaje wakati wa kufungua kampuni? How is Authorised share capital calculated?
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

    Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia. Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana. Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia wakati wa kufungua biashara

    ACCOUNTING CONCEPTS Hizi ni sheria ambazo hutumika katika kutengeneza ripoti za kiuhasibu na kutunza mahesabu ya kibiashara. Kila kitu kina imani yake, hizi concepts ni kama imani zinazoongoza taratibu za kiuhasibu. 1. GOING ON CONCEPT. Hapa ni kuamini kuwa biashara unayoianzisha...
  17. V

    JamiiForums Tanzania Ushauri nataka kufungua Biashara ya kuniongezea kipato-Arusha

    Nishaurini ni biashara gani naweza kuifanya ili iweze kuniongezea kipato mtaji Millioni 10, usimamizi nitaajiri mtu wa kuisimamia, mimi niko na majukumu ya ajira, eneo la biashara Arusha mjini Mnakaribishwa kwa ushauri
  18. JamiiForums Tanzania Kufungua Biashara Ndogo

    Kuhusu SISI Masoko Consulting ni Strategic Consulting Firm (Washauri waelekezi wa Kimkakati) ambao tunatumia mbinu za kisasa na utaalam wa kisasa katika kuwasaidia wateja wetu kutambua fursa na kuzitumia kwa ajili ya kukuza biashara zao na kukuza faida.Lengo letu ni kuwasaidi wafanyabiasha...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Dubai: Rais Samia ahudhuria Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) ya maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020

    Leo Jumamosi Februari 26, 2022 huko Dubai kwenye maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020 ni Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) kuonyesha fursa zake za uwekezaji, biashara, utalii n.k. ambapo Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni rasmi leo Jumamosi...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia yaanza kufungua milango kwa ajili ya KCB na Equity - yaani watu milioni 110

    Tushindwe wenyewe....yaani Wakenya tuna subira mithili ya chui, tunanyatia nyatia na kusogelea na kupiga mahesabu ya mbali, ila pale tutachomoka huwa hatukosei maana lazima meno yang'ate kwenye shingo. DRC na ukanda wote wa EAC upo kwapani tayari, hawa Wahabeshi ndio walikua mfupa uliomshinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…