kufunga

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristo nataka kufunga ndoa ya mitala nafanyaje?

    Habari wanajf Mimi ni mkristo moja kati ya ndoto zangu ni kuwa na wake wawili mmoja muislamu mwingine mkristo. Hii kitu imekuwa ikija kichwani hivi karibuni kwasababu nimekuwa na bahati ya kupata mabinti wa kislamu tena unakuta ni wife material wanastahili kuwekwa ndani na nimekuwa nikidumu nao...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Madaraja: Unaweza kufunga Tanzanite Bridge Watanzania waangalie mpira. Je, unaweza kufunga Kigamboni Bridge?

    Nimeshangaa kuona daraja la jipya la Tanzanite linaweza kufungwa ili Watanzania waangalie mpira lakini Serikali haikuona haja ya kuweka tozo. Namaanisha daraja hili linatumika kama express route kwamba unapita kuharakisha safari ila unaweza kupita barabara ya kawaida ya mzunguko. Kwa upande wa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tunamuimba Rais kila kona, Je, yupo kwenye mioyo ya Watanzania Au mtaamua kufumba macho?

    Jamani mnajuwa tunaweza kufunga macho nakuwa watu tunapenda kutukuza viongozi nakudharau uhalisia wa uku chini kwa kuwa na agenda binafsi ambayo mwisho wake waweza kuwa mbaya kwa chama na taifa kuliko kifo cha hayati Joseph Pombe Magufuli. Watanzania huku chini wenyewe kwa wenyewe kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani yafungua Ubalozi wao ndani ya Kyiv baada ya kuufunga takriban miezi 3 iliyopita

    Three months ago, we lowered our flag over the U.S. Embassy in Kyiv, Ukraine, just days before Russian forces streamed across Ukraine’s border to carry out President Putin’s unprovoked, unjustified war of choice. When we suspended operations at the embassy, we made the point clear: while we...
  5. JamiiForums Tanzania Nimesoma IT, Electrical Installation, pamoja na kufunga Camera System, Fire Alarms, Electric Fence, WI-FI setup - natafuta kazi

    Habari za jioni waungwana. Kama nilivyoeleza hapo juu kwenye heading hio, Nimefanya kazi zote hizo kwa muda tofauti tofauti na bado hahusika nazo mpaka Sasa. Nimekuja kwenu kuomba msaada wa kampuni, shirika, mtu binafsi atakayeweza/kuwa tayari kufanya kazi na mimi. Napatikana mkoa wa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hili janga la kufunga na kufungua nchi dawa yake tutaipata lini na wapi?

    Nikiri wazi kuwa nchi yetu inajichanganya sana kwenye mwendelezo wa uongozi wake. Ukiangalia tunavyoongozwa ni kana kwamba tumeongozwa na vyama tofauti vya kisiasa, wakati inajulikana fika kwamba tangu tupate uhuru tumeongozwa na chama hichohicho, sana sana kilijibadilisha jina. Takribani Kila...
  7. JamiiForums Tanzania Bilioni 100 za Makamba zitumiwe kufunga mifumo ya gesi kwenye usafiri wa Umma!

    Bilioni 100 za Makamba zitumiwe kufunga mifumo ya gesi kwenye usafiri wa Umma! Nimekadiria jiji la Dar tu kuwa na dala dala si chini ya elfu hamsini ambazo zinatumia mafuta ya zaidi ya Bilioni 150 kwa mwezi ambazo ni zaidi ya trilioni moja kwa mwaka. Kuliko kuzipeleka fedha hizo kwenye kutoa...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania mtu anaweza kufunga ndoa mahakamani?

    Nasikiaga tu ndoa za kwa mkuu wa wilaya/Bomani. Inawezekana kufunga ndoa mahakamani? Na swali la nyiongeza, ndoa za kimila hufungishwa wapi, na nani?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Hivi Ramadhani ni mwezi wa kula Sana au wa kufunga?

    Ukiangalia huku uswahilini mama ntilie wanafurahia Sana mwezi wa ramadhani Mana watauza Sana kuliko miezi mingine. Sasa logically Ni kwamba mwezi wa ramadhani Ni mwezi wa kula mno/Sana na tunadanganywa kwamba ni kufunga. Ukiangalia hata waislamu wenyewe wanafurahia Sana wakati ki ukweli mateso...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna 'misinformation' inaendelea kuhusu Uber/Bolt kufunga biashara Tanzania..

    Sababu za tishio la kufunga biashara kwa makampuni haya sio sababu halisi kama wengi wanavyozipokea. Ukisoma statements zao, zimeandikwa kimkakati kwamba LATRA wameongeza new charges ya 15%. Seriously?!. Sio kweli kwamba Serikali imeweka kodi mpya ya 15%. Uhalisia ni kuwa LATRA wamewataka Uber...
  11. JamiiForums Tanzania Kufunga gesi kwenye gari kunapunguza uwezo kwa 40%

    Mbali na kuchukua nafasi kubwa kwenye gari (kwa kuweka mitungi) pia gesi unapoteza nguvu ya gari 40%. Ukichaganya na mafundi wetu wa kibongo lazima uue gari na ufundi wao wa kuunga-unga. NB: Nilifunga gesi kwenye Toyota Surf, yaani full majanga
  12. JamiiForums Tanzania Kufunga Ramdahan ni nguzo nzito sana kwa Waislamu walio wengi

    Kwa utafiti niliuoufanya Waislam walio wengi hawafungi ramadhani, wengi wana pretend ili kuondoa aibu kwa wenza, majirani, marafiki, wazazi n.k Yani ile kwamba watanionaje? Ila ukweli wa dhati ni kwamba watu wanabonyea kama kawaida ila kwa kujificha saana. Mungu hachezewi ipo siku tutajutia...
  13. JamiiForums Tanzania Standard Chartered kufunza shughuli zake Zimbabwe, kupunguza huduma Tanzania

    BENKI YA STANDARD CHATERED KUFUNGWA ZIMBABWE,INAPUNGUZA HUDUMA TANZANIA. LONDON, Uingereza - Benki kongwe zaidi ya Zimbabwe ya Standard Chartered imefunga shughuli zake nchini Zimbabwe na nchi nyingine sita za Afrika na Mashariki ya Kati kama inataka kuboresha faida kwa kupunguza mwelekeo wake...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Standard Chartered Bank kufunga operation zake Tanzania

    Kuna hii habari kwamba Standard Chartered Bank wanataka kufungasha vilago ikoje? Kama ni kweli, Juzi kati tuliambiwa, mama kayafufua mabenki hili halijafufuka?. NB; Standard Chartered Bank ni banker wangu
  15. JamiiForums Tanzania Mwezi wa Ramadhan: Zifahamu faida za kisayansi za kufunga kula chakula wasizozifahamu wafungaji

    Kuna Kwaresima na Ramadhan miezi ambayo waumini wa Kikristo na Kiislam wanafunga kama sehemu ya imani zao kwa lengo la kumpendeza Mungu wao ili awasamehe dhambi au awape kibali cha kuingia peponi. Kwenye upande huu wa dini sintakuongelea zaidi kwakuwa imani ya mtu ni package ambayo haiko wazi...
  16. JamiiForums Tanzania Chanel yasitisha kuuza bidhaa zake kwa watu wanaozinunua na kupeleka Urusi ikiwa ni baada ya kufunga maduka yake nchini humo

    Kampuni kubwa ya kifahari ya Chanel ya Ufaransa imeacha kuuza bidhaa zake kwa watu wanaonunua na kuzipeleka Urusi, baada ya kufunga maduka yake nchini humo. Moscow na baadhi ya wateja wameishutumu kampuni hiyo kwa kupinga Urusi, na kutishia kususia chapa hiyo. Chanel inasema inazingatia tu...
  17. JamiiForums Tanzania Maana halisi ya kufunga Mkanda karne hii

  18. JamiiForums Tanzania Nyerere alipofungua ‘Dance’ Msondo Ngoma

    Nyerere alicheza Msondo, wewe nani usicheze? Miaka 56 iliyopita, nazungumzia mwaka 1964, bendi mbili kubwa za Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, zilipiga dansi maalumu la kuchangia chama cha TANU. Bendi hizo ni NUTA Jazz, Msondo Ngoma ambao mpaka sasa bado wapo katika ulimwengu wa muziki...
  19. JamiiForums Tanzania Kipindi hiki ni cha kufunga mkanda haswa

    Karibu kila Mwananchi anajionea hali jinsi ilivo mtaani, ngano bei juu, mafuta ya kupikia,mchele,nk. kulinganisha na hali ya pesa mtaani ilivo mbaya wengi wanashindwa kununua mahitaji ya msingi nyumbani Watu wamekuwa wakilalamika kwenye mitandao bila kujua wafanyeje maana kilio Chao kimekuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Lyatonga Mrema kufunga ndoa Alhamisi Machi 24, 2022 katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha

    Siku moja kabla ya kufunga ndoa Mwenyekiti wa TLP Taifa, Dk. Augustino Mrema amesema kuwa atajaribu kujikokota kuelekea Kanisani na kama itatokea ataishia njiani kutokana na afya yake kutokuwa sawa, anaamini Paroko atajua nini cha kufanya. Mrema amesisitiza kuwa huduma ya Kanisa inapatikana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…