August Alsina kuacha kufanya muziki?
Staa wa Pop na Rnb kutoka Marekani @augustalsina Ametangaza kuwa kazi zake mpya zijazo ndio za mwisho kutoka kwake baada ya hapo ataacha kufanya muziki.
-
Ktk IG Yake aliandika, 'Kwa wote wanaonipa ushirikiano, hizi kazi mpya zitakuwa za mwisho kutoka kwa...