kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Uganda walianza kufanya upasuaji kwa ajili ya kujifungua (C-section) kabla ya mwaka 1879

    Je, hili ni kweli wakuu? By 1879, Uganda was the only place in the world where C-sections were performed to save both mother and baby. European observers documented this practice, which used local tools, herbal anesthetics & antiseptics.
  2. JamiiForums Tanzania Usikubali kufanya mapenzi bila kondomu

    Usidanganywe ukafanya mapenzi bila kondomu.
  3. JamiiForums Tanzania Wa Iran wa Tanzania kufanya dua leo ya kumuombea kiongozi wa iran aliyeuwawa na marekani.

    Kwa maana hiyo, mtag muiran unayemjua hapa jf kua asogee sehemu tajwa hapo juu akaomboleze na wenzake asiishie tuu kubishana huku jf.
  4. JamiiForums Tanzania Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu au kufanya haya popote duniani

    1. Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu nchi yoyote duniani iwe na uwezo wa kuunda silaha ambazo mwisho wa siku zikirushwa zinaweza kufika au kutua ndani ya ardhi ya Marekani na hatimae kuleta madhara kwa wamarekani ndani ya marekani. Na ndio maana nchi zilizojaribu kutengeneza silaha za maangamizi...
  5. JamiiForums Tanzania Nimekaa miezi 6 bila kufanya mapenzi nilikuwa na furaha na amani, wiki iliyopita nimefanya nilijisikia vibaya siku 4.

    Hapo vip! Ipo hivi mimi ni mwanaume ambaye mapenzi sana sio kipaumbele kwangu. Na nikikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi nakuwa na amani na furaha sana kwenye maisha yangu pia nakuwa mtu wakufocus sana na mipango yangu,najiamini sana,najiona nipo salama sana,pia spirituality nakuwa na nguvu...
  6. JamiiForums Tanzania Unalipwaje dollar laki moja kwa kufanya kazi 4?

    Nilikuwa napita huko upwork nimeshangaa sana japo sijui hiyo kazi ina ukubwa gani lakini malipo ni yakushangaza ,, mtu kafanya kazi 5 au 10 lakini ukiangalia malipo yake ni balaa,, em tupeni mbinu
  7. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu akataa kuzindua Stendi Kuu mpya ya Mailimoja Kibaha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekataa kuzindua stendi kuu mpya ya Mailmoja Kibaha mkoani Pwani, akiwa katika ziara yake mkoani humo. Hatua hiyo ameifikia kutokana na kupata wasiwasi wa utekelezaji wa mradi kuwa na baadhi ya mapungufu ambapo amedai baada...
  8. JamiiForums Tanzania Je Tuutumie Mwezi Huu wa Toba, Kufanya Toba ya Kweli, Tukiri Makosa Yetu, Tujute Dhambi Zetu, Tuungame, Tusamehewe, Nchi Itakasike Au Tusubirie Tume?

    Wanabodi Hii ni Makala yangu ya leo, kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo Declaration of Interest Naomba kuanza kwa kudeclea interest kuwa mimi ni muumini wa ile rai ya Makomu wa Rais, Balozi Dr Emmanuel Nchimbi, tusiendelee kuzungumzia kile kilichotokea October 29, ili tusizidi...
  9. JamiiForums Tanzania Songwe: Wanawake watishia kufanya mgomo wa kubeba mimba hadi ujenzi wa Zahanati ukamilike Wilayani Mbozi

    Wanawake katika Kijiji cha Kilimampimbi, Kata ya Kilimampimbi Wilayani Mbozi Mkoani Songwe wametishia kufanya mgomo wa kubeba mimba mpaka ujenzi wa Zahanati ya Kijiji ukamilike ili kuepuka changamoto wanazopitia wakati wa kujifungua. Wakizungumza na EATV baadhi ya Wanawake kijijini hapa...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima gani mwanafunzi wa kidato cha pili kufanya mtihani wa Taifa???

    Mimi naona hakuna ulazima. Halafu pia hata wakifanya wasirudie darasa.
  11. JamiiForums Tanzania Nimetishika sana kutokana na kilichonikuta baada ya kujaribu kufanya tahajudi (meditation)

    Wakuu, nimegundua kuwa tahajudi si kitu Cha mchezo. Usiku wa kuamkia Leo nijaribu ku-meditate na kilichotokea usiku kucha ni vituko. Nilikuwa naota ndoto za ajabu ajabu, nilikuwa naongea mwenyewe hadi wife akawa ananishtua usingizini, n.k. Kwa hiki kilichonitokea nimesitisha kufanya tahajudi...
  12. JamiiForums Tanzania MWONGOZO JINSI YA KUTUMIA NA KUPATA CANVA (Ufafanuzi rahisi kabisa kwa kila mtu hata kama hujawahi kufanya design)

    Kuna watu wengi sana wanapenda kufanya biashara, kuandika mitandaoni, kufundisha, au kutangaza huduma zao… lakini wanakwama sehemu moja: “Sijui design.” Zamani ilibidi ujifunze Photoshop kwa miezi mingi au umlipie designer pesa nyingi ili tu upate poster moja. Lakini leo hali imebadilika...
  13. JamiiForums Tanzania Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza

    Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza. Tusiwe na tabia za kujipendekeza kwa wananchi suala hili halina kichwa wala miguu ni upumbavu.
  14. JamiiForums Tanzania Ladha ya kufanya mapenzi ipo wapi?

    Hivi ladha ya kufanya mapenzi ipo I wapi kwanini watu wana promote Sana? Kusema ukweli watu wanaipromote ngono kipa mara ila haina ladha wala faida yoyote au kuna namna yoyote ya kufanya mapenzi mpaka afurahie yaani unatumia nguvu ladha unaipata kwenye kumwaga Tu? Au kuna sehemu nyingine ambapo...
  15. JamiiForums Tanzania Starehe gani ujawai kufanya ila unatamani kuifanya lakini unaigopa?

    Tuambiane starehe gani ujawai kuifanyaga ila unatamanigi kuifanya ila unaogopa.
  16. JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi na mwanamke aliyekuzidi umri ni kama kuonja sumu

    Huo ndio ukweli...najua kuna raia mtakuja kuniattack na kusema mapenzi hayana umri. shame on you!!
  17. E

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji

    Wakuu kwema unaweza kufanya taratibu gani kuanzisha mradi wa kuuza maji katka jamii mfano ukauza island ila ukafunga kabisa na mifumo yote na mita utaratibu ukoje mpk ukamilishe kila ktu na faida yake inakuwa vipi msaada wakuu
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kiroho; Simba na Yanga haziwezi tena kufanya vizuri kwa jina la Tanzania, nchi ina laana

    Tangu tarehe 29.10.2025 ,Tanzania ilipata doa ,nchi ilichafuka ,Taifa limelaaniwa. Hatuwezi kupata chochote kama Taifa tuka toboa .Iwe mpira, muziki ,biashara na uwekezaji . Tunahitaji toba ya kweli kutoka hapa. Simba na YANGA mwambieni Rais wenu aombe toba Kwa Mungu
  19. JamiiForums Tanzania Mikao ya Kufanya Ngono Ili kupagawishana

    1. KIFO CHA MENDE. Huu ni "mkao" wa kizamani au kilokole kufanya mingine ni dhambi hahahah "Mkao" huu umeboreshwa na unaweza kuufanya katika "pembe" tofauti inategemeana na wepesi wako, Ila hizi pembe mbili nakupa hapa ni maalum kumuwezesha mwanamke afikie kilele Kama kawaida lala chali huku...
  20. JamiiForums Tanzania Enzi zangu nikiwa Fisimaji binti kama Lucy mkatoliki wala asingepata muda wa kurekodi mavitu ya ajabu na kufanya hizo Drama

    Mtakuwa mmesahau! 1. Enzi zetu hizo, sio Zama zenu hizi Gen Z za kukata mayeno na kujirekodi. Au mwanaume kuchambana na kusutana kama wanawake. 2. Enzi hizo Sisi tulikuwa tunaitwa MAFATAKI. Weee! Wewe. Ulizeni muambiwe. Nyie si mlikuwa watotom tena wengine mlikuwa hamjazaliwa. 3. Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…