kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Rais kufanya Maamuzi ya Kiserikali katika Sikukuu Kubwa za Kiimani?

    Nategemea na hata Sikukuu ya Idi (ya Wiki Mbili zijazo) na ile ya Krismasi bila kuisahau ile ya Idi al Haji na zenyewe pia Rais Samia ataendeleza huu Utamaduni aliouanzisha leo wenye kutuachia Maswali mengi Vichwani wale Binadamu Wachache sana tuliobarikiwa Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu. Je...
  2. JamiiForums Tanzania Biharamulo: Picha ya mtoto akisomea kwenye taa za barabarani

    Picha inasambaa kama moto wa kifuu Africa na duniani ikimuonesha mtoto mmoja mpenda shule akipigia msuli kwenye taa za barabarani hivi majuzi huku akiwa amevalia tisheti ya timu ya taifa ya Tanzania (taifa stars). Barabara hiyo ambayo haiko busy sana imewekewa taa za barabarani hivi karibuni...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Umepanga kufanya nini leo siku ya Pasaka?

    Kwanza niwatakie heri ya Pasaka kwa Wakristo wote duniani kote. Naomba niwaambie kitu katika siku hii ya leo muhimu duniani katika maisha yetu. Tunapoisherehekea Pasaka, tunasherehekea kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo. Tunaambiwa kwamba bila ya Bwana Yesu kufufuka basi Ukristo usingekuwepo...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini, ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini?

    Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini ,ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini! Majibu yako, yatazingatiwa
  5. JamiiForums Tanzania Suluhisho la kucheleweshwa kwa 'placements' ni hili

    Habari za uzima wadau? Bila kupoteza muda naomba niende kwenye maada directly. Hili suala la ucheleweshwaji wa placements, hakika limekua tatizo kubwa sana ambalo moja kwa moja wanaoathirika ni vijana(job seekers). Hivyo basi napendekeza hili lifanyike from now. Napendekeza Kutolewa majibu ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vibarua wanaojenga SGR Itigi wamegoma kufanya kazi wakidai maslahi ni duni kwa Wazawa

    Sisi Wafanyakazi tunaofanya kazi katika Mradi wa SGR Kituo cha Itigi Rot 2 Camp, Kampuni ya Yap Merkez ambao tunatengeneza Kilometa 150 tumeamua kuingia katika mgomo huo kutokana na maslahi duni hasa kwa wazawa. Mgomo huo ulianza kwa walioingia usiku wa jana tarehe 6 mwezi wanne 2023 na sisi...
  7. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Dar es Salaam latoa angalizo kwa wanaotaka kufanya uhalifu wakati wa Pasaka

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kiusalama ya kuzuia matukio ya kihalifu, kwa ujumla hali ya Dar es Salaam ni shwari. Hata hivyo Polisi hawatasita kuendelea kufuatilia na kuwakamata watu wanaopanga njama na kutenda matendo ambayo ni kinyume na sheria...
  8. JamiiForums Tanzania TUKUMBUSHANE: Tukio gani la hatari uliwahi kufanya utotoni?

    Hope ni wazima wana JF, Je, uliwahi kufanya tukio gani la hatari kipindi unakua? Sitosahau siku moja ilikuwa ni likizo ya Pasaka siku ya Ijumaa tukiwa group la watoto kama 6 hivi, mmoja alikuwa wa kike Jesca, tulienda porini sio mbali sana na maeneo tunayoishi. Baada ya kutembea tembea kidogo...
  9. JamiiForums Tanzania Wanachuo kwanini mnaongoza kufanya biashara ya ngono nini tatizo?

    Huwa nashindwa kuelewa hii ni kwasababu gani? biashara ya NGONO imetawala vyuoni ukimwi vyuoni dah ni balaa zito. Nini tatizo na nini chanzo mnategemewa kusema mnatafuta pesa za kutunza familia au ni vipi? Emu lete sababu tuwasaidie. Maana asilimia kubwa wanachuo wote ni watoto japo wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

    Kama una urafiki na mwanaume au mwanamke tafadhali msipeane vitumbua na mihogo....Yaan mkipeana tu mkamwagiana bila malengo ya kuoana ....bas mmeshatengeneza uadui.Ndo maana mnashauriwa hata pahala pa Kaz msiingize mapenz....maana hiyoo ofisi itakuwa chungu kwenu au Kwa mmoja hapo mbeleni...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wakigoma Dar mmekuja kufanya nini?

    Hellow Watani zangu watu wakigoma wahaa Kwanini mwapenda sana kufanya kazi za kusafisha kucha hakuna kazi nyingine? Dar mmekuja kusafisha kucha wazaramu au uko kigoma inatolewa ujuzi wa kusafisha kucha tu pekee yake tujuzane? Mbona kuna kazi nyingi why kusafisha kucha wahaa embu mtujibu
  12. R

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kufanya kazi kiwanda cha Almarai Saudi Arabia namuhitaji

    Habari wakuu. Kama kichwa kinavyoeleza. Natafuta mdau aliyewahi kupiga kazi kama unskilled labour kwenye hiko kiwanda cha Almarai. Niliwahi kuwa kwenye mchakato bahati mbaya nikapoteza passport. Na kampuni ilikufa iliyokua ndiyo agent. Kama kuna aliyewahi kupiga kazi nahitaji kuuuliza mambo...
  13. JamiiForums Tanzania RUWASA Yaendelea Kufanya Vizuri Musoma Vijijini: Mradi wa Maji wa Chumwi-Mabumerafuru Unaenda Vizuri

    RUWASA YAENDELEA KUFANYA VIZURI MUSOMA VIJIJINI: MRADI WA MAJI WA CHUMWI-MABUIMERAFURU UNAENDA VIZURI Maji ya Ziwa Victoria yaendelea kusambazwa Musoma Vijijini. Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 zenye jumla ya Vijiji 68 limezungukwa na Ziwa Victoria. Utekelezaji wa Mradi wa maji ya...
  14. JamiiForums Tanzania Demokrasia sahihi ni kufanya siasa ndani ya bunge na mabaraza ya uwakilishi baada ya uchaguzi siyo maandamano

  15. JamiiForums Tanzania Kwa wanaotaka kuanza kufanya biashara na Hamjui muanzaje

    Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida kabisa lakini sikuwahi waza hata siku 1 nitakuja kuwa mfanyabiashara Ninachojua mimi ndoto zangu ni kuwa Pilot au Hacker (IT MZURI KABISA) ila ktk ndoto zote mbili ya Pilot Ndio ilifia pale form four, Hii nyingine nayo iliendelea vyema kbsa hadi ilipokuja...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Mfumo wa kumpata Makamu wa Rais unatufaa kama Taifa?

    Kila jambo linapotokea kwenye mwelekeo wa maisha ya mtu, kawaida huwa linaleta fundisho la mbele yake ya safari. Elimu ya maisha wakati mwingine huhusisha pia, misukosuko, kufiwa n .k hii yote ni katika kuyaelekea mazuri ya ndoto yetu. Kwa hapa Tanzania kulingana na yaliyotokea, bila ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mkristo kufunga mwezi wa Ramadhan haikubaliwi ni mpaka aukubali uislamu kwanza: Uliza swali lolote kuhusu Ramadhan nitakujibu

    Katika nyumba kama mnaishi na Mkristo hakikisheni mnampatia chakula kama ilivyo desturi, Kama kuna Mkristo ambaye anafunga mwezi wa Ramadhani, jambo la kwanza ni yeye kuukubali na kuingia kwenye Uislamu, kwa sababu kufunga bila kuingia Uislamu hakutamnufaisha. Kwa hiyo ni muhimu kwake, kwanza...
  18. JamiiForums Tanzania DAWASA- kufanya hujuma kuibia wananchi "meter" za maji kisha kuja kutoza gharama za ufungaji wa mita hiyohiyo iloibiwa ni dhuluma

    Moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba JF isiutoe uzi huu kwani mada hii nafikiri ni muhimu sana kwa mstakabali wa wateja wa DAWASA ambao huko mitaani wamekosa wa kuwasemea. Natambua kuna uzi humu kwa ajili ya DAWASA lakini nimeufuatilia na nimejiridhisha kwamba hauna response nzuri kutoka...
  19. JamiiForums Tanzania Nashauri serikali itumie zaidi wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kufanya tafiti na kuchapisha maandiko kama tunataka kufika mbali katika tafiti

    Kama kweli serikali ina mpango wa kuhamasisha wanazuoni wa vyuo vikuu vya Tanzania kufanya tafiti na kuchapisha maandiko katika majarida makubwa ya kimataifa, napendekeza yafuatayo: 1. Serikali itenge fedha kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kila mwaka kama mataifa...
  20. JamiiForums Tanzania Mhandisi Fatma Rembo Apania Kufanya Makubwa ndani ya UWT Mkoa wa Iringa

    MHANDISI FATMA REMBO - APANIA KUFANYA MAKUBWA NDANI YA UWT MKOA WA IRINGA Mjumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa 2022-2027 Kutokea Mkoa wa Iringa Ndugu Eng. Fatma Rembo amefanya ziara maeneo mbalimbali Mkoa wa Iringa na kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…