kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Checkmate ya Siasa: Pale Mfumo Unapolazimika Kujilinda Dhidi ya Shinikizo baada ya kufanya blunders

    Anaandika Robert Heriel Mtibeli Post zilizopita nilisema serikali au mtu hutawaliwa na kwa kutumia mambo matatu. Yaani ili serikali yeyote dunia iongoze hutumia. Mambo haya matatu; a) Hofu Kile watu wanachokiogopa. Serikali nyingi za kimabavu hutumia njia hii. Hata hivyo hasara ya njia hii ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Trend ya Wabongo kuiga maisha ya Movie za 70s na 80s na kufanya ndio maisha yao bora kwa sasa

    Nacheka na inashangaza kuona namna wabongo wengi kwa sasa badala ya kuiga maisha na megacy za machifu au wazee wa mila wao wanaiga maisha ya miaka ya 70s au 80s ya walami. Karibuni kwa mjadala
  4. JamiiForums Tanzania Rasmi: Watanganyika waanza kuzuiwa kufanya kazi Zanzibar

    Watanganyika wote walioko Zanzibar ni tumbo Joto. Waanza kuzuiwa kuingia Ofisini kufanya kazi. Iinadaiwa wanafanya kazi za Wazanzibar na Vijana wa Zanzibar wanakaa jobless. MY TAKE Watanganyika tukijibu watavuka kurudi Zanzibari kwa kupiga mbizi. Wazanzibar wajinga, wamesahau Mchanga wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa afya na nguvu naombeni shughuli ya kufanya niingize kipato

    Mtaji wangu ni afya naombeni shughuli ya kufanya
  6. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi lodge kutakufanya uogope ndoa

    Astaghfirullah!! nipo apa mapokezi kuwaonyesha vyumba na kuwakabidhi wateja funguo kiukweli ni mzozo. Hivi uko kwenye ndoa mnaishi vipi mbona kina mama fulani na baba fulani wanapishana tu.
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mnamtumia huyo mwenye id ya "anonymous" kuelezea changamoto zenu si mueleze wenyewe tuwape miongozo nini cha kufanya

    Ukileta changamoto yako wewe mwenyewe humu jukwaani watu watakuhoji lakini pia watakushauri nini cha kufanya kuliko hilo roboti lenu mnalolituma Kujeni wenyewe au mnaogopa kuanzisha account jf?
  8. JamiiForums Tanzania Israel Yaendelea Kufanya Mashambulizi Gaza na Lebanon, Iran Wanywea

    Ukumbuke kuwa Iran walipiga mikwara kuwa endapo Israel itashambulia Gaza basi Iran Watajibu kwa nguvu kubwa. Lakini tokea waseme hivyo hakuna walichowahi kufanya. Ilikua ni mikwara ya kwenye media. Leo Israel imeendelea na mashambulizi huko Gaza Wapo walisema Iran walimaanisha Beirut TU...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke usikubali manyanyaso, tujitahidi kufanya kazi

    Shikamoon wakubwa zangu wadogo zangu hamjambo Habari za jumapili. Leo niongee na dada zangu na wadogo zangu waliopo humu ni jinsi gani utateseka na kuumia ikiwa tu, huna pesa yako mwenyewe. Mfano ,mtu anakutongoza,anaonesha nia kabisa ya kukutaka na usumbufu wa hapa na pale, lakini siku...
  10. JamiiForums Tanzania Mzee Trump amesitisha mashambulizi aliyopanga kufanya Leo baada kujigamba atatoa kichapo leo

    Mzuka wana jamvi ? Babu Trump alijisifu leo Iran itaenda kuwa majivu atapiga vibaya mno lakini ghalfa amePost kuwa amesitisha Hilo. Sasa Trump watu watamchoka kumuona muimba Taarabu ikumbukwe takribani zaidi ya mara 5 kila akisema Leo Iran inakuwa majivu anasema ameombwa na viongozi wa mataifa...
  11. JamiiForums Tanzania Kumbe mimi na wewe hatupo?

    Kwamba nikijaribu kujitafta mimi halisi sipo? Najua utabisha, but honestly hakuna self! Yaani you don't exist, wewe ni kama thought, wazo flani tu ambao liko implanted kama jina, jinsia, baba, mama, mtoto, mjukuu nk Tukianza na physical body, hii ni kama vessel au chombo kinacho beba uhai...
  12. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: Nilimuuliza Rais swali gumu wakanifungia kufanya kazi ya uanahabari

    MwanaJF maarufu ambaye pia ni mwanahabari na mwanasheria nguli, ndugu Pascal Mayalla ameonekana akilalamika hadharani kwamba kuna siku alimuuliza marehemu Magufuli swali gumu, akaishia kufungiwa leseni yake ya uanahabari pamoja kufurushwa kwenye ofisi aliyokuwa alifanyia kazi. Mwanahabari huyo...
  13. JamiiForums Tanzania Endelea Kufanya Mema Yako

    Jua halisimami kuangaza kwa sababu kuna watu hawalipendi. Endelea kufanya mema yako, sio kila mtu atalielewa kusudi lako
  14. JamiiForums Tanzania HOJA Jebra Kambole: Kufanya Kuishi Kuwa Kosa la Jinai: Gharama ya Kibinadamu ya Operesheni ya Kinondoni Dhidi ya Uombaji

    ANDIKO LA Jebra Kambole Amri ya hivi karibuni ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni iliyotolewa tarehe 28/05/2026 na Meya wa Kinondoni Mh. Songoro Hamis Mnyonge ya kuwaondoa kwa nguvu watu wanaoomba kwenye mitaa ya Dar es Salaam ni sehemu ya wimbi linaloongezeka la hatua kali za manispaa dhidi...
  15. JamiiForums Tanzania Kero ya Ada Chuo cha Maji (Water Institute): Unyanyasaji wa kuzuia wanafunzi kufanya Test 1 na 2 kisa salio dogo la ada unakiuka maagizo ya Serikali

    WanaJF salamu, Ninaleta mada hii mbele yenu nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa kutokana na hali halisi inayojiri katika Chuo cha Maji (Water Institute) kwenye Muhula huu wa Pili (Semester II). Kumekuwa na mfumo wa uendeshaji unaoonekana kulenga faida au biashara zaidi badala ya kutoa huduma...
  16. JamiiForums Tanzania Waislamu wakasirika na kulaani kwa kitendo cha mashoga kufanya sherehe Saudi Arabia.

    Waislamu wakasirika na kulaan8 vikali mashoga kufanya party sherehe saudi Arabia wakati huu wa msimu wa hijja. Inasemekana sherehe hiyo iliruhusiwa na utawala wa MBS mwana wa mfalme. Video hiyo iliyosambaa kwenye Nyau de adriz
  17. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ni suala la kiasili. Kutumia jeshi na kufanya utekaji na mauaji hakuwezi kuisaidia CCM.

    Kuna mambo mengine yapo wazi kabisa kwamba taifa linahitaji mabadiliko. Kuwa na katiba ambayo ilitungwa na makada wa CCM ambao hawakushirikisha wananchi ni aibu kwa taifa kama hili na haifai Watanganyika wanataka katiba ambayo kwanza itatambua taifa lao. Alafu katiba ambayo itawapa mamlaka...
  18. JamiiForums Tanzania Takukuru iingilie kati kufanya uchunguzi juu ya matumizi ya fedha yanayofanywa na Makonda na wizara ya maliasili na utalii kuleta wanamichezo nchini.

    Hizi ni pesa za walipa kodi na ni pesa ambazo zilipaswa kutumika kwa maendeleo ya Watanzania. Sasa wanaletwa akina Rio Ferdinand, wacheza mieleka wapiga masumbwi na wakata viuno kwa kigezo cha kukuza utalii. Huu ni upigaji na wizi wa pesa za umma ambao hayati Magufuli kama angekuwepo...
  19. JamiiForums Tanzania Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo

    Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo naona mijadala imeanza huko times pia wamepost Reddit watu wanadisciss unajua zile Zama za kuficha ficha mambo zimeisha watu wengi tunaelewa vitu vinavyoenda
  20. M

    JamiiForums Tanzania Eti, kuna umri ambao hawaruhisiwi kufanya starehe?

    Mama huyo kwenye video anasema kuwa hakuna umri ambao hawaruhusiwi kufanya starehe, au kwa wanawake kujiremba nk.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…