kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Viongozi wachunguze Kituo cha Afya Kadashi, Wilaya ya Kwimba – Mwanza. Utendaji unatukwaza Watumishi

    Kituo cha Afya Kadashi kipo Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Kata ya Maligisu Kijiji cha Kadashi kina Watumishi 12 ambao ni Co 3, NO 1, ANO 3, EN 2, MAT 2 na CA 1. Mimi ni mmoja wao, nimeamua kueleza changamoto tunazopitia kwa sababu hali iliyopo imekuwa ngumu kwetu watumishi na inaweza...
  2. JamiiForums Tanzania Mtu sahihi wa kufanya naye kazi

    Leo nimezidi kuamini kuwa changamoto kubwa kwenye biashara si kupata wateja tu, bali ni kupata watu sahihi wa kufanya nao kazi. Teknolojia, hasa AI, imeanza kuwa mshirika muhimu sana. Ndiyo, inaweza kuwa na gharama, lakini mara nyingi inafanya kazi kwa ufanisi, kwa wakati, na bila visingizio...
  3. JamiiForums Tanzania Malizia hii wikiendi kwa kuendelea kukataa pombe na ulevi. Jilinde dhidi ya kufirisika, magonjwa, talaka, kudumaa na kufanya vituko ukiwa umelewa

    Marafiki wakikuita velvet waambie upo na famila beach kwa zena Marafiki wakikuuta kitambaa cheupe waambie upo plaza unacheki movie na wadogo zako. Malaya zako wakikuita zile pubs za tabata, waambie wiki hii una marejesho Washkaji wakisema wanakulipia bill kwa leo, waambie unaumwa na hauwezi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Asante Samia kwa kukuza Chadema na kufanya kiwe chama cha Watanzania wote

    Pamoja na mabaya mengi ya Samia amesaidia kwa kiasi kikubwa kuwakuza viongozi wa Chadema na kukuza chama. Kitendo cha Chadema kutokuingia kwenye chaguzi fake zimeonyesha walikuwa sawa na ukweli Watanzania wanakubaliana nao. Yaani Samia alifanya makosa makubwa sana kupuuza Ushauri kabla ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali, TNMC tusaidieni. Watumishi hospitali ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA tunateseka

    Uongozi wa hospital ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA unatulazimisha wafanyakazi kufanya shift mbili, hii ni nje ya utaratibu rwa serikali na hupunguza ufanisi tunapokuwa kazini na huhatarisha Afya kwa wagonjwa. Malipo duni ya Muda wa ziada na tunavuliwa uongozi na kutishwa kufukuzwa kazi tunaposemea...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Angola, aambatana na Mama Maria Nyerere kuzindua hospitali ya Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage...
  7. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira awahurumia CHADEMA na kuwaasa wananchi cha kufanya ili wapate maendeleo

    Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini. Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani yapanga kufanya mashambulizi dhidi ya magaidi wa JINM nchini Mali

    Bwana Sebastian Gorku akizungumza na waandishi wa habari. Raisi Donald Trump amekuwa akishauriana na watu mbalimbali ndani ya utawalal wake nai pia kufikiria ombi la nchi ya Mali kusaidiwa kuondoa magaidi wa JNIM ambao wana mahusiano na kundi la Al Qaeda. JINM ambao kirefu chake ni Jama’at...
  9. JamiiForums Tanzania Hasara za Kufanya Kazi Vijijini Huku Ukiishi Mjini

    Kufanya kazi katika maeneo ya vijijini huku makazi yako yakiwa mjini kunaleta changamoto nyingi za kifedha na kijamii. Baadhi ya changamoto hizo ni: 1. Gharama kubwa za kununua usafiri Watumishi wengi wanaofanya kazi katika maeneo ya pembezoni hulazimika kumiliki usafiri binafsi, hasa pikipiki...
  10. JamiiForums Tanzania Furaha ni Mtego: Kwanini Inakudhoofisha na kufanya uwe mnyonge?

    Mtaani siku hizi kila mtu anakuambia "fanya kile kinachokupa furaha." Hii ni kauli ya uongo na mtego wa kisaikolojia uliotengenezwa kukufanya uwe mvivu, mnyonge, na mtu asiyeweza kuvumilia dhoruba za maisha. Ukifanya furaha kuwa dira yako ya kuchukua hatua, hutawahi kufanya jambo lolote la maana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni jeuri ya pesa ? Gachuma, tajiri wa Mwanza kampeleka Diamond Tarime kwajili ya Birthday wakati angehitajika harusi ya mtoto wa tajiri wa Katoro

    Tajiri wa Katoro sio mtu wa kupenda unyonge! Hapana kabisa! hana dogo, anapenda kujulikana kwamba ana mkwanja mrefu kama mguu wa twiga! Na usidhani ni maneno tu, tuliona video wiki iliyopita zilizotuteka headlines mitandaoni. Kwenye sendoff ya mtoto wake alianza kwa kum book Ali Kiba na wala...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi tukiamua kufanya maandamano ya bila ukomo kuwataka wazungu warudi kututawala hawatatusikiliza kweli?

    Nimejaribu kuwaza maana maisha wanayoishi raia siyo poa kabisa. Ukiwa mjini utaona mambo yako sawa kiasi nenda vijijini mzee, aseeee Ni mwendo wa kubeba bendera za Britain na chanting za "Long live the King! 👑"
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Katika kutafuta Uhalali, FARAO kahongwa 1.8B TZS kufanya Ziara, ili kuhalalisha Umalikia

    Inasemekana , Kuna Orodha imeshaandaliwa ya Wafalme mbalimbali wa Bara la Giza walokwisha kupokea Michuzi ya TZ shillings ambao watafanya Ziara hapo Malawi , yote kwa Yote, Kumpa Uhalali wa Utawala ,Malikia aliyeua ili kua Malikia.
  14. JamiiForums Tanzania Utajiri unapatikana kwa maombi au kufanya KAZI?

    Tuone.
  15. JamiiForums Tanzania Madereva 165 wa Malori walalamikia kushindwa kufanya mtihani wa mwisho VETA - MPANDA

    Madereva 165 ambao walikuwa wanasoma kozi ya udereva katika Chuo cha VETA Mpanda wameiomba serikali kuingilia kati sakata la kutofanya mitihani yao ya mwisho hadi sasa licha ya muda wa kozi hiyo kuisha zaidi ya mwezi mmoja sasa.
  16. JamiiForums Tanzania Uliwahi kufanya dhambi gani duniani hata ukajutia?

    Maisha ya mwanadamu yamejaa maamuzi mbalimbali. Wakati mwingine tunafanya mambo kwa sababu ya hasira, tamaa, ujinga, ushawishi wa marafiki, au kutokufikiria madhara yake ya baadaye. Baadhi ya matendo hayo yanaweza kutufanya tufurahie kwa muda mfupi, lakini baadaye yakatuacha na majuto moyoni...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa SUA tunapata shida, hela za ada zilirudishwa HESLB na sasa tunashindwa kuingia kwenye mtihani

    Katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kuna wanafunzi ambao tulisaini makubaliano ya ada kulipwa kupitia HESLB, lakini fedha hizo zilirudishwa HESLB. Tulipowasiliana na HESLB, tuliambiwa ni hitilafu ya mfumo na kwamba suala hilo linashughulikiwa, hivyo tusiwe na wasiwasi. Hata hivyo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo UDOM una changamoto, wanafunzi wanashindwa kufanya usajili na UE imekaribia

    Baadhi ya Wanafunzi UDOM wamekwama kwenye issue ya usajiri na hii ni kutokana na mfumo wao wenyewe kuna muda unakuwa mzito ukiomba ktu kinachelewa muda mwengine control numbers zinakuja mbili mbili sasa kama sasa hivi dirisha limefungwa na hakuna dalili za kufunguliwa hadi leo na wakati huo huo...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ndio biashara ya kufanya Kwa kijana anayetaka kufanikiwa/kuongeza kipato.

    ukiwa na mtaji chini ya million 20 usijichanganye kwenye biashara za muonekano ambazo, taka, frame, TRA, manispaa, ulinzi n.k wote wanakuangalia wewe, na hii era tunayoenda nayo ndio basi tena, Kwa miaka ya Sasa mtaji wa 5M -10M ukiikimbiza kwenye frame labda uwe na rare skills ambazo watu...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Rai ya Jenerali Ulimwengu: UanaHARAKATI ndiyo njia sahihi ya kufanya siasa, vinginevyo ni utapeli wa siasa kusaka tonge kupitia vyama vya siasa

    Mwanasiasa asiye mwanaharakati ni tapeli anayesaka tonge kupitia kauli-mbiu na utambulishi wa vyama. Mwanaharakati ana lake jambo la kulisimamia kokote aliko hadi mwisho wake. Ukiniuliza mie, dharau wanasiasa, heshimu mwanaharakati
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…