kufanikiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Ukizaliwa/ukizamia tu America 🇱🇷 tayari una asilimia 95% za kufanikiwa

    Yeah, Ukizaliwa first world country tayari una asilimia kubwa sana ya kufanikiwa kwenye angle zote kimaisha, kimasomo, kiuchumu..nk Hata wabeba box wengi wenye akili sawsawa waliozamia America, ulaya wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wanaofikiria kumhujumu na kumkwamisha Rais wetu wanajisumbua

    Ndugu zangu Watanzania, Nawapeni tu taarifa ya kuwa kama kuna mtu ama watu ama kikundi cha watu iwe ni ndani ya Nchi ama kutoka nje ya Nchi kinachoweza kuwa na mawazo ama Dhamira ya kumhujumu Rais wetu na Kumkwamisha Rais wetu Mpendwa katika kulitumikia Taifa letu. Ni lazma wafahamu ya kuwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sababu mfumo wa Kichina wa Chama kimoja hauwezi kufanikiwa Tanzania?

    Kuna watu wanajidanganya CCM kwamba chao chao na Tanzania ifuate mfumo wa Kichina badala ya mfumo wa kidemokrasia. Ukweli ni kwamba mfumo inabidi uendane na jamii. Sasa tujiulize kama haya yanawezekana. au la. Kwa mawazo yangu haiwezekani kwenye jamii ya Watanzania kwasababu chache tu 1. Jamii...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukipoteza au ukitaka kurekebisha cheti chako cha Chuo cha Stella Maris (Tawi la SAUT - Mtwara) ni ngumu kufanikiwa

    Huku kwetu Mtwara, kuna changamoto inayowakuta Wanafunzi wa Chuo cha St. Augustine University of Tanzania (SAUT) Tawi la Mtwara linalojulikana kwa jina la Stella Maris Mtwara University College (STEMMUCO) kutopewa vyeti vyao tena kama vilipotea au inapotokea vina marekebisho. Baadhi ya wahitimu...
  5. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha una nafasi kubwa sana ya kufeli kuliko kufanikiwa

    Katika harakati za kutafuta maisha, wengi hua na ndoto za kutoka wakilinganisha mafanikio aliopata mtu flan(Mentor), however sio kitu kibaya kua na mentor ila ukwel ni mafanikio hua ni njia binafasi Kwa mfano unaweza tamani kuamfanya biashara maarufu, katika dira zako ukaona mtu kama vunja bei...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Robert Alai: Tanzania Shida siyo Samia, shida ni system (mfumo), ili kufanikiwa lazima ing'olewe

    Wakati akizungumza na Radio 47, Robert Alai ameeleza kuwa shida si Rais Samia bali ni mfumo mzima uliopo hivyo ili kufanikiwa ni lazima ung'olewe. Amesisistiza kuwa anaamini kwamba shida siyo Samia, shida ni CCM.
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hii kete walioisukuma CCM ni kama inataka kufanikiwa

    Ni kama wamekata maji makusudi ili hii habari itrend zaidi watu wasahahu yaliotokea Oktoba 29, mimi nikishaona habari mbaya mbaya zinapostiwa hadi na TBC kila saa na vyombo vingine machawa vya Tanzania ujue kuna walakini. Shtukeni huu ni mchongo. Wametengeneza tatizo halafu baada ya muda mfupi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Wanaharakati yanategemea makundi ya wasio na hatia ili Kufanikiwa

    Ukiwasikiliza muda huu wanasema wazi wazi. Wanasema “Leo watu walibanwa ndo maana hajatoka mtu.” Wanajijua wapo wachache mno ila wanategemea vikundi vya watu wasio na hatia waingia na kuleta vurugu ili walinda amani wakivamia kikundi waonekane wana supporters wengi Kama mwizi anavyochoropoka...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hofu kubwa zaidi ni CCM kufanikiwa kubaki madarakani baada ya hizi vurumai, itageuka hayawani katili zaidi. Tujipange!

    CCM ikifanikiwa kubaki madarakani kwa uchaguzi huu wa kiinamacho ulioharibika na baada ya machufuko yaliyotokea hali ya ukandamizaji itakuwa mbaya zaidi, nchi itaingia kwenye udikteta mbaya zaidi utakaorasimishwa kwa sheria mbaya zaidi za bunge la chama kimoja. CHADEMA itafutwa rasmi, viongozi...
  10. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini ndoto za Mange za Jeshi la Tanzania kuasi haziwezi kufanikiwa?

    Jeshi la Tanzania haliwezi kuasi kwa sababu limejengwa juu ya msingi wa historia, umoja na falsafa ya kitaifa iliyopandikizwa tangu enzi za ukombozi. Wakati mataifa mengi ya Afrika yalirithi majeshi ya kikoloni yaliyokuwa vyombo vya ukandamizaji, Tanzania ilijenga Jeshi la Ulinzi la Wananchi...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya oktoba 29, 2025 hayawezi kufanikiwa, japo nia yake imewapa ujumbe mkubwa mafisadi

    Ningetamani haya maandamano yatokee na sisi tufanye mapinduzi dhidi ya mafisadi na viongozi wahuni, lakini Kwa vyovyote hili halitawezekana Mafisadi na wahuni watafanikiwa kufanya uchaguzi fake Kwa amani na kujitangaza kushinda na baadaye kujiapisha na kupigiwa mizinga na jeshi letu, Sababu...
  12. youngkato

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaomba ushauri wako

    Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta. Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni za biashara lakini hakuna hatua. Kitu gani kinatufanya tusifanikiwe?
  13. Street brain

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Miaka mitano ya rais Samia: Usipojipanga saaa, sahau kabisa kufanikiwa baadaye

    Mambo vipi wanajf jobless nakuja tena kutabiri,,,ukiangalia mwelekeo wa maendeleo ya taifa chini ya uongozi wa Rais Samia katika miaka mitano ijayo, ebu ngoja nigusie vitu vifuatavyo watu au wenye mfumo wanaenda kutengeneza vitu vifuatavyo kwenye mfumo wao👇👇👇 Watu watatengeneza mifumo yao...
  14. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu husema "Ukifanikiwa New york (USA) basi unaweza kufanikiwa sehemu yoyote !?.

    First off there are over 8 million people in NYC. So it’s very competitive. There are many very smart people here. Smarter than you. There is a tremendous amount of creativity here, art, fashion, architecture. It has a diverse population, there 195 countries on the plant, we probably have...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania kufanikiwa labda wabunge wasiwe wasomi, maprofesa,nk

    Nasema hivyo kwa maana kuwa wasomi wa Tanzania ndiyo wanaongoza kwa kutofikiria na wametanguliza masilahi yao kiasi kwamba hata ndugu/familia zao hawawajali wamekalia uzungu na usasa badala ya kuisaidia jamii inayowazunguka kupitia ujuzi/elimu waliyonayo. Sasa kama msomi hawezi kuitumia elimu...
  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kufanikiwa si akili bali ni ujanja ujanja tu

    Wengi wanaamini ukiwa na akili nyingi ndio utafanikiwa katika maisha, kitu ambacho si kweli; bali wenye akili nyingi wanawasaidia wengine kufanikiwa huku wao wakiishi kwenye maisha ya kawaida. Wanasaidia watu wa kawaida kutimiza ndoto zao. Ukiwauliza waliofanikiwa wamepitia njia zipi kufika...
  17. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Aina ya wanawake ambao mwanaume akioa ni vigumu kufanikiwa

    Ukweli ni mchungu lakini acha niuseme mwenye HEKIMA atajifunza jambo. Mwanaume aliye na malengo lazima ajue kabla yakukosea njia sahihi ya kuoa. Huna haja ya kulala na mchawi ili umsaidie ajirekebishe. Wakati mwingine, unaemchukua ni mwanamke mbaya katika nafsi yako, na maisha yako huanza...
  18. Blood of Jesus

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini hawezi kufanikiwa?

    Rejea swali hilo hapo juu. Ninaongea haya nikitokea katika utumishi wa Mungu. Tunzeni hili mtakuja kulithibitisha soon. Ni kwanini hata angetumia mbinu na njia gani kamwe hatofanikiwa? 1. Kukosa kibali(kwa Mungu na kwa wanadamu) Hana kibali ndio maana ametumia na anatumia nguvu nyingi sana...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane tu kuwa ukiwa na Watu wenye 'Nuksi' iwe katika Familia au Kazini au Michezoni sahau kabisa Kufanikiwa kwa lolote

    Hili wala halina Ubishi kuwa Suala la Bahati na Nuksi itokayo kwa Mtu au Watu fulani ina Nguvu Kubwa mno katika Mafanikio ya Jambo au Mkakati fulani. Kuna Watu ukiwa nao katika Familia au Taasisi fulani utaona Mambo yanaenda vyema ila pia kuna Watu ukiwa nao huko huko katika hizo Taasisi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kufanikiwa kwenye ufugaji

    Habari,Leo napenda kutoa elimu juu ya mbinu Bora za kufanikiwa kwenye mifugo yako; --- ✅ 1. Chagua Aina Bora ya Mifugo Tumia mbegu bora (high-yielding breeds) Angalia lengo lako: nyama, maziwa, au uzao ✅ 2. Malisho Bora na Lishe Sahihi Hakikisha chakula ni cha kutosha na chenye virutubisho...
Back
Top Bottom