kufahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. papag

    Hapa naweza kufahamu namba ya simu?

    Habari wakuu? Je naweza kufahamu namba ya simu kwa kutumia hizi namba ? Ahsante
  2. R

    POTOSHI Picha, Polisi Uganda wakikagua video ya mwisho aliyopost Bobi Wine kufahamu alipo

    Kama alivyotoa tamko Jenerali Muhoozi Kabobi atafutwe apatikane akiwa hai au amekufa Ila nimegundua ukishaitwa Polisi kidogo unakuwa hamnazo yaani zinafyatuka, hapo wakiulizwa mnamtafuta kwa kazi gani na wao watajibu ni order ya Jenerali
  3. N

    Kwa mwenye kufahamu kinacho endelea ujenzi wa barabara jijini Mbeya

    Wakuu msada kwa anaeye fahamu kinacho endelea juu ya ujenzi wa njia nne jijini mbeya. Mwaka jana nilishuhudia kero ya vumbi na baadaye matope! Kisa ni enzi huu sasa jana narudi Mbeya mjini hali ni ile ile! mwaka jana walau wajenzi walikuwa kazini maeneo mengi kuanzia Uyole hadi Mwanjelwa na...
  4. Imani rubaba

    Usifuge ng’ombe wa maziwa bila kufahamu haya, utafeli

    SOMO FUPI (LILILOFANYIWA UTAFITI): Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Ng’ombe wa Maziwa Lengo la somo: Kuwezesha mfugaji au mwekezaji kufanya uamuzi sahihi, wa kitaalamu, na wa faida kabla ya kununua ng’ombe wa maziwa, ili kuepuka hasara zinazotokana na maamuzi ya haraka au taarifa zisizo...
  5. Fbn

    Dotto magari tuna kufahamu watoto wa kinondoni, Punguza kamdomo

    Kama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa. Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya akili na roho mbaya kuliko wale waliokuta utajiri ukija wenyewe. Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini...
  6. Ghayo El Yehudi

    Ukitaka kufahamu kuwa wazee wa maandamano wana akili ndogo kasikilize " space " na "live " zao wakipanga mipango ya maandamano.

    Jana nilisikia space ya Maria , insta live ya Nuru vazi na za TikTok nasikilizaga. Nikichogundua kuwa wako very disorganized yaani hakuna kiongozi watu wanaongea hovyo mpaka wengine wanagombana kabisa. Kuna kundi Wanataka maandamano ya Amani mabango bila fujo huku wengine wakitaka wasipangiwe...
  7. Fbn

    Edward Snowden sio mjinga kufahamu ujasusi mnajua taarifa za CCM zipo nchi zote wanaweza kutumia kuwa tumia wanavyotaka

    Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi. JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
  8. Damaso

    Chuo cha Afya Mac Wish kinakwama kwenye Marekting bila kufahamu

    Ni jambo la kushangaza kuona taasisi ya elimu kama Chuo cha Afya Mac Wish ikishindwa kunufaika na fursa ya kujitangaza ipasavyo. Badala ya kuwa na kitengo cha masoko chenye ubunifu na mvuto, kimeonekana kutochukua hatua madhubuti – na matokeo yake, majukumu nyeti ya marketing yameachwa mikononi...
  9. Vien

    Nahitaji kufahamu zaidi ya maswala katika uendeshaji biashara chini ya kampuni

    Habari wanazengo, Nimekua na shauku sana la kusajili biashara yangu ya hardware itambulike rasmi kama kampuni, sasa katika kufuatilia nimekutana na vitisho vingi kutoka kwa watu mpaka inapelekea niwe na utulivu ili nipate elimu kwanza kabla ya kuingia moja kwa moja kwenye kusajili kampuni...
  10. N

    Tatizo linalokula data za watu bila mtu kufahamu hapa kwenye pagination ya chapisho

    Habari, Pagination ni nini ? kitaalamu pagination ni zile buttons za next and prev hizi zinakuwezesha kuona comment zaidi zilizo hide mfano 1, 2, 3, 4, 5, 7 ambapo hapa jamiiforums zipo pale kwenye comment section tupo pamoja. Mfumo wa pagination unaotumika sasa hivi kwenye JamiiForums (ule...
  11. 888I

    UTT AMIS vs DSE – Ni ipi bora kwa uwekezaji? Nisaidiane kufahamu

    Wakuu, Nimekuwa nikijifunza kuhusu njia mbalimbali za uwekezaji hapa Tanzania, na nimekutana na majina mawili makubwa: UTT AMIS na DSE. Ningependa kuelewa tofauti zao, faida, na changamoto kabla sijafanya maamuzi. Nimefahamu haya 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
  12. B

    Naomba kufahamu Kiwanda cha mifuko rejea

    Habari za muda huu wakuu...naomba kufahamu kiwanda au mahali nitakapo pata mifuko hii ikiwa kiwandani kilipoa jumla nahitaji mingi sana ikiwekana nifamu na bei zake
  13. Samson Ernest

    Mambo Ya Msingi Kufahamu Juu Ya Dhiki/Mateso Anayopitia Mwamini Au Kanisa

    Hakuna anayefurahia mateso, hakuna anayependa kuumia, pamoja na kutokupenda huko tunajikuta tupo ndani ya mateso mengi. Katikati ya mateso tunaweza kupata mtu bora, tunaweza kupata kanisa imara, kwa lugha nyepesi mateso huleta faida. Mateso yanawezaje kuleta faida? Jibu lipo kwenye video hii...
  14. Adverse Effect

    Je, kuna umuhimu au faida kufahamu mahali wanaishi watumishi/watendaji wa serikali kama mahakimu, majaji, askari magereza na mapolisi kwa wema tu?

    Tunapokutana na matatizo au changamoto mbalimbali tunapata fursa ya kuchagua mambo mawili. Mosi ni kukabiliana na changamoto na kujaribu kuzitatua ili zisiwepo na jambo la pili ni kujaribu kuzoea changamoto na kuendelea kuishi nazo hata kama zinakutesa. Miaka mitano iliyopita bi mkubwa wetu...
  15. Kumfumaster97

    Nahitaji kufahamu tofauti kati Certificate of registration for Taxpayer Identification Number na Service levy

    Natumai mmeamka salama Familia ya wanajf Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,naomba msaada wa kufahamu tofauti kati Certificate of registration for TIN na service levy(BRELA)
  16. SweetyCandy

    Nahitaji kufahamu kuhusu mkoa wa Shinyanga

    Naomba kufahamu mji wa shinyanga nakama kuna mwenyeji ani Pm Tafadhali kama. Sio mwenyeji usinipm
  17. peno hasegawa

    Mwenye kufahamu mahali viwanda 13 vilipo vya kutengeneza magari atuambie,ninaona tunatapeliwa

    Bango hili hapo! Ninaona tunatapelewa na kundi la watu wachache
  18. stabilityman

    nimepata swali inbox Engineer samahani ningependa kufahamu utofauti wa gharama uliopo kati ya hidden roffing na roffing za kuonekana

    Hakuna haja ya kuomba radhi—swali lako ni la msingi kabisa! Tofauti ya gharama kati ya “hidden roofing” (paa lililofichwa) na paa la kawaida (linaloonekana) inategemea mambo kadhaa, lakini hapa kuna muhtasari wa tofauti kuu: * Hidden Roofing (Paa lililofichwa)* Faida za gharama: Hupunguza...
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wanawake mtambue na kufahamu ya kuwa sex,kupika na kufua sio hitaji kuu kwenye ndoa kama mnavyondanganya kwenye vicoba.

    Leo utakuta kuna ma kungwi yanawafundisha wanawake kuifinyia kwa ndani wakijua ndo solution la kumkamata mwanaume. Anaye kufundisha mwenyewe hata mme licha anajua hadi kuifinyia kwa ndani bado tu unaunguza mb zako kuangalia. Hivyo vitu tajwa hapo juu kwa uchache ni ziada tu kwani vinaweza...
  20. F

    MSAADA WAKUU MWENYE KUFAHAMU HILI

    Habari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye kwenye cm yake inatokea, pili kwenye upande wa facebook jamaa akitumia fb mfano kuchat messenger mkewe...
Back
Top Bottom