kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanajeshi 30 wa Marekani wahofiwa kufa baada meli yao kulipuliwa

    Habari zilizotufikia hivi punde meli ya Kijeshi ya Marekani ya USS Libert imepigwa na makombora ya Iran nakulipuliwa huko Ghuba ya uajemeni na wanajeshi 30 wanahofiwa kufa BREAKING: It's reported that American Navy intelligence vessel 'USS Liberty' has just been hit with a barrage of Iranian...
  2. F

    Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa

    Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa.
  3. Wengi wetu ni wakopaji sana kwenye mabenki ila hili ni sikio la kufa

    Kuna benki zinajitutumua kufanya kama defined bank services providers lkn ni wazushi sana. Sitowataja ila ni kati ya benki mbili maarufu zinazotumiwa na serikali kuwakopesha watumishi. Niseme ukweli benki ni taasisi za wizi asikuambie mtu. Zaidi na zaidi hawa wamezidi ni wadanganyifu. Leo...
  4. Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

    Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema.... Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu...
  5. Mwamba anayeruka na mkeo hatoki mbali; ni huyo huyo rafiki yako unayemwita wa kufa na kuzikana

    Wote mpo hapo wizara ya fedha, kidogo wewe una kacheo hivyo huwa unasafi mara kwa mara kwenda mikoa mbalimbali, kutoa elimu ya masuala ya fedha. Kumbuka mkeo ni mtoto wa kinyaturu mweupeee kapanda hewani, rafiki yako mtozee ajalia vitamu kirahisi huku shemu wakati ananyanduliwa anakutukana...
  6. Kilimanjaro: Ajinyonga hadi kufa kisa wivu wa kimapenzi

    Kijana mmoja Anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 aitwae Henry amejinyonga hadi kufa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Tukio hilo limetokea leo mchana Katika Kijiji cha Narumu huko katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Sababu Za kijana huyo kujinyonga hadi kufa ni baada ya...
  7. Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu. Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana la Nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgawo wa umeme tungekuwa tunausikia tu. Treni Dar...
  8. Ufaransa kuwasilisha Bungeni Muswada wa Sheria ya Kusaida Mtu Kufa

    UFARANSA: Rais Emmanuel Macron, ametangaza kuwa ifikapo Mei 2024, Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Sheria itakayotoa Haki ya kusaidia Watu Kufa baada ya kuugua au kufikia hatua mbaya ya maumivu yasiyotibika. Macron amesema "Kutokana na kwamba kuna hali ambazo hauwezi kuzikabili...
  9. Afrika Kusini yapendekeza nchi zitoe majeshi yatumike kuvusha misaada Rafah watu wasiendelee kufa

    Bi Naledi Pandor, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Afrika Kusini ameshangazwa na matumizi ya maneno pekee kutaka misaada ifikishwe Gaza bila vitendo huku watu wakidondoka mitaani kwa njaa. Amesema wale wale wanaipa Israel silaha iendeleze maangamizi ya Wapalestina kama hawana...
  10. N

    Sitosahau siku tuliyotaka kufa kwa kicheko baada ya mwalimu kupiga chafya na kutokwa na puto kuubwa la kamasi lililokaribia kufunika uso.

    Iilikuwa shule fulani huko maeneo ya kibaha kwenye miaka ya 2000s. Tukiwa tumetulia ghafla kengele ya dharura ikagongwa na sote tukakimbilia parade kujua kunani. Kumbe ilikuwa kengele ya jambo jema; jamaa wa bank (ya posta kama sikosei) walifika kutoa zawadi kwa mwanafunzi fulani pale baada ya...
  11. S

    Sikubaliani na Profesa Janabi

    Mwili una mifumo imara ya kutambua mapungufu na mahitaji yake. Kwa hiyo jaribio lolote la kuuelekeza (to dictate) mwili nini cha kufanya ni kuharibu miitikio ya kimaumbile. Mwili hutoa viashiria mbalimbali unapokuwa na mahitaji ama mapungufu; 1. Kiu.........maji. 2. Njaa....chakula. 3...
  12. Hivi ndivyo itakavyokuwa pale unapoanza kufa

    Nguvu za mwili zitaanza kukuishia, Utasikia kama usingizi mzito unakuja, Mapigo ya moyo yatapungua kasi, Hali ya kukata tamaa kupigania uhai itakujia. Utawaza maisha Yako tangu kumbukumbu za utoto wako mpaka hapo ulipo. Utawaza mambo mabaya na mema uliyoyafanya/yaliyokutokea. Utawaza vitu...
  13. Mtakuja kufa bure kwa presha. Jitahidini kutongoza. Kwa sasa wanaume hatuna muda

    Dah! Sio kwamba tunashindwa la hasha! Ni kwa vile tu uchumi umeshuka, hasahasa ninyi mnaojieka ki baby Zuu, inafikia hatua tunajiuliza kuwa endapo tutawarushia nyavu, tutakuwa tayari kukabiliana na majibu machafu mtakayotupatia? Vipi kuhusu gharama za kuwalipa? Inapotokea chance ya ninyi...
  14. Hadi sasa hivi Wapalestina wanaendela kufa kwa mamia kwa siku, idadi sasa 27,365

    Yaani Israel imedhamiria, sio mchezo....HAMAS waligusa pabaya. GAZA, Feb. 4 (Xinhua) -- The Palestinian death toll from the ongoing Israeli attacks in the Gaza Strip has risen to 27,365, while 66,630 others were wounded, the Hamas-run Health Ministry said Sunday. During the past 24 hours, the...
  15. Kuna Uhalali au ulazima kwa kampuni za simu kutoa namba za simu za mtumba (zilizotumika na watu wengine walio hai au kufa)?

    Wasalaam wana JF Nilikua nachangia kwenye uzi mmoja uliokua unajadili ulazima wa kuhifadhi number za simu za marehemu, nikawaza kwa maandishi, JE KUNA SABABU GANI YA KAMPUNI ZA SIMU KUTOA NAMBA ZA SIMU ZA MTUMBA? Kwangu mimi, kumiliki number ya simu ya mtumba (iliyotumiwa na mtu mwingine aliye...
  16. M

    Kesho ndo watu watajua kuwa waarabu wana figisu figisu ya kufa mtu kwenye mechi ya Misri Vs Cae Verde

    Misri haitakubali iishie kwenye hatua ya makundi wakati itakapokutana na Cape Verde. Hadi sasa Misri ina pointi 2 tu kwenye mechi zake mbili. Kesho ikifungwa itakuwa imeyaaga mashindano!! Kesho waarabu watakuambia KAMA MBWAI NA IWE MBWAI, watafanya lolote linalowezekana hata kama ni kulazimisha...
  17. Kufa kufaana; Wanakijiji wagawana nyama baada ya ng'ombe 16 kupigwa radi

    Wananchi wa Kalebezo kata ya Nyarubungo Wilaya ya Biharamulo, wakigawana kitoweo baada ya maafa ya radi kuua ng'ombe 16, mali ya Richard Daudi. Ajali hiyo ilitokea Januari 13 mwaka.
  18. Mtu hawezi kufa akafufuka, Stori za Watu waliokufa kuonekana ni uongo, na zinafanana kwa asilimia kubwa

    Kwema Wakuu! Kuna habari zinazoendelea hapa nchini hasa kanda ya ziwa na huko kanda ya magharibi ya nchi yetu kuhusu Watu waliokufa kuonekana tena , kurudi na juzi kuna mmoja amepiga simu ati kuwatakia ndugu zake mwaka mpya mwema. Ni jamii ya kijinga inayoamini kuwa mtu akifa tena akazikwa...
  19. Burundi: Rais Evariste Ndamishiye asema mashoga wapigwe mawe hadharani

    Rais wa Burundi Jenerali Evariste Ndamishiye amesema anadhani inafaa mashoga wakusanywe kwenye viwanja harafu wapigwe Mawe Hadi Kufa hadharani. -- Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsia moja nchini Burundi wanapaswa kupelekwa kwenye viwanja vya michezo na kupigwa mawe...
  20. Hii ndio sababu watu wengi wakitaka kufa hugombana wasife

    Mwanadamu hukuumbwa ili ufe. Uliumbwa ili uishi milele. Mtu anapokuwa anakufa kabla hajakata moto huwa kuna pambano la kukataa kukubali kuwa anakufa. Hata wale waliomahututi hata kama kwa maumbile haonekani akifurukuta asife, huwa anapinga kabisa tukio hilo. Kwa nini? Mhubiri 3:11 Kila kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…