kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BAK

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Rais Samia akiwa katika ziara yake mkoa wa Morogoro maeneo ya Kibaigwa amewataka wananchi wote kuchukua tahadhari juu janga la Covid-19. Katika kufafanua jambo hili Rais Samia amesisitiza kuwa wimbi la tatu la ugonjwa huu limeshaanza kutikisa katika miji mikubwa ya taifa la Tanzania. Aidha...
  2. Immortal Consulting Co

    JamiiForums Tanzania Zijue dalili saba za biashara inayoenda kufa

    Katika ulimwengu wa biashara, ni kazi ngumu kuifanya biashara idumu na kukua kuliko kuianzisha hata kama ulianzisha kwa mabilioni ya pesa. Biashara nyingi huanzishwa kila siku na biashara nyingi zinakufa kila siku kwa sababu mbalimbali ambazo tutazijali siku nyingine. Katika makala ya leo...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Serikali tuelezeni hatma ya kiwanda hiki wakati watu wakiendelea kufa kwa malaria

    Marehemu JPM alitembelea kiwanda hiki na kukukta mrundikano wa viuatilifu vya mbu wa malaria. Kwa uzalendo wake akaamua halmashauri zote zinunue dawa hizo na kuzitumia kupulizia mazalio ya mbu na hazina ingekilipa kiwanda hicho moja kamoja toka kwenye bajeti za halmashauri. Nadhani hela...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mwananyamala: Rais Samia ala kona baada ya kuambiwa wodi anayotaka kuingia ni ya wagojwa wenye matatizo ya kupumua

    😀😀😀😀😀 niko hapa sebuleni kwangu naangalia Tv nimefurahi sana Rais Samia alivyosita kuingia wodini baada ya kuambiwa ni maalum kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua hospitali ya Mwananyamala.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mtoto ateketea kwa moto wakati wa operesheni ya Kiserikali

    Habari hii ni kutoka Kaliua, Tabora ambako wale jamaa wasiokuwa na chembe ya utu walikuwa wametia timu kwenda kufanya yao. Unachoma vipi nyumba ambayo wanaweza kuwemo ndani watoto wadogo, wazee au wasiojiweza? Piga picha kumwona mtoto wa miaka 4 yuko je. Eeh mola wetu umrehemu malaika wako...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Foleni ya kufa mtu Lugalo: TANROADS acheni hizo

    Barabara ya Mwenge-Lugalo-Mbezi Beach leo jioni ilikuwa balaa. Kuna mkandarasi anafanya kazi mchana hadi jioni NA KUZIBA lane moja. Hapo ndio naona hii ni kichaa kabisa, watafanyaje kazi wakati wa maximum traffic? Matokeo yake ni magari kuxiba njia zote kabisa. TANROADS tumieni akili ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Aliyehujumu mkutano wa Injili wa nabii Mwamposa hadi watu wakakanyagana na wengine kufa anakaribia kujulikana!

    Ilikuwa ni pale Moshi ambapo mashuhuda walidai wakati wanakimbilia getini ili watoke nje kuna watu waliwazuia na walipoanguka chini walipigwa mateke na makofi. Muhujumu wa mkutano ule wa Injili yu mbioni kuumbuka. Eid Mubarak!
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa masikini inatokea lakini kufa masikini ni chaguo

  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Waendesha bodaboda wamwaga chakula msibani, wadai marehemu alikuwa ananyimwa msosi

    Waendesha bodaboda wa kituo cha Kisangiro kata ya Kilema Kaskazini wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro wamevamia msiba wa Lenard Abel (20) na kumwaga chakula na pombe kwa madai kuwa marehemu alikuwa hapewi chakula alipokuwa hai. Walifika katika msiba huo saa 9 alasiri jana Jumatatu Mei 3, 2021...
  10. Memtata

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kuacha mtoto kabla ya kufa?

    “Dereve taratibu bana usije ukatuua, mi sina mtoto hata mmoja” Msemo kama huu husikika sana katika jamii yetu watu wakimaanisha ni kama mkosi kufariki kabla hujaacha mtoto. Imefikia watu kuona ni bora ufe na kumuacha mwanamke wako mjamzito kuliko kufa hujaacha chochote. Katika jamii yetu kuna...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Muuguzi ajinyonga hadi kufa, Polisi wasema ni kutokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na madeni

    Muuguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, David Mtaita (30) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba ikiwa ni baada ya kujichoma sindano ya kutuliza maumivu. Akizungumza leo Alhamisi Aprili 29, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha kutokea kwa tukio...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kimbunga hiki/upepo mkali ukiambatana na mvua kubwa huenda vikatokea pwani ya Tanzania

    Kimbunga hiki/upepo mkali ukiambatana na mvua kubwa huenda vikatokea pwani yetu hususan miji ya Lindi,Mtwara,Dar es salaam,Unguja,Mombasa,Malindi Chanzo kinasema upepo huo unatarajiwa kati ya tarehe 21/4/2021 na 26/4/2021. Hivyo tuchukue tahadhari na bahari kwa siku hizi,na kufuatilia utabiri...
  13. Kikusya

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili reli ya Kaskazini isife kama ilivyokufa mwanzo?

    Mimi sijui kwa nini ile reli yetu ya kaskazini ilikufa na tufanyeje ili hii iliyofufuliwa isife kamwe? Tumejifunza mengi sana kwa hayati John Magufuli, na Mungu amuweke mahala pema peponi. Mimi nahamini kila binadamu ataenda peponi na hilo ndiyo kusudio la Muumba wetu. Je kuna nini cha...
  14. 2019

    JamiiForums Tanzania TRC huenda likawa shirika la kwanza kufa mara hii

    Mods naomba msifute uzi huu kwa maslahi ya taifa kwa ujumla. Kiukweli kwa hali jinsi inavyoenda miaka miwili itakuwa mingi treni ya Deluxe kutoka Dar kwenda Arusha itakufa. Kwa Kigoma sijajua maana ni wavumilivu sana, sio walalamishi Tunakumbuka jinsi mwendazake (JPM) alivyotumia nguvu na...
  15. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu kuhusu kupendwa kwa Magufuli mitandaoni na mitaani baada ya kufa na Ripoti ya CAG

    Magufuli pamoja na mazuri yote yanayosemwa kama yapo, lakini ndio kiongozi pekee Tanzania aliedhibiti sana vyombo vya habari kuliko Raisi yoyote yule. Kama Kuna watu hawalioni hili kuna tatizo. Baada ya kuanzisha Bunge Live, ni Utawala wa Magufuli pekee ndio ulioondoa Bunge kuoneshwa Live. Ni...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: 20 wafariki na wengine 460 wakutwa na maambukizi ya COVID-19 ndani ya saa 24

    Watu 20 zaidi wamefariki kutokana na kupata Virusi vya Corona na kufanya idadi ya watu waliofariki kwa Corona nchini Kenya kufikia 2,244 Aidha watu 460 wameripotiwa kupata maambukizi ya virusi kwa saa 24 zilizopita idadi inayofanya walioambukizwa kufikia 139,448 Wizara ya Afya imetangaza watu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli kufa mafisadi wanaweza kurejea. Je, CHADEMA watairudia sera yao ya kupambana na mafisadi?

    Nauliza tu kwa nyie makamanda mliomo humu jamvini, baada ya komandoo wa kupambana na ufisadi hayati Magufuli kumaliza safari yake hapa duniani, CHADEMA itairudia ile sera yake ya kupambana na mafisadi? 2015 CHADEMA waliachana na sera ya mafisadi baada ya kuwapokea makada maarufu wa CCM...
  18. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Ukijiita "MNYONGE" utakuwa mnyonge mpaka kufa kwako,maneno yanaumba. Soma hapa uzinduke leo

    Kwanza kabisa natangulia kusema SIIJUI KESHO YANGU lakini siwezi kuwa mnyonge kila siku. Watanzania tumejengewa dhana potovu sana. Hivi unajua kujiita mnyonge ni kujidhalilisha? Kama ulikua hujui usipopata changamoto katika maisha utakuwa mjinga tu,ukiishi ukiamini"mimi ni mnyonge" utakuwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mawakili msipojitathimini taaluma yenu inakwenda kufa kifo cha kisiasa

    Duniani wanaitwa wasomi, Afrika wanaitwa wasomi ila Tanzania nachelea kuwaita wasomi. Endapo Mawakili mtashindwa kuungana nakupigania Uhuru wenu basi kitambo kidogo mtapigania kutoka gereza la fikra. Mkwamo wenu ni mkwamo wa jamii, nimkwamo wa Taifa. Natambua mna familia ila nawakumbusha kuwa...
  20. Just talker

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuta wote tupo mbinguni tayari, halafu haya maisha yanayoendelea ni kumbukumbu ya kila mtu kwa maisha aliyo yaishi kipindi yupo duniani

    BINADAMU WOTE TAYARI TULISHA KUFA, KWASASA TUNAONESHWA KILA MTU JINSI ALIVYO ISHI. Unaweza kuta wote tupo mbinguni tayari, halafu haya maisha yanayo endelea ni kumbukumbu ya kila mtu kwa maisha aliyo yaishi kipindi yupo duniani. mungu anakuonesha ulivyo ishi kumbukumbu ikiisha inaonekana...
Back
Top Bottom