kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hawa ni watu mashuhuri waliofariki lakini bado wanaishi midomoni mwa watu

    Mwl Nyerere philosopher Nelson Mandela -Politician and activist Bob Marley , Muimbaji wa Reggie Mohammed Ali, boxer Malcolm X -Mwanamapinduzi Martin Luther king Jr - Activist 2 PAC - huyu ni msanii wa hip hop BIG notorious - Artist .
  2. JF Member

    JamiiForums Tanzania Msaada; Dawa ya Miguu kufa ganzi na kukosa nguvu

    Habari za wana JF? Kwa kipindi cha miaka miwili sasa Bibi yangu amekuwa na tatizo la kuishiwa nguvu kwenye miguu, Umri miaka 70. Akisimama kwa mda wa lisaa lazima aanguke chini, akitembea nyayo zinakuwa na ganzi. Naimbeni tiba na ushauri. Yuko DAR ES SALAAM. Ombi la rafiki yangu wa karibu...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Update: Papua New Guinea: Zaidi ya watu 2,000 wamefukiwa kwenye maporomoko ya udongo

    UPDATE Kituo cha Taifa cha Majanga kimeomba Msaada wa Uokoaji kwa Jumuia za Kimataifa na kueleza kuwa takriban Watu 2,000 wamefukiwa na katika Maporomoko ya Udongo yaliyotokea Mei 26, 2024 Kituo hicho kimesema bado idadi kubwa ya Wanakijiji wamezingirwa na Vifusi, hawana msaada wowote na hali...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Malamba Mawili, Msikitini: Mtoto ajinyonga hadi kufa, inadaiwa alikuwa anasoma Malamba Mawili Darasa la 6

    Mtoto mdogo anayedaiwa kuwa alikuwa ni mwanafunzi wa darasa la 6 Shule ya msingi Malamba Mawili amejinyonga eneo la Msikitini. Mwili huo umegunduliwa ukining'inia chini ya mti mbele ya nyumba ya mtu ambaye inadaiwa watu hawakai hapo. Polisi wamefika eneo la tukio wamechukua mwili wa marehemu...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Tanga anadaiwa kujinyonga hadi kufa

    Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amezungumza na JamiiForums na kusema “Ni kweli huyo Mwanafunzi wa Upadri amekutwa amejinyonga kwenye...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Jellyfish kiumbe pekee asiyeweza kufa.

    Sio jellyfish wote hawafi ila kuna huyo kitaaluma anaitwa Turritopsis dohrnii yeye pia huanza maisha kama lava, inayoitwa planula, ambayo hukua kutoka kwa yai lililorutubishwa. Planula huogelea mara ya kwanza, kisha hukaa kwenye sakafu ya bahari na kukua katika koloni kisha hutokeza medusa hii...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Night Clubs kufa sio kwa Tanzania tu, Dunia nzima night club culture inakufa kwa sababu kizazi Z hakipendi Clubs

    Watu wengi wamekua wakijiuliza kwa nini siku hizi night clubs zinakufa sana, mfano Maison na nyinginezo hapa Tanzania. Ukweli ni kwamba night Clubs Dunia nzima zinakufa kwa sababu kizazi Z ambao ndio walipaswa kua wanaruka majoka usiku kucha hakipendi kwenda night Clubs. Sababu nyingine ni...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mechi 8 za Simba sc za kufa na kupona ligi kuu NBCPL

    Mechi 8 za Simba sc za kufa na kupona ligi kuu NBCPL
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Sokoine: Watoto wake wataka mwili uchunguzwe kubaini kama alikufa kwa ajali au la!

    Picha: Gari lililosababisha kifo cha Hayati Sokoine Katika hali ya kushangaza, watoto na baadhi ya ndugu wa aliekuwa waziri mkuu wa Tanzania, Hayati Sokoine, wanataka uchunguzi ufanyike wa mwili wa marehemu ili kubaini kama ni kweli kifo chake kilitokana na ajali au laa. Uamuzu huo ulofikiwa...
  10. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Katika Dunia yenye takribani watu Bilioni 8 leo, zaidi ya watu Bilioni 110 wamewahi kuishi na kufa

    Hii itukumbushe kuwa hii Dunia tunapita, na itusaidie kupunguza kama sio kuacha kabisa kiburi na kujipa umuhimu. Waliowahi kuishi na kuondoka ni wengi zaidi ya waliopo leo, na kila mmoja kwa wakati wake alikuwa na umuhimu wake. Hivyo nafasi ya wewe kuishi leo isikufanye ufikiri kuwa ni ya...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Afya ya akili: Ambaka kuku hadi kufa!

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday, mkazi wa Kitongoji cha Misungwi Kata ya Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anadaiwa kubaka kuku hadi kufa. Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake...
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Nyerere day 13-4- na siyo 14-10-? Je, ikumbuke siku ya kufa au kuzaliwa?

    Happy birthday Mwalimu Nyerere #Tanzania We will appreciate your contribution to the building of the Nation and Africa Miaka 102 iliyopita alizaliwa Julius Kambarage Nyerere! Leo ndo ilitakiwa iwe #NyerereDay Archive: Siku ya leo ndio ingefaa kuwa Nyerere Day au ile ya Mwezi wa kumi? Je, siku...
  13. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kufa kiume kunauma sana 😀😀

    Yaani nyie nyuma kuna mwiko mlijua mtamtoa mtoto wa raisi kirahisi hivyo, mcheza kwao hutuzwa, nyie bado ni wadogo sana kupewa lile goli 😀 Safi sana refa umetuondolea makelele hapa town.
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha urafiki na Besti/ Mshkaji wako kufa?

    Kwema team MMU? Marafiki ni watu muhimu na wenye manufaa makubwa kwetu, japokuwa wakati mwingine anaweza kuwa kichomi akavuruga maisha yako? Mimi na rafiki yangu mmoja urafiki ulikufa sababu hakulipa deni langu, kila nikimdai anatafuta vijisababu vya kunikwepa, jamaa ananikwepa mpaka...
  15. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 30 wa Marekani wahofiwa kufa baada meli yao kulipuliwa

    Habari zilizotufikia hivi punde meli ya Kijeshi ya Marekani ya USS Libert imepigwa na makombora ya Iran nakulipuliwa huko Ghuba ya uajemeni na wanajeshi 30 wanahofiwa kufa BREAKING: It's reported that American Navy intelligence vessel 'USS Liberty' has just been hit with a barrage of Iranian...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa

    Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa.
  17. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Wengi wetu ni wakopaji sana kwenye mabenki ila hili ni sikio la kufa

    Kuna benki zinajitutumua kufanya kama defined bank services providers lkn ni wazushi sana. Sitowataja ila ni kati ya benki mbili maarufu zinazotumiwa na serikali kuwakopesha watumishi. Niseme ukweli benki ni taasisi za wizi asikuambie mtu. Zaidi na zaidi hawa wamezidi ni wadanganyifu. Leo...
  18. demigod

    JamiiForums Tanzania Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

    Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema.... Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu...
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mwamba anayeruka na mkeo hatoki mbali; ni huyo huyo rafiki yako unayemwita wa kufa na kuzikana

    Wote mpo hapo wizara ya fedha, kidogo wewe una kacheo hivyo huwa unasafi mara kwa mara kwenda mikoa mbalimbali, kutoa elimu ya masuala ya fedha. Kumbuka mkeo ni mtoto wa kinyaturu mweupeee kapanda hewani, rafiki yako mtozee ajalia vitamu kirahisi huku shemu wakati ananyanduliwa anakutukana...
  20. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Ajinyonga hadi kufa kisa wivu wa kimapenzi

    Kijana mmoja Anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 aitwae Henry amejinyonga hadi kufa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Tukio hilo limetokea leo mchana Katika Kijiji cha Narumu huko katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Sababu Za kijana huyo kujinyonga hadi kufa ni baada ya...
Back
Top Bottom