kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Wadau tajeni Nyuzi zilizowahi kufa na kufufuka zaidi ya mara mbili

    Wakuu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo ya sasa haina uwajibikaji! Yaani watu wanakufa kufa na kutekwa viongozi wapo tu!

    Tatizo la Tanzania ya sasa hakuna uwajibikaji watu wanakufa na kutekwa lakini viongozi wote wapo kazini kama vile hakuna baya limetokea. Hii inasibitisha viongozi wa siku hizi ni magenge ya marafiki na Machawa na ni vigumu kuwajibisha ndugu, marafiki, machawa wako hasa pale ambako wanaouliwa ni...
  3. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Sijui nimtulizeje Maana nahofia naweza kuja kufa kwa sonona, Mliofanikiwa katika hili nipeni siri mlifanyaje?

    Niliambiwa, Bro, kummudu huyo yataka moyo. Nikajiwazia tu, shujaa hatelezi anapanda milima mingi mpaka kufika kilele, hawa waniache. Nikamtafuta kweli nikaanza kummiliki taratibu japo hakuwa mwingi kwangu. Jamaa na ndugu walipoanza kuniona nae tu, wakaniijia haraka na maswali yenye...
  4. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa usikubali kukamatwa na mtu yeyote hata kama anavielelezo ,na usikubali mtu akamatwe mbele yako pigana mpaka kufa hatuna Tena wa kumuamini ,

    Nchi imebadilika hakuna wa kumuamini Tena ! Ukamataji wa kizamani hakuna atakayekubaliana nao Tena ,ukiona mwenzako anakamatwa mbele yako au wewe mwenyewe tambua kwamba unaenda kufa au kutupwa kusikojulikana ! Pigana kwa siraha zote uhai Hauna nyongeza sisi sote ni wazazi tuna watoto na wazazi...
  5. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyekufa na kurudi na kushuhudia maandiko kuhusu maisha baada ya kifo, je mwisho mwema ni upi?

    Kuna kauli huwa inatolewa ya Mwisho mwema hasa pale inapoonekana Mtu tajiri au hawa ma celebrities/watu maarufu wanavyofurahia maisha , kwenye comments za watu utakuta tujaliwe mwisho mwema . Je kufia imani , kutotafuta pesa na kuwa maskini , kutofurahia ya dunia kunakufanya kuwa na mwisho mwema ?
  6. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha Kufa kwa “Kupatana”

    Nini kimesababisha kufa kwa hii App, yaan ilikuja kasi sana. Ukiuliza wenye nayo leo unaweza usiwapate kirahisi.
  7. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Leo nimenusurika kifo

    Wasalaam,leo weekend nikawa na appoint ment na mwenyeji wangu kijiji xxxx. Nilipofika pale nikapaki boda pembeni nimjuze mwenyeji wangu nimefika. Wakaja watu wakanizunguka wa hicho kijiji wakiniuliza wewe ni nani? Bahati mbaya sana sikuwa na kitambulisho chochote. Nikawaambia ila hapa nina...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Unatamani kufa ukiwa na hali gani?

    Unatamani kufa ukiwa Mzee hujiwezi kwa lolote, au unatamani kufa ukiwa na nguvu zako?
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mlio nje ya Tanzania mtatumia Mbinu gani kuangalia katika Simu haya Matukio ya tarehe 3, 4 na lile Kubwa la 'Kufa Jitu' la tarehe 8?

    Ni matukio ambayo GENTAMYCINE sitaki kabisa kuyakosa hasa hasa lile la tarehe 8 August, 2024 litakalokufa Jitu huko.
  10. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Simba mnaweza Kujifunza kwa Kilichomkuta Kaizer Chiefs Leo, ila kwakua nyie ni sikio la kufa subirini tarehe 8

    Habari Hongera na weekend! Nianze hivi kilichomkuta Kaizer sio kusema kanunuliwa sio kusema sijui ana udhamini wa GSM ni kapigwa Mpira unaitwa Kosa Kujisahau tu. Kwa wasiojua Kaizer Alienda Pre season nje ya Sauzi na tangu atangazwe NABI alikua hajapoteza huko Pre-Season yani ilikua full dozi...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

    Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka. Choo mlangoni wameweka gunia au khanga Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga. Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri. Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa...
  12. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Naomba nieleweshwe kwenye ukristo! Kwahiyo akikaribia kufa na akaomba sala ya toba haendi motoni?

    Naomba nieleweshwe kabisa maana leo wakati nipo na washikaji tunapiga story nikaambiwa na hawa watu wakristo ya kwamba hata kama mtu amefanya mabaya sana kama vile amefanya mauaji kama yale ya akina ben saa nane,azory gwanda na akwalina au yale mauaji ya zanzibar akiombewa kwa sala ya toba eti...
  13. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Miguu kufa ganzi na maumivu ya miguu

    Tatizo la miguu kufa ganzi na kuuma linaweza kusababishwa na hali ya kukaa kwa muda mrefu kupelekea kupunguza mtiririko wa damu au kuweka shinikizo kubwa kwenye mishipa. Kutetemeka na kufa ganzi kwa muda mrefu au isiyoelezeka kwenye miguu (paresthesia) inaweza kuashiria athari katika mfumo mkuu...
  14. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua roho ya mwanadamu kama ijapangiwa kufa kwa wakati inabaki hapa hapa duniani?

    Kuna kisa kimoja kilitokea marekani ambacho mama mmoja alijikuta mikononi mwapolisi baada ya kwenda kituoni kuanza kueleza kuwa eneo fulani kuna mwili wa mtu fulani nendeni mkautoe. Lile jambo liliwashtua polisi na kuanza kufanyia uchunguzi ila kutokana na umbali mfano tuseme mama yule yupo...
  15. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Hatua za kufa au kufariki

    Hatua za kufa au kufariki Kila kiumbe kitakufa. Mwanadamu naye atakufa. Kila kiumbe kina hatua yake ya mwisho na ndipo kinafikia kukufa. Hakuna dawa ya kutokufa. Ila zipo njia za kupunguza kufa mapema. Kupiga kelele sana kunakafanya uzeeke mapema na kufa mapema. Kushangilia sana kunakufanya...
  16. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kuepuka kuoa kama hutaki kufa kwa presha mapema

    1. Mrembo sana 2. Msanii (wa filamu, muziki) 3. Askari 4. Baa medi/hotelia 5. Mlokole 6. Nesi / Daktari 7. Msomi (Hasa ngazi ya chuo kikuu) 8. Mwanamke kutokea familia ya kishua NB. Picha haihusiani na mada
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Betty Mkwasa: Fani ya Uandishi wa Habari ipo ICU kwa sasa na Nasikitika Wahusika tumenyamaza tu, huku ikienda Kufa kabisa

    "Siku hizi Mtu akiwa tu ni Maarufu, Mchekeshaji, Msanii au Mbwabwaji Mitandaoni basi haraka sana anakuwa Mtangazi wa Redio na Tv. Naumia sana kuona hii Fani yenye Heshima kubwa duniani kote sasa hapa Tanzania ikiwa ipo ICU na Siku si nyingi inaenda Kufa kabisa. Sikatai ujio wa Teknolojia kwani...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ukisikia kua uyaone ndo haya sasa: Bhufakale dawa ya kuchelewa kufariki (kufa)

    Habari za Leo mabibi na mabwana. Mnamo 14/05/2024 tulimzika mzee mmoja kijijini kwetu jina (..) Mzee yule alikuwa amemuoa shangazi yangu Mimi. Chanzo Cha kifo chake ni ugonjwa wa kisukari uliodumu Kwa muda mrefu. Baada ya kuzunguka huku na huko na hospital mbalimbali kutafuta matibbu ya...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Je,Wanyama huhisi Kama kuna kufa?

    Tembo na jamii ya nyani wanaonekana kuomboleza wanapompoteza mwenzao pengine na dolphin kwa jinsi alivyo na akili huenda akawa anajua japo sina uhakika.vipi kwa wanyama wengine Kama Fisi,simba,ngamia,punda,kuku na wengineo huwa wana kaa na kufikiria kwamba kila nafsi itaonja mauti?yaani ukute...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hawa ni watu mashuhuri waliofariki lakini bado wanaishi midomoni mwa watu

    Mwl Nyerere philosopher Nelson Mandela -Politician and activist Bob Marley , Muimbaji wa Reggie Mohammed Ali, boxer Malcolm X -Mwanamapinduzi Martin Luther king Jr - Activist 2 PAC - huyu ni msanii wa hip hop BIG notorious - Artist .
Back
Top Bottom