kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Ajali Dodoma: Basi la Geita Express limegongana uso kwa uso na Fuso, watu wanne wathibitka kufariki

    Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma. Habari zaidi zinafuata. AJALI YA BASI LA GEITA...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaposema Vijana Wajiajiri na hamtoi Elimu wala hamuwadhibiti ipasavyo mnategemea nini? Watavunjika na Watakufa sana tu

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, amesema kumekuwa na ongezeko la ajali za bodaboda, hali iliyosababisha ongezeko la wagonjwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), hivyo kuigharimu sekta ya afya. Amesema jumla ya wagonjwa wa ajali za bodaboda 10 hadi 15 kila siku hufikishwa MOI, huku kwa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nani atakuwa wa kwanza Kufa kwenye familia yenu na atakayefuatia ni nani?

    NANI ATAKUWA WA KWANZA KUFA KWENYE FAMILIA YENU NA ATAKAYEFUATIA? Anaandika, Robert Heriel Yule Mtibeli. Andiko hili linaweza kuwa nadharia tuu, inaweza kuwa kweli au kuukaribia ukweli. Taikon aliandika andiko hili miaka ya nyuma kidogo na hivi leo nitagusia machache. Nani atakuwa wa kwanza...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Samaki kufa kwa kinyesi na mkojo wa ng'ombe inawezekana ,lakini samaki wa mto mara wamekufa kwa sababu hiyo?

    Wasalaaamu ndugu , jamaa na marafiki wa JF . Haika nawathamini sana. Kila mmoja wetu amepata kushituka kwa taarifa ya wasomi wetu nguli wa mambo ha mazingira kwa kusema samaki katika mto mara wamekufa kutokana na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Kabla ya kupinga au kuunga mkono majibu ya tafiti...
  5. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Namna nilivyonusurika kufa kwenye ajali ya gari, Bongo unakufa huku unajiona

    Kwema wadau? Mwaka huu mwanzoni nikiwa nimetoka kusheherekea sikukuu ya mwaka mpya na nikiwa nimefanya maombi ya mipango yangu mingi kwa mwaka huu na kumsihi sana Mungu wangu aliye hai anijalie afya, uhai, furaha na amani tu mengine nayaweza hayanisumbui kabisa, basi sikuwa najua siku chache...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kufa kufaana: Biashara ya majenereta na solar yapamba moto Mwanza

    Ni kutokana na mgao wa kimyakimya unaoendelea kwa kishindo jijini mwanza,wanyonge wananunua solar na generators kwa kasi kabisa Wafanyabiashara wa bidhaa hizo wengi wanaishukuru awamu ya sitaa kwa opportunity hiyo na wameahidi kulipa Kodi kwa kutoa risiti halali
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

    Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo. Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vifo vilivyotokea Morogoro, JB na wenzake walipopigwa risasi na kufa papo hapo

    Kama miaka kumi iliyopita kuna wafanyabiashara wa madini walikuwa nane walikuwa wanaenda Mahenge walipofika nanenane walimiminiwa risasi na Polisi wakidhaniwa ni majambazi akiwemo aliyekuoa mfadhili wa bendi nyingi za muziki mjini Darisalama aliyeitwa JB Mnaokumbuka vizuri tukio hili mtukumbushe.
  9. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wachaga, huu utaratibu wa kujenga kaburi kabla ya kufa umeanza lini?

    Nimeshtushwa kidogo kutoka kwa huyu ndugu Kimaro. Mkoa wa Kilimanjaro, katika kijiji cha Mbosho, wilayani Machame, kutana na Patrick Kimaro, mwenye umri wa miaka 59, ambaye amejingea kaburi lake. Kimaro amesema ni sehemu tu ya kujiandaa na maisha ya baadae na kuongeza kusema amefanya hivyo...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu asiambiwe R.I. P kabla hajafa au wakati anakaribia kufa ili yeye mwenyewe asikie?

    Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!! Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Pale unampigia kura ya hapana Spika ukashangaa matakoe yanasoma 100%

    Kwanini Watanzania wa leo tunaamini kwenye inflation? Kwanini tunaamini Sana kwenye ushindi wa asilimia 100%? Kwanini tumepumbazika na cooked data? Kwanini tunawaza sana kwamba tukishinda kwa kishindo tutaleta maendeleo kwa kishindo? Nimepokea taarifa kwamba upon uwezekano mkubwa 100% isiwe...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya 'Wachezaji' wa Coastal Union FC 'fungweni' leo na Yanga SC muikose hii Zawadi (Bingo) na muwe 'Masikini' mpaka 'Kufa' Kwenu

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (mwana Simba SC Mwemzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo. Mbunge wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Oddo (mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 10 wakiifunga Yanga SC...
  13. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Bucket list: Mambo ambayo unatamani kufanya kabla ya kufa

    Wasalaam. Nimetafakari tu ufupi wa maisha yetu sisi wanadamu. Walakini, bado yapo mambo ambayo nafsi yangu ingetamani kuyafanya au yatimie mnamo au kablya ya umauti. Mambo hayo ni: 1. Kuwa na mapatano na muumba wangu; 2. Kutembelea mabara yote hapa duniani; 3. Kuacha legacy nzuri na mali kwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania MiCCM inwakeep Bize wapinzani - Wanatumia style ya kufa mtu

    Ndugu zangu wale wanye uchu na nia ya kuiondoa CCM madarakani ( Tuseme kuivua gamba CCM), kuna kamtindo kamezuka cha kuwahamisha wapinzani kwenye reli na kuwasababishia kupinduka. Kama mmeona:- a) Valangati la wabunge wa Chadema. b) Tozo. c) Sakata la wamachinga. d) Kesi ya kubambikizia ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kwamba zinaenda Spidi sana na Kuua mno, ila Wanaopenda Kufa bado hupenda Kuzigombania ili wawahi Kufika

    Watu tisa wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya hiace ya kubeba magazeti iliyokuwa ikitoka jijini Dar es Salaam kuelekea jijini Mbeya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi amesema ajali hiyo imetokea leo Jumatatu Desemba 13, 2021 alfajiri katika...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyongwa hadi kufa ndio Siri ya uchumi mkubwa duniani

    Mataifa ambayo uchumi wao uko juu sana duniani wana adhabu katili sana kwa watu wao wanaobainika kuhujumu uchumi kunakosababisha mtu afikirie mara mbili kabla ya kuiba mali ya umma. Hapa kwetu adhabu ya kumtia mimba mtoto wa shule ni kubwa kuliko aliyeiba hela za umma kwa mabilioni. Nani...
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Miaka, toka kuumbwa kwa adamu hadi kufa kwa Abrahamu. Umeona nini?

  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tunasonga kidijitali, hii ni dhahiri haiwezi kufa

    Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Benson Kigaila leo Nov 30,2021 akiwa Jimbo la Bukoba Vijijini Mkoani Kagera akiendelea na ziara ya uhamasishaji wanachadema kujisajili na kupata kadi za kidigitali kupitia mfumo wa Chadema Digital katika Mikoa ya Kanda ya Victoria.
  19. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

    ||FY2021|22 Rais Samia kutoa Jumla ya Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma yaliyoaachwa na mtangulizi wale, === Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya ameendelea kulipa madeni mbalimbali kwa makampuni binafsi au taasisi. Kwakuanzia tu mwaka huu pekee Rais Samia analipa madeni yenye thamani ya...
  20. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Antony Dialo: Wizi na ukosefu auminifu chanzo cha biashara nyingi Tanzania kufa chini ya miaka 5 tangu kuanza

    Nimemsikiliza asubuhi. Mkurugenzi wa Saharama media wakati akitoa mada katika club house moja iitwayo Mindset transformation. Akidai kuwa kwa uzoefu wake katika biashara na ujasirimali amebaini kuwa biashara nyingi zinakufa kwa sababu watazania wengi siyo waaminifu. Amekwenda mbali na kusema...
Back
Top Bottom