2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 2,982
- 4,457
Mods naomba msifute uzi huu kwa maslahi ya taifa kwa ujumla.
Kiukweli kwa hali jinsi inavyoenda miaka miwili itakuwa mingi treni ya Deluxe kutoka Dar kwenda Arusha itakufa. Kwa Kigoma sijajua maana ni wavumilivu sana, sio walalamishi
Tunakumbuka jinsi mwendazake (JPM) alivyotumia nguvu na bidii kufufua usafiri huu, jambo ambalo halikupendeza wamiliki wa mabasi na malori. Inasemekana wao ndio waliohujumu usafiri huu miaka ya nyuma, kwa hiyo kurudi kwake iliwakera sababu ingewapunguzia mapato.
WATENDAJI WA TRC NDIO WAJUMU WA SASA
Kinachoonekana ndani ya shirika la sasa watakaohujumu treni hii ni wafanyakazi na baadhi ya watendaji wengine.
1. Customer care mbovu kabisa, ni vile tu wanahesabu mshahara uko pale pale mwisho wa mwezi,unaweza kujibiwa kama unasafiri bure,hata kama network inasumbua majibu yao hayatoshelezi kabisa zaidi ya kero.
2. Mabehewa machafu sana, yani ukipanda kama una kinyaa lazma ujihisi vibaya sababu kila class utakayokaa hakuna yenye mvuto tena tofauti na mwanzo. Baffet (sehemu ya kula na kunywa) inawaingizia pesa lakini ni pachafu sana hata pazia zile za kuzuia wadudu wanaoruka usiku hakuna tena.
3. Second sleeping (behewa za kulala) kwa sasa unapewa shuka tu,hakuna mto,usivae nguo nyeupe ndugu yangu,kama una aleji na vumbi basi hata usingizi hutopata. Hakufai kabisa, kubwa zaidi ikifika saa 1 asubuhi muhudumu anakuja kuchukua shuka hata kama treni haijafika. (Kitendo hiki kinashangaza hata baadhi ya wahudumu wengine humo humo). Kuna wazungu wakinyang'anywa shuka walivyobaki kama wanyonge.
4. 🤣🤣Ukataji tiketi ndani ya treni yaani malipo sio kwa GePG tena. Hii nakumbuka ndio ilidhibiti wapigaji serikali ya Magufuli sasa naona wameamua kugawana mauzo kwa kisingizio cha mifumo inasumbua (network inasumbua) hapo binafsi sijajua itumike mbinu gani kama network itakuwa inasumbua.
Natamani kuandika mengi lakini mengine wadau muisaidie serikali yenu changa ya mama Samia kudhibiti uharamia huu.
USHAURI WANGU KWA SERIKALI
Shirika libaki kuhudumia reli chini ya serikali, lakini chonde chonde Treni ibinafsishwe ili umakini na maboresho ya mara kwa mara yawe yanafanyika.
Watumishi kwa sasa wanajipongeza kwa mauzo ya tiketi mkononi kwa hiyo wanaamua kiasi gani kiende serekalini na kiasi gani kibaki kwao.
Tanzania Railways Corp someni hapa kwa faida ya yenu na ya wote pia