Ligi ya mabingwa ulaya inaendelea usiku hatimaye imefikia hatua nusu fainali , usiku huu kuna mtanange wa kufa mtu ukikutanisha miamba kati ya real manchester city vs real madrid ni mechi kali yenye mvuto wa kipekee itakuwa mechi ya kimbinu zaidi . Mtazamo wangu...
Salah Jackson (5) mwenye ulemavu wa viungo, mkazi wa kijiji cha Makiwaru Mkoani Kilimanjaro amefariki dunia kutokana na njaa na kisha mama yake mzazi kumzika kimyakimya usiku wa manane.
Mtoto huyo anadaiwa kuzikwa na mama yake mzazi aitwaye Rebecca Siowi (30) usiku wa kuamkia Aprili 22, 2022...
Ili shamba lina zaidi ya miaka 45 na mpaka reli ilijengwa kwenda maeneo yale.
Tungekuwa tumeliendeleza huu uhaba wa ngano sasa ingwekuwa kuna ahaueni.
Nadhani ni mda muafaka wadau sector binafasi kwa kushiriana na serikali kufufua kilimo cha Ngano aya maeneo.
Pata habari kamili kuhusu ili...
Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma.
Habari zaidi zinafuata.
AJALI YA BASI LA GEITA...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, amesema kumekuwa na ongezeko la ajali za bodaboda, hali iliyosababisha ongezeko la wagonjwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), hivyo kuigharimu sekta ya afya.
Amesema jumla ya wagonjwa wa ajali za bodaboda 10 hadi 15 kila siku hufikishwa MOI, huku kwa...
NANI ATAKUWA WA KWANZA KUFA KWENYE FAMILIA YENU NA ATAKAYEFUATIA?
Anaandika, Robert Heriel
Yule Mtibeli.
Andiko hili linaweza kuwa nadharia tuu, inaweza kuwa kweli au kuukaribia ukweli.
Taikon aliandika andiko hili miaka ya nyuma kidogo na hivi leo nitagusia machache.
Nani atakuwa wa kwanza...
Wasalaaamu ndugu , jamaa na marafiki wa JF . Haika nawathamini sana.
Kila mmoja wetu amepata kushituka kwa taarifa ya wasomi wetu nguli wa mambo ha mazingira kwa kusema samaki katika mto mara wamekufa kutokana na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Kabla ya kupinga au kuunga mkono majibu ya tafiti...
Kwema wadau?
Mwaka huu mwanzoni nikiwa nimetoka kusheherekea sikukuu ya mwaka mpya na nikiwa nimefanya maombi ya mipango yangu mingi kwa mwaka huu na kumsihi sana Mungu wangu aliye hai anijalie afya, uhai, furaha na amani tu mengine nayaweza hayanisumbui kabisa, basi sikuwa najua siku chache...
Ni kutokana na mgao wa kimyakimya unaoendelea kwa kishindo jijini mwanza,wanyonge wananunua solar na generators kwa kasi kabisa
Wafanyabiashara wa bidhaa hizo wengi wanaishukuru awamu ya sitaa kwa opportunity hiyo na wameahidi
kulipa Kodi kwa kutoa risiti halali
Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo.
Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka...
Kama miaka kumi iliyopita kuna wafanyabiashara wa madini walikuwa nane walikuwa wanaenda Mahenge walipofika nanenane walimiminiwa risasi na Polisi wakidhaniwa ni majambazi akiwemo aliyekuoa mfadhili wa bendi nyingi za muziki mjini Darisalama aliyeitwa JB
Mnaokumbuka vizuri tukio hili mtukumbushe.
Nimeshtushwa kidogo kutoka kwa huyu ndugu Kimaro.
Mkoa wa Kilimanjaro, katika kijiji cha Mbosho, wilayani Machame, kutana na Patrick Kimaro, mwenye umri wa miaka 59, ambaye amejingea kaburi lake.
Kimaro amesema ni sehemu tu ya kujiandaa na maisha ya baadae na kuongeza kusema amefanya hivyo...
Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!
Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
Kwanini Watanzania wa leo tunaamini kwenye inflation? Kwanini tunaamini Sana kwenye ushindi wa asilimia 100%? Kwanini tumepumbazika na cooked data? Kwanini tunawaza sana kwamba tukishinda kwa kishindo tutaleta maendeleo kwa kishindo?
Nimepokea taarifa kwamba upon uwezekano mkubwa 100% isiwe...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (mwana Simba SC Mwemzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo.
Mbunge wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Oddo (mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 10 wakiifunga Yanga SC...
Wasalaam.
Nimetafakari tu ufupi wa maisha yetu sisi wanadamu. Walakini, bado yapo mambo ambayo nafsi yangu ingetamani kuyafanya au yatimie mnamo au kablya ya umauti. Mambo hayo ni:
1. Kuwa na mapatano na muumba wangu;
2. Kutembelea mabara yote hapa duniani;
3. Kuacha legacy nzuri na mali kwa...
Ndugu zangu wale wanye uchu na nia ya kuiondoa CCM madarakani ( Tuseme kuivua gamba CCM), kuna kamtindo kamezuka cha kuwahamisha wapinzani kwenye reli na kuwasababishia kupinduka.
Kama mmeona:-
a) Valangati la wabunge wa Chadema.
b) Tozo.
c) Sakata la wamachinga.
d) Kesi ya kubambikizia ya...
Watu tisa wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya hiace ya kubeba magazeti iliyokuwa ikitoka jijini Dar es Salaam kuelekea jijini Mbeya.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi amesema ajali hiyo imetokea leo Jumatatu Desemba 13, 2021 alfajiri katika...
Mataifa ambayo uchumi wao uko juu sana duniani wana adhabu katili sana kwa watu wao wanaobainika kuhujumu uchumi kunakosababisha mtu afikirie mara mbili kabla ya kuiba mali ya umma. Hapa kwetu adhabu ya kumtia mimba mtoto wa shule ni kubwa kuliko aliyeiba hela za umma kwa mabilioni. Nani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.