kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nasa artemis 1: Kesho kuanza safari ya kuelekea katika mwezi

    ROCKET YA MWEZINI KURUSHWA SIKU YA KESHO 29 AUGUST Shirika la uchunguzi na tafiti zinazohusu anga za juu kwa ujumla NASA kufanya majaribio ya rocket itakayoweza kutumika katika safari za kuwapeleka wanaanga na vifaa mwezini katika masiku yajayo kwenye mission mbalimbali za kwenda kwenye gimba...
  2. Vita ni vikali kuelekea kutimiza malengo inahitaji physical fitness na mental fitness.

    Unapoanza kutimiza malengo yako ni sawasawa na kuanza Vita Kuna mawili kushinda battle na kushindwa battle it depends na jinsi ulivyojiandaa bila kusahau bahati. Vita dhidi ya nani? Walimwengu, wachawi, wenye roho mbaya, wanafiki, majini kiukweli ni battle yenye wingi wa maadui. You need to be...
  3. SoC02 Tanzania haijachelewa kuufikia uchumi wa Viwanda

    Tanzania Haijachelewa Kuufikia Uchumi wa Viwanda Tanzania ya Viwanda ni sera iliyopewa kipaombele sana na Raisi wa awamu ya tano hayati John Pombe Magufuli akiamini kupitia uwekezaji na maendeleo ya viwanda ndio njia pekee itakayoiwezesha Tanzania kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi yatakayo...
  4. T

    SoC02 Ujamaa(ubuntu) na ajira ya muda ni mkombozi wa uchumi wa Vijana kuelekea kwenye uchumi wa Kitaifa na kujitegemea

    UTANGULIZI. Ujamaa nitakaojikita nao ni (UBUNTU). Rejea (Kamusi ya karne ya ishirini na moja 21 Toleo jipya uk wa 555) Ubuntu ni mfumo katika jamii unaowawezesha wanajamii kuishi kwa kushirikiana katika kila jambo. Ninaye rafiki yangu niliyepotezana naye muda mrefu kutokana na safari yangu...
  5. Kenya2022 Kenya: Facebook yafuta maelfu ya machapisho kwa kukiuka sera zake kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Kampuni ya teknolojia ya Meta imeondoa maelfu ya machapisho yanayowalenga watumiaji wa Kenya kwenye mtandao wake wa kijamii wa Facebook kwa kukiuka sera zake. Facebook imesema kuwa imeondoa machapisho zaidi 37,000 yaliyohamasisha chuki na 42,000 kwa kukiuka sera yake ya ghasia katika muda wa...
  6. Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

    Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege. ===== UPDATES ====== Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato. Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina...
  7. Lithuania mwanachama wa EU aruhusu bidhaa za Urusi kupita kwenye ardhi yake kuelekea Kalinigrad

    European Union member Lithuania will allow sanctioned Russian goods to transit its territory on their way to Russia's Kaliningrad exclave, its Foreign Ministry said on Wednesday, reversing its policy after new European Commission guidelines. The new guidelines on Wednesday followed weeks of...
  8. Kenya2022 Kenya: Baraza la Habari laagiza uchunguzi wa kushambuliwa kwa wanahabari kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Baraza la Habari la Kenya (MCK), limewataka Polisi kuchunguza kwa haraka mashambulizi dhidi ya Wanahabari, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, siku chache baada ya kushambuliwa kwa Mwanahabari wa Nation Media Group, Ian Byron Mwanahabari huyo mnamo Julai 10, anadaiwa kushambuliwa na watu...
  9. Kuelekea mashindano ya Taifa ya Draft

    Mwez ujao kutakuwa na mashindano ya Draft ya kumtafuta bingwa wa Tanzania Kwasasa Hapa Dar es salaam kumekuwa na mechi za Man to Man , za mabingwa wa draft wakijiandaa kuelekea Mashindano hayo makubwa . Mabingwa Kama Cr7, Noel, dogo Sisco, Gaidi, Dogo Ally, dogo Yassin, Saiya, Omary Kiwende...
  10. Serikali tunaomba mtufungulie ile barabara ya Feri kuelekea Ocean Road Hospital

    Wasaalam wanabodi, Miaka ya nyuma ile barabara tulikuwa tunaitumia vizuri tu. Akaja mtu na mawazo yake ya kujiimarishia ulinzi akaamua kuifunga bila taarifa zozote. Sasa kwa kuwa ni awamu ya sita, tunaomba serikali yetu tukufu chini ya Rais Samia mtufungulie ili tuweze kurahisisha mizunguko...
  11. Kenya2022 Kenya: Mtandao wa Tiktok washutumiwa kwa uchochezi kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Katika utafiti uliofanywa na Odanga Madung, mtafiti kutoka Taasisi ya Mozilla, ulibaini kuwa watumiaji wa TikTok nchini Kenya wanaonyeshwa video ambazo ni za matusi, zinazochochea vurugu au habari za uwongo za kisiasa Inaelezwa kuwa zaidi ya video 130 zilizohusishwa na akaunti 33 zilitazamwa...
  12. Saido na Ambundo watimuliwa kambini yanga

    Saido na Ambudo wametimuliwa kambini baada ya kutoroka mazoezini na kwenda disco baada ya mchezo wa Biashara dhid ya Yanga ulioisha 1-1. Hivyo hao wachezaji hawatakuwa sehemu ya kikosi jumamosi === SIKU mbili kabla ya mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Simba na...
  13. Tupia utabiri wako kuelekea kufungwa kwa dirisha la EPL leo jumapili

    Leo jumapili 22/05/2022, dirisha la EPL litakuwa linafungwa huku bingwa akiwa bado hajapatikana. Man City na Liverpool watakuwa wanawabia ubingwa. Huku kukiwa na tofauti ya point moja tu. Man City itashuka dimbani Etihad kuwakaribisha Aston Villa huku ushindi ukiwahakikishia ubingwa. Liverpool...
  14. CCM imeanza kupasuka, Ally Hapi na Mwita Waitara wanatuhumiana kupiga madili ya ufisadi

    Uchaguzi wa 2025 utakuwa na mtafaruku sana. Huko Mkoani mara tayari Ally Hapi anadaiwa kupiga ufisadi mkubwa huku yeye akidai ni Mbunge wa Tarime ndie fisadi na amemzibia madili. Mbunge Mwita anadai anazibiwa fursa ili shughuli zake za ubunge zisiende sawa ili ahujumiwe kwenye uchaguzi 2025
  15. WPFD 2022: Maadhimisho yaanza rasmi Nchini Tanzania. Ripoti ya Dunia yaonesha Uhuru wa Habari unazidi kuporomoka

    Kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari (Mei 03, 2022), Maadhimisho hapa Nchini yameanza rasmi leo Mei 01, 2022 Jijini Arusha Kaulimbiu ya Siku hii kwa Mwaka 2022 inasema "Uandishi wa Habari na Changamoto za Kidijiti" Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto zipo katika...
  16. Hali Ya Usalama Kuelekea Mechi Ya Klabu Ya Simba Vs Yanga

    Jumamosi ya tarehe 30 Aprili 2022 kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa kutakuwa na mpambano wa soka wa watani wa jadi baina ya klabu ya Simba na Yanga za Dar es salaam utakaochezwa saa 11 :00 jioni. Katika kuelekea mchezo huo, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam litahakikisha usalama...
  17. M

    Ushauri kwa Rais Samia kuelekea Mei Mosi: Usipandishe mishahara kwa wafanyakazi, bali punguza Kodi/PAYE

    Huu ni ushauri kwa Rais wetu kipenzi Cha Watanzania, mama Samia Suluhu Hassan. Nafahamu kwamba pamoja na Mambo mengine serikali ya mama Samia ina nia njema ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi hapa nchini wawe wa sekta binafsi ama wale wa serikalini. Ushauri wangu kwa mama kuelekea mei mosi...
  18. Kuelekea Mei mosi 2022 tunaomba Rais Samia tusaidie hili kuhusu CWT

    Raisi wa awamu ya Tano Ndugu John Magufuli alijaribu kuanzisha hili Jambo kwa kuonesha namna viongozi wa CWT (chama Cha walimu Tanzania) wanatumia michango ya wanachama na rasilimali kujinufaisha wenyewe na wakiendelea kuwanyonya walimu , Chama hiki hakina msaada wowote kwa walimu Tanzania...
  19. Kuelekea Mei Mosi 2022. Yanayotarajiwa, yatakayojiri. Je, Rais Samia atatimiza alichoahidi mwaka 2021?

    Kwa watumishi wa Umma. Na wengine wasio kuwa watumishi. Zimebaki siku 11 kufika tarehe 1/52021 siku ambayo huitwa ya wafanyakazi. ikumbukwe mwaka jana raisi alitoa kauli na hapa ninanukuu " niwahakikishie watumishi wenzangu mwaka ujao tarehe kama ya leo nitakuja na "pekeji" (kwa lafudhi yake)...
  20. Kuelekea mechi ya kesho dhidi ya Simba Orlando pirates wamepata advantage kubwa ya match fitness kutoka kwa Mamelodi Sundowns.

    Save water drink beer. 🥃🥃 Pasaka njema mimi nimeshaanza kuzitwanga.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…