kudumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura

    Naona mambo yameanza kunukia nukia kwa wale ambao tunasubiria kupata huu mchongo ni muda sasa wa kukaa kitaalamu na kwa password zaidi Mungu atujalie sisi jobless tupate hii kazi angalau tupunguze machungu ya kusoma na kukaa mtaani bila kazi
  2. SoC04 Usimamizi wa taka na usafi wa mazingira: Changamoto na suluhisho la kudumu

    Tarehe tano (5) mwezi juni kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya mazingira ikiwa lengo lake ni kuleta pamoja mamilioni ya watu duniani kote na kuwashirikisha kwenye jitihada za kutunza na kuboresha Dunia kupitia mazingira yao. Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyingine duniani huchukulia umuhimu...
  3. Wajua Muungano wa Kweli, Ni Muungano wa Serikali Moja?. Wajua Karume, Alitaka Serikali Moja, Nyerere Ndiye Akazuia?. Jee Wazanzibari Watakubali S.1?.

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, huwapiga tuu watu darsa humu, leo naliendesha darasa nikitokea Tanga kwa waja leo, warudi leo. na ni darsa kuhusu muungano wa kweli. Swali ni Je Wajua Muungano wa Kweli, Ni Muungano wa Serikali Moja?. Wajua Karume, Alitaka Serikali Moja, Nyerere Ndiye...
  4. PreGE2025 Dkt. Ananilea Nkya: Nafasi za ubunge wa Viti Maalum zifutwe kwa sababu zimeanza kutumika isivyostahili. Zilianzishwa ziwe za Mpito sio za kudumu

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Dk Ananilea Nkya amesema nafasi za ubunge wa Viti Maalum zilianzishwa kwa kipindi cha mpito kutokana na uwakilishi mdogo wa wanawake. Dkt Nkya amesema hali imebadilika tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 (miaka 42), wanawake wametumia...
  5. Suluhisho la Kudumu la Kero Zote za Muungano, na Dawa ya Kutibu Sumu ya Ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari ni Kuwa na Serikali Moja ya JMT?

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa huu muungano wetu adimu na adhimu kwa hoja za kibaguzi za Utanganyika na Uzanzibari, ambapo wiki...
  6. M

    Kenya yapata hadhi ya Mshirika wa kudumu wa Marekani

    Kenya imekuwa nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kuwa mshirka wa kuduma wa Marekani asiyefungamana na NATO. Hivyo anaungana na nchi nyingine za Afrika zenye hadhi hiyo ambazo ni Misri, Morocco na Tunisia. Kenya itanufaika kwa mengi kupita ushirikiano huo hasa masuala ya ulinzi...
  7. SoC04 Mafuriko yasiyo na suluhisho la kudumu

    Katika ripoti nyingi za waandishi wa habari na marejeo ya ripoti ya wizara ya makazi, kila mwaka kumekuwa na ongezeko la idadi ya maeneo kupata athari ya mafuriko kwa mvua za vuli na majira ya dharura (kulingana na mabadiliko ya hali ya hewa) na yale yaliozoeleka yakiathiriwa kwa wingi zaidi ya...
  8. Hivi kweli uhalifu hauna tiba ya kudumu?

    Kuna hili tukio lilitokea capetown, south Africa, dereva wa campuni SASKO alipovamiwa na kuuliwa na kundi la majambazi akiwa nawenzake wawili kwenye gari. Nikirefer ilo tukio ni miongoni mwa matukio mengi yanayo tukumbuka kila kukicha richa ya kua vyombo vya usalama na haki kama TANPOL na...
  9. Namna ya kupata furaha ya kudumu

    ☺️☺️☺️☺️☺️Let’s go☺️☺️☺️☺️☺️ 1. Kwanza kabisa furaha unaweza ukaitengeneza wew mwenyew, ivo furaha ni chaguo. Unaweza kuchagua kuwa na furaha, hata unapokabiliwa na changamoto.😊 2. Furaha si kuhusu kuwa na kila kitu unachotaka. Ni kuhusu kutaka kile ulicho nacho.☺️ 3. Furaha si kuhusu kuwa...
  10. Ni mbinu gani nitumie za kuniwezesha kudumu na mwanamke?

    Jamani wanawake wa saizi imekua pasua kichwa ! yaan suala la kufunga vilago ni dakika sifuri Uvumilivu -0 Utulivu-0 Tamaa -100% Nipeni mbinu madhubuti ya kudumu na mwanamke?
  11. PreGE2025 Shemsa Mohammed: Wenye Ulemavu na Wazee Wahamashishwe Kujindikisha Katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amewataka viongozi wa ngazi zote kuhakikisha wanahamasisha Watu wenye Ulemavu na Wazee kujiandikisha katika uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na...
  12. Hii ni Off show au itaendelea kudumu?

    Wale wa kwenye ndege wanabeba mabegi makubwa na hawa wababeba madogo kama haya. Swali hii show itadumu au ni kwa ajili ya kupigia picha.
  13. Kujenga Utajiri wa Kudumu (Generational Wealth)

    Habari wanajamvi, Natumaini kuwa tuko salama katika shughuli zetu siku ya leo. Hongera kwa kufanya sehemu yako katika kusukuma gurudumu la maisha na la taifa pia. Nchi hii inakutegemea (endelea kupigana, iko siku). Leo nimeleta mada ambayo imekuwa ikinisumbua kichwa kwa muda mrefu. Endapo wewe...
  14. Vipi mke wa kutafutiwa anaweza kudumu kwenye ndoa?

    Mshikaji wangu baada ya kunusurika kwenye ajali nyingi na misukosuko ya mahusiano ikabidi aanze kushirikisha watu Ili apate mke sahii wa kuoa. Kwenye harakati hizo huku akiendelea kumuomba Mungu (Kwa mujibu wake), jamaa yake mmoja aliepo kigoma akamwambia Kuna Binti anamuona kanisani na...
  15. P

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipango mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujengwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi. Hakuna anayekataa watu kuswali, lakini wangeweza kutenga maeneo ambayo sio ya kudumu kama ilivyokuwa awali kuruhusu waislamu au wakristo...
  16. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI Wilayani Chato

    KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI WILAYANI CHATO. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Stanslaus Nyongo leo tarehe 16 Machi, 2024 wamezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
  17. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yasisitiza Wakandarasi Wazawa Kupewa Kipaumbele

    KAMATI YA MIUNDOMBINU YASISITIZA WAKANDARASI WAZAWA KUPEWA KIPAUMBELE Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeisisitiza Serikali kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi wazawa katika utekelezaji wa miradi na kuendelea kutafuta ufumbuzi wa changamoto za Wakandarasi hao ili kutoa fursa ya ushindani...
  18. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yataka Maeneo ya Viwanja vya Ndege Yawe na Hatimiliki

    KAMATI YATAKA MAENEO YA VIWANJA VYA NDGE YAWE NA HATIMILIKI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeitaka Serikali kuhakikisha inasimamia upatikanaji wa hatimiliki za maeneo ya Viwanja vya Ndege vyote nchini ili kudhibiti uvamizi katika maeneo hayo na kupelekea ucheleweshaji wa utekelezaji...
  19. L

    Simba ibadilike vinginevyo itaweka kambi ya kudumu Robo Fainali

    Nimekwenda uwanjani na nimefurahi tumeingia robo fainali. Lakini kiukwel bado naona kuna mapungufu katika timu yetu. Leo tungecheza na wakubwa kama Al Ahly au Mamelod au Petro au Esperance mambo yangekuwa magumu. Kwanini nasema hivi. Timu bado inafanya sana makosa nyuma, makosa ya dhahiri...
  20. Tupeane mbinu: Ni uwekezaji gani wa zao la kudumu ambalo nikilima linaweza kunipa kipato toshelezi?

    Wadau hali ya kiuchumi ya watanzania inajulikana , wengi wetu vipato vinasua sua sio kwa jobless ama employee iwe public ama private entity. Wakuu nimekuja hapa tupeane updates ni mkoa gani ama wapi hapa nchini kwetu unaweza wekeza kwenye zao la kudumu likakupa pesa kwa kipindi kirefu. N.B...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…