Kenya yapata hadhi ya Mshirika wa kudumu wa Marekani

Mtambachuo

JF-Expert Member
May 6, 2023
527
1,008
Kenya imekuwa nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kuwa mshirka wa kuduma wa Marekani asiyefungamana na NATO.

Hivyo anaungana na nchi nyingine za Afrika zenye hadhi hiyo ambazo ni Misri, Morocco na Tunisia.

Kenya itanufaika kwa mengi kupita ushirikiano huo hasa masuala ya ulinzi.

Nawasilisha
 
Ina maana Kenya ikivamiwa au kuvamia nchi jirani itasaidiwa na marekani? Kwa hiyo wale magaidi wa al shaabab kule mpakani na somalia wakifanya undava kenya watapigwa mpaka ndani ya somalia?
 
Tz haina mpango wa kujipendekeza urusi/china wala uarabuni yenyewe iko huru kujichagulia mshirika wa mashariki au magharibi
 
Elimu,
Elimu,
Elimu.
Kenya mnaweza kuona wanajipendekeza Ila itanufaika Kwa Mambo mengi.... Sisi tokea tuambiwe ni Dona kantri yaani ndo tumedindisha kabisaa na kujiaminisha kuwa Sisi ni matajiri Kwa kumiliki mbuga nyingi za wanyama....hahahaa.
CCM inachezea mfumo wetu WA elimu ili ijinufaishe kisiasa...hakika in some few years to come taifa letu litakuwa na hadhi Sawa na Burundi and the likes. Sisi ni piipooo.
 
Kenya imekuwa nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kuwa mshirka wa kuduma wa Marekani asiyefungamana na NATO.

Hivyo anaungana na nchi nyingine za Afrika zenye hadhi hiyo ambazo ni Misri, Morocco na Tunisia.

Kenya itanufaika kwa mengi kupita ushirikiano huo hasa masuala ya ulinzi.

Nawasilisha
Sawa
 
Elimu,
Elimu,
Elimu.
Kenya mnaweza kuona wanajipendekeza Ila itanufaika Kwa Mambo mengi.... Sisi tokea tuambiwe ni Dona kantri yaani ndo tumedindisha kabisaa na kujiaminisha kuwa Sisi ni matajiri Kwa kumiliki mbuga nyingi za wanyama....hahahaa.
CCM inachezea mfumo wetu WA elimu ili ijinufaishe kisiasa...hakika in some few years to come taifa letu litakuwa na hadhi Sawa na Burundi and the likes. Sisi ni piipooo.
Umesema ukweli kabisa!
 
Back
Top Bottom