kucheza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuidharau Yanga SC ikielekea CAFCC Semi ni Ushamba na Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC

    Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la Afrika. Pili kama kuna mwana Simba SC Mwenzangu hapa JamiiForums anabeza Mafanikio haya ya Yanga SC na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga SC kila ikikaribia tu Kucheza Mechi Kubwa na Muhimu hupatwa na Misiba?

    Na hiyo Misiba ya hapa na pale ikiwatokea / ikitokea tu Mechi yoyote Ngumu inayokuja Yanga hushinda na pia hucheza Mpira mkubwa mno na wa Kuvutia. MINOCYCLINE nimesahau naomba kama hamtojali mnikumbushe Yanga SC inacheza Mchezo wake mwingine lini na wapi ili niishuhudie ikienda Kushinda...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ilishawahi kucheza Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika

    Katoka fuatilia yangu ya hivi karibuni, nimegundua historia fulani ya mafanikio ya Simba ama imesahaulika au inafichwa kwa maksudi. Wengi wamejikita kwenye mafanikio ya mfululizo ya kufika robo fainali katika mashindano ya klabu bingwa na yale ya shirikisho na wengine hado wanafikia kukejeli...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kucheza robo fainali, timu za Shirikisho zilitakiwa kucheza Play off na timu ya nafasi ya 3 Champions league, CAF wanakosea

    Huu ni utaratibu mzuri ambao unatumika UEFA Champios League, ambapo timu iliyoshika nafasi ya 3 kombe la UEFA Champions League hucheza play offs na timu zilizoshika nafasi ya pili kombe la Europa League Hata CAF walitakiwa kufanya utaratibu huu ili kuzichuja timu vizuri Mfano Monastir...
  5. Dcxkobe

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa kucheza magemu

    Natafuta magemu ya kivita ya kuokoa watu au kwenda sehemu fulani kwenda kupigana kumuokoa mtu fulani Yan game liwe Kama movie za kivita zinavyokua story yake kwa mnaoyafaham magemu ya namna iyo mnaweza nitajia nikayatafuta iwe ya kwenye cm au PC vyote sawa tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Sakho ni hulka yake ya kutaka kucheza na jukwaa!!

    Sakho asipoangalia ataozea kwenye benchi la simba. Anapenda sana kucheza na jukwaa kwa hiyo mara nyingi hupoteza mpira akiwa kwenye harakati zake za kucheza na jukwaa!!! Uwezo wake wa kupaka rangi mpira ni mdogo.
  7. kali linux

    JamiiForums Tanzania Nimewatengenezea SOLDRAX: App ya kucheza na marafiki michezo ya Karata (Arubastini & LastCard) pamoja na Draft style zilizo maarufu Tanzania

    Hello bosses and roses, Kwa muda mrefu nmekua nafikiria namna ya kutumia tech kukuza na kuendeleza mwenendo wa maisha uliozoeleka hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla sababu Systems na Apps nyingi tunazotumia zimetengenezwa kufuata mazingira na utamaduni wa nchi za Ulaya, Amerika na Asia. Mfano...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mesut Ozil atangaza kustaafu kucheza soka

    Kiungo huyo wa zamani wa Real Madrid, Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani amechukua uamuzi huo akiwa na umri wa miaka 34, timu yake ya mwisho kuitumikia ikiwa ni Istanbul Basaksehir ya Uturuki. Timu nyingine ambazo amewahi kuzichezea ni Schalke 04, Werder Bremen na Fenerbahce. ==============...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hoja kuwa Yanga hawawezi mechi za kimataifa imekufa kifo che mende, wamebaki na kauli ya Yanga kucheza kombe la loser!

    Kabla ya Yanga kutinga hatua ya makundi na sasa kutinga robo fainali, hoja kuu ya makolo ilikuwa ni Yanga hawawezi kimataifa isipokuwa wao tu. Sasa baada ya Yanga kutinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Shirikisho, hoja yao kubwa imekuwa hilo ni kombe la loser kanakwamba hiyo sio...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nikiwa mdogo niliwahi kucheza draft na Jakaya Kikwete pale Magomeni bila kujua kuwa ni Waziri wa Fedha:Viongozi kuweni wanyenyekevu

    Sikumbuki mwaka ila nakumbuka nilikuwa mdogo ,tulitoka na mzee wangu mitaa ya kariakoo tukaelekea mitaa ya Magomeni Mapipa mtaa sikumbuki ila ni karibu na Shibam. Kufika pale kulikuwa na vijana watoto wamjini hakuna aliyezidi miaka 50,walikuwawakicheza draft,bao,zumna na kunywa kahawa Vijana...
  11. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya hii "Ngozi ya chini inayoshikiria jicho kucheza"?

    Habari, Napenda ulizia kwa anaejua nini na dhamira ipi inayoonyesha hivi kuwa, sehemu ya jicho kwa chini. Yaani ngozi inayobeba jicho, kucheza ina ashiria nini vile na nini dhamira yake?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii shangilia ya Nguvu ya Kocha wa Simba SC Olivieira kila Goli likifungwa angeihamishia kwa Timu kucheza kwa Nguvu ningeona ana Akili.

    Na wala huhitaji Akili Kubwa kujua kuwa kwa Shangilia ile ya Kocha wa Simba SC ni kama vile anawajibu Maadui zake ndani ya Klabu ( hasa Uongozi na baadhi ya Wachezaji ) hivyo kuhitimisha hili linalosemwa kuwa kuna Mgawanyiko mkubwa ndani ya Kikosi cha Simba SC ( Wachezaji ) na Uongozi ( Viongozi...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tunaoshindwa, waliolishindwa na wasioweza kuacha kubet (mpira) au kucheza dubwi la Mchina au vyote (kamali) tujuane

    Wasalaam JF Tuwe wakweli mbele za Mungu, mimi kiukweli napenda sana kubet 1X na 2X kwa mzungu yaani meridianbet online, kwa wiki mara 3 kila nikiwaza kuacha nashindwa. Kama ni kula nakula kweli ila sasa natamani kuacha kabisa nashindwa kwa sababu winners za betting ndio zinanifanya niwe na...
  14. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua formula za kucheza draft

    Wakuu habari za usiku.. Naomba niende kwenye swali moja kwa moja. Mimi nimetokea kuupenda sana mchezo wa draft lakini sasa sijajua namna ya kuucheza vyema. Je draft inaformula yeyote ambayo ukiifuata unakua mchezaji mzuri?
  15. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Iran kucheza dance hadharani ni jela miaka 10

    Maisha ya nchi nyingine magumu sana!!!!!Hii sijui imekaaje? ========= Iran jails couple for 10 years over viral dancing video: activists Iran has handed jail sentences for over 10 years to a couple who danced in a viral video, convicting them of 'encouraging corruption and public...
  16. marehem x

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu nimeipenda bure. Leo vituo vingi vya redio vinamtakia Rais Samia heri ya siku ya kuzaliwa. Inapendeza Sana

    Si kila mara utapata upendo kutoka watu wako lakini hii ni dalili nzur na njema Kwa redio kulijua hili Mama ndiyo kila kitu. Sisi wengine kila mama ni mama yetu. Tunafarijika anapopendwa mama wa wenzetu Kwa kuwamama zetu wengine wapo mbele ya haki. Allah awape maisha yenye rehma. Ameen. Leo ni...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said wa EFM: Gael Bigirimana hakuwahi Kucheza Ligi Kuu ya Uingereza, wana Yanga SC walidanganywa pakubwa

    Na Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe. Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Haji Manara amewahi kucheza Soka?

    Huyu Mwamba amewahi kucheza Soka enzi zake?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali imeruhusu wasichana kucheza uchi wa mnyama kwenye kumbi za starehe? Hali inatisha!

    Serikali kama haijaliona tatizo hili basi mimi Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama. Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya sana. Ni...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kiroho zaidi: Huenda hii ndio sababu ya kiroho kwanini wadau wa mpira walikuwa wanasema Feisal ana takiwa kucheza Barcelona

    Feisal ndio mchezaji anae ongoza kwa kupewa sifa ambazo hana.. Mashabiki wa Yanga= Feisal hawezi cheza timu yoyote nje ya Yanga akitoka Yanga anaenda Madrid. Manara = Feisal sio mchezaji wa nchi hii. Amunike = Feisal anatakiwa kuchezea Barcelona. But ndio uhalisia huo? Sio kweli. Ukweli ni...
Back
Top Bottom