Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,834
- 18,837
Huu ni utaratibu mzuri ambao unatumika UEFA Champios League, ambapo timu iliyoshika nafasi ya 3 kombe la UEFA Champions League hucheza play offs na timu zilizoshika nafasi ya pili kombe la Europa League
Hata CAF walitakiwa kufanya utaratibu huu ili kuzichuja timu vizuri
Mfano Monastir ilitakiwa kucheza na Horoya kwenye Play offs na mshindi ndio aingie robo fainali
Maana Horoya ilionyesha kiwango bora sana kuliko timu yoyote ya Shirikisho