Tunatafuta watu wenye uzoefu katika kutengeneza beats, kucheza solo guitar na bass, tutafanya kazi katika studio yetu kubwa iliyoko Mbuyuni Salasala.
Kama kuna mtu unamfahamu ni-PM au 0621 014 638
Mmabo mengi waumini wenzangu tunayafanya kwa ama kutofikiria au kwa kuiga iga tu bila kutazama mantiki zake.
Imeibuka hii tabia ya kucheza mitindo ya kwenye disco na sehemu za ufuska na maovu mengine tukiwa madhabahuni. Juzijuzi nimetoka kuona video vijana wanatwanga sijui ndiyo Amapiano ile...
Michezo yote ya kubahatisha (kamari) ikiwemo betting, slot machines inaendeshwa kwa mujibu wa sheria ya Michezo ya Kubahatisha namba 4 ya mwaka 2003 sura ya 41 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2019.
Lakini, ifahamike kwamba mtoto haruhusiwi kucheza kamari ya aina yoyote.
Mtu yeyote atakaye...
Hakika hii ni pumzi ya moto wanayohemewa Simba.
Mwenye Nguvu mpishe tu.
Walianza na Azizi Ki kwa ofa ya kibahili wakapigwa kanzu na Yanga kwenye kitita.
Walitaka kumkomoa Morrison kwa kumpunguzia mshahara na kumnyima release letter ila wakili msomi kawaumbua.
Kuna Timu moja ya Wasomi na Wastaarbu Tanzania nzima ilipongezwa na Rais wa FIFA Giani Infantino kwa Kuchukua Kwake Ubingwa mwaka jana na hata kufikia Robo Fainali ya CAFCL lakini wala Mashabiki, Wanachama na Wapenzi wake 'hawakujimwambafai' nayo kwani waliona ni Kitendo cha Kawaida sana tu...
23 May 2022
Yaoundè Cameroon
Je U17 Serengeti Girls kuandika Historia kwa kupata tiketi ya Kushiriki michuano ya Kombe la Dunia 2022
Nchi za Tanzania pamoja na Ghana, Nigeria zimejisogeza katika nafasi nzuri za kujinyakulia tiketi za timu zitakazowakilisha bara la Afrika katika michuano ya...
Leo, tuwakumbuke wachezaji kutoka kusini mwa Afrika waliowahi kucheza soka hapa Tanzania, nikianza na Wisdom Ndlovu kutoka Malawi, huyu alicheza Yanga. Unamkumbuka yupi? Endeleaa..
Hakika wiki iliyopita tulishuhudia mechi nzuri na yenye mvuto miamba hiyo na mechi iliisha 4:3 sasa leo kwa mara nyingine ni marudiano huko dimba la santiago bernabeu , huenda mechi itakuwa ya kasi na ushindani ila atakayecheza kimbinu zaidi ndie atakaeshinda...
Nilitegemea mkazo na msisitizo uwe bwawa la Mwl Nyerere likamilike kwa wakati ili umeme ushuke bei na bidhaa zishuke bei. Hii ingekuwa ni nafuu ya maisha kwa watanzania wa hali ya chini.
Lakini kiongozi wetu yupo busy kucheza filamu kwa ajili ya watalii ambao wanapata information kutembelea...
Habari wapendwa katika Kristo!!!!
Suala la kucheza katika majengo ya ibada limekuwa ni changamoto katika madhehebu mengi ya Kikristo, na kwa kadri siku zinavyozidi kusonga mbele hali ya kucheza inazidi kuvuka mipaka na kufanana na Ulimwengu, yaani imefikia wakati sasa imekuwa ni vigumu...
GHANA YAFUZU WORLD CUP 2022
Timu ya taifa ya Ghana imefanikiwa kufuzu kwenda kucheza World Cup 2022 licha ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi Nigeria katika kipute kilichopigwa Nchini Nigeria.
Katika mchezo wa kwanza timu hizo zilitoka suluhu ya 0-0, kwa matokeo ya 1-1, hivyo Ghana imepata faida...
Bei ya mafuta ya petroli na diseal imeshuka tena na kuwa chini ya USD 100 kutoka 130 wiki iliyopita. Wiki iliyopita serikali ilitoa tozo ambalo ni mahususi kwa jambo maalumu. Mimi nadhani serikali ipunguze VAT kwenye mafuta ili kuleta suluhisho la kudumu kuliko hili la kutoa tozo.
Kiukweli paka ni wanyama wakatili sana, kuna paka hapa nyumbani huwa akikamata panya huko store inakuwaga ni mateso makali sana kwa panya.
Anachofanya anambeba panya kwa mdomo anamleta uwanja wa wazi anamwachia, hapo panya akianza kukimbia paka anamrukia anampiga makucha panya, anambeba upya...
Hawa wachambuzi uchwara wa soka wa bongo wanakera sana! Wanaongozwa na unazi/ushabiki badala ya weledi wa soka. Mtu hujawahi kucheza soka kabisa hata ngazi ya daraja la tatu utawezaje kuchambua soka!! Ni Tembele tu ambaye akichambua soka unaona **** weledi ndani yake!! Mliobaki oneni AIBU...
Kagere ni mchezaj ambae bado Ana uwezo mkubwa tu wa kupachika mabao, hasa hasa presha inapokuwa kubwa mbele.
Naomba Sana bench la ufund ilifanyie Kaz Hil ili tuinusuru Tim yetu na tulinde heshma tu
1. Timu inacheza kwa Kasi kipindi cha Kwanza ila kipindi cha Pili inapungua. Na tatizo hili linaonekana pale tu Simba SC ikicheza Dar es Salaam ila kwa Mikoani Timu huwa inakuwa 'active' katika dakika zote 90.
2. Ugonjwa sugu wa Mabeki kutoicheza vyema Mipira ya Juu bado haujapatiwa Tiba ya...
Siku hizi naona mambo yamebadilika, night clubs zimejikita zaidi kwenye kuuza vinywaji kuzidi uwaja wa kucheza (dancig floor), hii nimeona inanyima watu ule mzuka wa kwenda club kwa jili a kucheza.
Kiukweli mimi ni mgeni kwenye hii biashara ila zamani nlikuwa napenda sana kwenda disco zenye...
Ni sehemu Kuu ya Agano la 'Kishirikina' kutoka kwa Waganga wao wa Kienyeji ( hasa yule wa kutoka Kigamboni aliyekuwa akimpa Dawa ya Mvuto wa Watanzania wote Mstaafu namba Nne wa Pwani na ambaye pia alimsaidia Kushinda Kesi mbaya ya Bandarini aliyekuwa Boss wa huko mwenye Jina la Ukoo lifananalo...
Unakuta ni kwenye daladala au mpo sehemu mmekaa mnasubiria huduma unaona mbaba anacheza game kwenye simu yake game yenyewe bora hata ingekuwa hata dream league soccer au PES.
Noma inaanza pale unakuta mtu anacheza sweet fruit candy, au Buble shooter, Temple run, subway runner vigame flan vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.