kucheza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Feit toto asipangwe mechi yoyote kwa sasa hata akiwa tayari kucheza wakati swala lake linashughulikiwa

    Huu ndio ushauri wangu kwa kocha na uongozi mzima wa Yanga. Yanga mtakeni Fei na Azam wafuate taratibu kisha mumuruhusu aende zake huyu hawezi tena kuitumikia club ya Yanga kwa moyo kwani hata mkimuongeza mshahara, kesho anaweza kushawishiwa kwa mshahara mkubwa zaidi hivyo atawasumbua tu...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu kwanini Fei hapaswi kucheza tena Yanga baada ya sakata lake la Azam

    Nasikia kuna breaking news kwamba eti Yanga wamerejesha fedha zilizo lipwa na Fei ili Fei aendelee kucheza Yanga. Ni utoto huu. Mashabiki wa Yanga tayari wamesha Kubali kuondoka kwa Fey. Kama kuna mtu yupo nyuma ya sakata la Fei kwa ajili ya kuwa push viongozi Yanga wa muongezee Fey mshahara...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Msiyokuwa na kazi kuelekea 2023 punguzeni kucheza dili za hatari

    Hakuna watu wanacheza Dili za hatari Kama Ma-jobless, that's why wengine wamekataa kuajiriwa na kulipwa ujira wa kijiko wa laki sita hadi Saba. Hii ni kwasababu wanacheza dili za hatari.
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Hizi ni timu 5 duniani zilizowahi kucheza mechi nyingi zaidi za ligi bila kupoteza

    5. Al Ahly SC - Misri - 71 CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Al Ahly mabingwa wa kistoria wa Misri ni moja ya klabu kubwa na tishio barani Afrika, ikiwa na rekodi ya kutwaa mataji 42 ya ligi kuu ya nchini Misri na mataji 10 ya ligi ya mabingwa Afrika. Ikiwa na makao yake katika jiji la Cairo klabu...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kanuni ya masaa 72 timu kucheza mechi haiswihi kwa Tanzania

    Nchi yetu ni kubwa sana na timu zimetawanyika sana kwenye mikoa, wilaya, tarafa, kata hata kwenye vijiji. Viwanja vyetu vingi havina dimba nzuri la kuchezea hivyo linazalisha ajali nyingi zisizozuilika kwa wachezaji. Wachezaji wetu wengi hawakutokea kwenye sports academies hivyo wanarukiana tu...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Laliga yaipongeza Yanga kuwa timu ya kwanza Kusini mwa Jangwa la Sahara kucheza mechi 49 bila kufungwa

    Laliga wanawapongeza Yanga kuwa kucheza mechi 49 bila kupoteza. Page ya Laliga yenye followers million 44 inawapongeza Yanga kwa kuweka record mpya Africa Mashariki na Kati, Africa na Dunia kwa ujumla! Hongera Yanga!
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars ingecheza Kombe la Dunia tungefungwa hata goli 10 kwa mchezo mmoja, mpira wanaoupiga Wazungu ni hatari

    Naangalia mpira wa Australia dhidi ya Ufaransa, kwa hakika huu mpira 'formula' yake hapa Afrika hakuna. Yaani jamaa kama wanapigana vita. Sisi tubaki kushangilia Simba na Yanga tu. Mpira bado sana.
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki Kufungiwa kucheza mechi 3 ni faida kwake kuliko Clatous Chama

    Aziz na Chama wote wamefungiwa na TFF kukosa mechi 3 kwa kosa la ulozi kiwanjani. Hata hivyo, Yanga ilikuwa inafanya vizuri uwanjani hata kabla ya ujio wa Aziz Ki lakini Simba ilikuwa haifanyi vizuri kabla ya ujio wa Clatous Chama. Hivyo ni dhahiri kuwa Yanga haitatetereka kuliko Simba kwenye...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uto wataalamu wa kucheza nje ya uwanja: Ujanja wa hapa hapa, kimataifa majanga!

    Bahasha zilizoenda shule, kwa nini usishinde mfululizo?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Yanga wakijilinda vizuri na kucheza counter african watatoka

    Kama Yanga watajianda kujinda na kufanya mashambulizi ya kushtukiza watashinda ama sare na kupiga matatu. Nawaombea utopolo wapite ili nao wawe makundi harafu tuone wakicheza kule na huku kama watatuweza kutoboa kwenye Ligi. Me naamini yanga wanataka watoke ili wahamishie nguvu yao yote kwenye...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Timu nyingi zinazojipendekeza kuwahi kwenda kucheza na 'Waarabu' huishia kufungwa magoli mengi mno

    Ni akili ya kawaida tu ambayo wala mihogo mibovu kamwe hawawezi kujua, kuwa ni rahisi sana kwa adui yako kukusoma akijua uko naye karibu tena ndani ya eneo lake kuliko ukimshtukiza tu. Halafu mkiambiwa hamna akili mnakataa na kukasirika. Mlichokifanya kuwahi kuondoka (kusafiri) leo ni kama vile...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Beki wa Barcelona: Gerard Pique atangaza kustaafu kucheza soka

    Beki huyo wa kati wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania amesema anatarajiwa kucheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Almeria, kesho Novemba 5, 2022 kwenye Uwanja wa Nou Camp Uamuzi huo wa ghafla ameutoa miezi mitano tangu avunje uhusiano na Shakira aliyekuwa mpenzi wake kwa muda mrefu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Simba Queens iende kucheza na Club Africain badala ya Yanga

    Nashauri kwa uongozi wa klabu ha yanga usipoteze nauli ya kuisafirisha timu kutoka Tanzania kwenda tunisia badala yake ipishe timu ya Simba Queens icheze kwa niaba yao pale Tunis. Huku tukizingatia kuwa nauli ya kutoka Rabat kupitia Algiers mpaka Tunis ni ndogo kuliko ya kutoka Dar mpaka Tunis...
  14. sanalii

    JamiiForums Tanzania BASATA wapige marufuku wadada kucheza kwa kuinama wakitingisha makalio

    Imekua kero sana, nyimbo nyingi lazima wadada wainame mfano wa kuchuma mboga au walale mfano wa chura kisha wanatingisha makalio, huu ni udhalilishaji na kuchochea mmomonyoko wa maadili, kingine hizi nyimbo zinatumika katika mabasi ya mkoani, imekua tabu ukiwa na watu unaowaheshimu. Kutafutwe...
  15. Diversity

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mchezaji Thomas Langu Sweswe alicheza mpira dakika 90 bila kugusa mpira

    Thomas Lungu Sweswe ni mchezaji wa zamani wa Zimbabwe, beki wa kati anadaiwa kushikiria rekodi ya kucheza dakika 90 dhidi ya Keiza Chiefs bila kugusa mpira Soma (hapa).
  16. Shark

    JamiiForums Tanzania Kocha Naserdine Nabi Yanga Ikienda Tunisia Kucheza Na Club Africain Beba Kabisa Vitu Vyako VYOTE

    Sina maneno marefu, ila pia Picha hii haihusiani na kichwa cha habari.
  17. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Habib Kyombo apewe nafasi zaidi kucheza hapo Simba

    Katika tathmini yangu ya Habib Kyombo, namuona ni mchezaji mzuri sana anayestahili kupewa nafasi zaidi. Sitaongelea mikimbio yake wala mbwembwe zingine, ni mchezaji anayeonekana ana IQ nzuri ya soka halafu ni mpambanaji. Changamoto kubwa ya Simba pale mbele ni kasi ndogo, Okrah akitaka...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana ukienda Kucheza Ugenini tena kwa Waarabu halafu ukapokewa vizuri kwani huo huwa ni Mtego

    Kuna Mpuuzi Mmoja nimemsikia ( kwa sasa nimemsahau Jina ) akisema tena kwa Kufurahia na Kuwapongeza Wenyeji kuwa wamepokelewa vyema. Na kwa tunaowajua vyema Waarabu ( hasa Timu zao ) ukiwa ni Mgeni ukienda huko huwa Wanakukarimu mno na wala hawakufanyii Fujo, ila Shughuli yao utaiona Siku...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga kucheza na Green Worriors kujiandaa na Al Hilal

    Wakati Al Hilal ikichakaza 4-0 kwenye ligi ya Sudane, Yanga wao watacheza na Green Worriors kujiandaa na mechi ya Champions dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal. Green worriors ni ya 3 kutoka mwisho kati ya timu 16 za Ligi Daraja la Kwanza
  20. brave one

    JamiiForums Tanzania Mwijaku atoa onyo kwa atakayepita na mke wake

    Kupitia Instagram Mwijaku atoa pole kwa Masanja na kutoa onyo vijana atakayepita na mke wake.
Back
Top Bottom