kuchagua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Olengurumwa: Kitendo cha kuwanyima haki ya kuchagua na kuchaguliwa Wananchi wa Ngorongoro hakikubaliki kwa wapenda haki

    Kufuatia Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kudaiwa kuviondoa kwenye orodha vituo vya kupigia kura vilivyokuwa kwenye Tarafa ya Ngorongoro na kupelekea hali ya sintofahamu kwa wakazi wa maeneo hayo, Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hamas kukutana kuchagua mrithi wa Kiongozi wao Mkuu aliyeuawa, wanaotajwa Khaled Mashaal na Khalil al-Hayya

    Wadau hamjamboni nyote? Hizo ni habari mpya kabisa kutokea ndani ya kikundi cha kigaidi cha Hamas Kwamba magaidi hao hawajakata tamaa kabisa Kwamba Baraza/ Shura ya Maimamu yenye wawakilishi wa kikundi hicho kutokea sehemu mbalimbali watakutana muda wowote kuanzia sasa kumchagua mrirhi...
  3. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Modern contemporary house plan design

    Modern contemporary house plan Do you need other samples ? Check me on +255742892195 call text whatsapp WE design and build your dream home
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Jonas Mkude anajua kuchagua fursa

    Yaan kama kuna mchezaji nimemheshimu msimu huu n mkude Mkude anajua fursa Mkude alipoitwa Yanga, Simba walimbeza sana sana Wakamdharau lakini akaisaidia yanga Leo hii viongozi wa mashabiki wanalia mbona wanaochukuliwa na yanga toka simba wanacheza vizuri shida ikowapi? Haitoshi chamahuyooo...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kipi kitakuongoza kufanya maamuzi ya kuchagua kiongozi wako katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao?

    Utazingatia chama cha siasa na itikadi yake tu, Utazingatia ilani, sera, mipango, dira, mbinu, uelekeo na mikakati ya chama husika, katika kutatua changamoto mbalimbali na kuleta maendeleo kwa wananchi? Utazingatia Elimu, umakini, uadilifu, umahiri, maelezo na ushawishi wa mgombea kwenye...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Poleni Wasukuma kwa kuchagua wabunge wa darasa la 7

    POLENI sana ndugu zangu Wasukuma kwa kufanya utani kwenye uchaguzi na kuacha vigezo vya uwezo wa kiakili ninyi wenzangu mnaangalia mtu ambaye ana uwezo wa kuwanunuliwa vitumbua, ubwabwa, soda na kuwagawia shilingi elfu 5 tano matokeo yake mnapeleka wabunge bungeni ambao hawana uwezo wa kujua...
  7. R

    JamiiForums Tanzania HAKI ya kuchagua, iende sambamba na HAKI ya kumfuta KAZI kiongozi niliyemchagua, nawezaje kumfuta KAZI mbunge wangu?

    Salaam, Shalom!! Tulipoitwa katika mikutano ya Kutoa maoni kuhusu Katiba mpya Awamu ya nne, Ndugu Samia SH, alikuwa mjumbe wa Tume hiyo. Moja kati ya maoni muhimu ya wananchi ,tulitaka ipatikane namna ya kuwafuta KAZI wabunge wetu wasio na uwezo kuongoza, tulitaka pia uwepo ukomo wa ubunge iwe...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kuchagua viongozi mwaka 2020, bila kujali afya zao,umri na demokrasia limesababisha Vifo vya madiwani watatu mkoa wa Geita.

    Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020. Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani wao mwisho. Wengine ni wagonjwa, wengine ni wazee. Hili tatizo limeenea nchi nzima kuzika madiwani...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia: Sheria Mpya ya Uchaguzi Bado ina Ubatili. Haki ya Kuchagua na Kuchaguliwa imeporwa! Irejeshwe kwa Mujibu wa Katiba!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, Gazeti la Nipashe ya Leo. Makala ya leo ni kutoa shukrani na Asante kwa Rais Samia kwa Sheria Mpya ya Uchaguzi, ila Haki ya Watanzania Kuchagua, na Kuchaguliwa, Bado Imeporwa kwa kukasimiwa kwa Vyama vya Siasa. Hili ni ombi, haki hiyo Irejeshwe kwa Wananchi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hofu ya umri inavyofanya watu wapoteze uhuru wa kuchagua

    Tafiti kadhaa zinaonyesha umri inawezekana ikawa kitu cha kwanza kuwapa msongo wanawake wakihsi kupoteza mvuto na soko lakini pia hata wanaume umri huwapa msongo hasa wanapokuwa wanamaliza ujana wao. WENGI HUJIKUTA KWENYE MACHAGUO MABOVU KULIKO WALIYO YAKATAA Hofu ya umri ikizidi uwezo wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hofu ya umri inavyofanya watu wapoteze uhuru wa kuchagua

    HOFU YA UMRI INAVYOFANYA WATU WAPOTEZE UHURU WA KUCHAGUA. Tafiti kadhaa zinaonyesha umri inawezekana ikawa kitu cha kwanza kuwapa msongo wanawake wakihsi kupoteza mvuto na soko lakini pia hata wanaume umri huwapa msongo hasa wanapokuwa wanamaliza ujana wao. WENGI HUJIKUTA KWENYE MACHAGUO...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo azungumzia namna ya kuchagua viongozi wabaya

    Moderators naomba clip hii muiache kwa manufaa ya wapiga kura wa chadema na watanzania kwa ujumla. Erythrocyte
  13. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo yenye Mfumo wa Serikali na si Chama

    Tanzania tuitakayo imebakia katika taswira ya vichwa vyetu. Hii ndio Tanzania tuliyonayo. Demokrasia katika nchi yangu sasa imekuwa ya kusadikika imebakia kuwa picha tu katika fikra zetu. Mifumo imekuwa na nguvu kuliko Maamuzi yetu. Uongozi katika dhana ya demokrasia ni lazima uwe mfumo...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Lipi jema kwa Mswahili / Mwafrika kati ya Kuchagua Kuishi maisha ya Kujitenga nao waseme Unaringa au Kujichanganya nao Wakuzoee na waanze Kukudharau?

    Yaani kama kuna Siku ambayo GENTAMYCINE nitajikita Kusoma sana tu Comments zenu basi ni katika huu Uzi wa leo.
  15. The Dictator

    JamiiForums Tanzania SWALI FIKIRISHI: Kama kungekuwa na kuchagua ni namna gani ufe ungechagua kifo cha namna gani?

    Kifo ni moja kati ya fumbo kubwa sana kiumbe hai (binadamu) tumeumbiwa kutokujua hatma yetu. Lakini, lait kungekuwa na jinsi fulani mtu anaweza kuchagua ni vipi roho yake iachane na mwili huu wa nyama; ni kifo cha namna gani ungechagua? 🤕Pamoja na hilo; ni kifo cha namna gani unaomba sana...
  16. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Afrika haihitaji kufundishwa jinsi ya kuchagua marafiki zake

    “Tunawaambia moja kwa moja kwamba hamwezi kutulazimisha kuchagua marafiki zetu. Tunafikiri China ni rafiki yetu mkubwa, na hakuna mtu anayeweza kutufanya tuachane. Ni ujinga kuona kuwa sisi Waafrika hatuwezi kufikiria.” Maneno haya yamesemwa na balozi wa Rwanda nchini China James Kimonyo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tumia utulivu kuchagua kwa sababu kesho nawe utachaguliwa na ulichokichagua

    TUMIA UTULIVU KUCHAGUA KWA SABABU KESHO NAWE UTACHAGULIWA NA ULICHOKICHAGUA ✍️ Hamna namna utakwepa kuchaguliwa na ulichokichagua, swali ni je kipi ulikichagua ? 1.Kozi uliyochagua kuisoma chuo bila shaka na yenyewe ilishakuchagua. 2.Aina ya mahusiano uliyochagua na yenyewe yalishakuchagua au...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Houthi wailalamikia US kwamba inapiga bila kuchagua pakupiga

    Walalamika na kusema USA wameanza mashambulizi ya kupiga popote na hii inaleta hatari kwa wasiohusika..... Muhammad Ali Al-Houthi condemns American-British strikes in Yemen, alleging aid to Gaza blockade; Red Sea shipping attacks persist. By REUTERSMARCH 23, 2024 03:27Updated: MARCH 23, 2024...
  19. JOVITUS KAMUGISHA

    JamiiForums Tanzania Kupanga ni kuchagua, kuchagua ni kupanga

    Siku kadhaa zilizopita nilikuwa naongea na mmoja wa marafiki zangu wa karibu nilimuuliza swali hili, “Je ni upi msemo sahihi kati ya kupanga ni kuchagua au kuchagua ni kupanga.” Mara zote nimekuwa nikichanganya katika kutanabaisha usemi upi sahihi. Na akanijibu- yote ni sahihi kwa maana...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka kuchagua sehemu ya kuishi kati ya hizi mbili

    Hataki tena ushauri.....
Back
Top Bottom