Hofu ya umri inavyofanya watu wapoteze uhuru wa kuchagua

Mwanasayansi Kalivubha

Senior Member
Feb 4, 2024
107
276
HOFU YA UMRI INAVYOFANYA WATU WAPOTEZE UHURU WA KUCHAGUA.

Tafiti kadhaa zinaonyesha umri inawezekana ikawa kitu cha kwanza kuwapa msongo wanawake wakihsi kupoteza mvuto na soko lakini pia hata wanaume umri huwapa msongo hasa wanapokuwa wanamaliza ujana wao.

WENGI HUJIKUTA KWENYE MACHAGUO MABOVU KULIKO WALIYO YAKATAA

Hofu ya umri ikizidi uwezo wa muhusika hujikuta kwenye maamuzi ya kushangaza , alichokiktaa kinakuwa bora zaidi ya amechokigaua kwa shinikizo la hofu ya umri 😔

NINI UFANYE?

Ukianza kuona huangalii tena ubora bali untaka tu jambo litimie jua tayari wewe ni muhanga wa hofu ya umri, kaa chini tulia jiambie ubora ni zaidi ya hofu ya umri.

#Instagram@fikia ndoto zako.
 
Wanawake tuna tatizo la kufanya uchaguzi tukitaka kuingia katika ndoa

Wanaume wao wanataka mke atakayeweza kuiweka familia pamoja yenye amani na furaha bila kujali muonekano wa mwanamke

Sisi wanawake wengi tunaangalia pesa, urefu ufupi wembamba kitambi ili kuingia kwenye ndoa
Mwisho wa siku tunashtuka kumbe ndoa haihiitaji kitambi urefu ila maelewano upendo wa kweli kushirikiana kua na familia bora.
 
Wanawake tuna tatizo la kufanya uchaguzi hasa kuingia katika ndoa

Wanaume wao wanataka mke atakayeweza kuiweka familia pamoja yenye amani na furaha bila kujali muonekano wa mwanamke

Sisi wanawake wengi tunaangalia pesa, urefu ufupi wembamba kitambi ilikuingia kwenye ndoa
Mwisho wa siku tunashtuka kumbe ndoa haihiitaji kitambi urefu ila maelewano upendo wa kweli kushirikiana kua na familia bora.
Dah hapo kwenye kitambi wewe acha tu ,wanawake Mungu anawaona
 
Fanya mazoezi mkuu😂
Natamani sana tena sana mazoezi Ila mambo so mambo,nilijiunga kwenye timu ya Kijiji nikawa napiga tumazoezi kimtindo ,Sasa siku tukapata mechi na majamaa ya huko Tukuyu yamekula ndizi na mtindi yameshiba ,niliishia kutolewa uwanjani kwa kubebwa na kuwaishwa hospitali na the rest sitaki tena habari za mazoezi
 
Natamani sana tena sana mazoezi Ila mambo so mambo,nilijiunga kwenye timu ya Kijiji nikawa napiga tumazoezi kimtindo ,Sasa siku tukapata mechi na majamaa ya huko Tukuyu yamekula ndizi na mtindi yameshiba ,niliishia kutolea uwanjani kwa kubebwa na kuwaishwa hospitali na the rest sitaki tena habari za mazoezi
Hii story nzuri uifungulie uzi ili tujue ilikuaje😂 ila kitambi ni ugonjwa mpya watu 8 kati ya 10 tunaopishana nao wana vitambi
 
Ndio maana tunasema ndoa ni utapeli

Mwanamke anaweza kumpenda sana mwanaume fulani, lakini kama mwanaume huyo hayupo tayari au anasuasua kumuoa ataolewa na mwanaume aliye tayari kumuoa hata kama halikuwa chaguo lake

Wazungu wanasema women marry the available men. When it comes to women, they settle for who's ready not who they love.

Mwanamke anapokukubalia umuoe sio kwamba anakupenda ni utapeli, anaweza kukubalia tu kwa sababu anaona umri umeshasonga amekuwa mshangazi

Love and marriage is two big gap when it comes to women

Kuoa mwanamke mwenye umri kuanzia 27+ ni kumuokoa
 
Hii story nzuri uifungulie uzi ili tujue ilikuaje😂 ila kitambi ni ugonjwa mpya watu 8 kati ya 10 tunaopishana nao wana vitambi
Anhaaa ,ipo siku nitafungua uzi mkuu .
Ni kweli kitambi ni changamoto kwa watu japo vinagawanyika kwasasa .
Vipo vitambi vya kula maakuli mazuri _ mipilau ,mibiriani na mipiza .

Kitambi Cha balimi _ hivi ni vitambi vy sisi walevi unakunywa bia nne unakula na kanyama ka kuchoma basi kakitambi ka tumafuta kanakutoka japo inakuwa Kama kilibatumbo .

Vitambi vya pombe za kienyeji _ Hapa ni kwa wale wenzangu na Mimi masikini wa kutupwa Ila ana kakitambi ka kumtambulisha tofauti kuwa labda ana afadhali ya maisha kumbe hoe have ,hawa ni mwendo wa kubugia pmne zote za kienyeji na hapo hawali lazima kakitambi kamtoke na omba usikute anatumia ARV. Ndiyo kabisa atakuwa na tumbo Kama jaba la maji

All in all maisha tunayoishi ndiyo yanatuuwa mkuu
 
Kunzia late 20's hadi early 30's epuka kutumia kutumia wanga kwa wingi.

Kuna kale ka kitambi ka kiutu uzima huwa hakeupikiki.
Mkuu umechelewa kunipa ushauri

nina kitambii hadi kanisani mchungaji aliniuliza mbona miaka nenda rudi sijifungui?
Nikamwambia sio mimba ni kitambi!
Akaniambia alidhani ni mimba ili tufunge nijifungue salama😥
 
Hofu yaweza kukufanya kuwa mtumwaaaa

Hofu ya kutopata mwenza
Hofu ya biashara / kazi / ajira etc
Hofu ya kwenda peponi/mbinguni/motoni/toharani?
Hofu hofu ndo maisha ya kila leo

Hofu
1) Kuogopa mambo yaliyopita! (2Kor 5:17).
2) Kuogopa mambo yaliyopo (Yoshua 1:8)
3) Kuogopa mambo yajayo (Mathayo 6:33-34)
 
Wanawake tuna tatizo la kufanya uchaguzi tukitaka kuingia katika ndoa

Wanaume wao wanataka mke atakayeweza kuiweka familia pamoja yenye amani na furaha bila kujali muonekano wa mwanamke

Sisi wanawake wengi tunaangalia pesa, urefu ufupi wembamba kitambi ili kuingia kwenye ndoa
Mwisho wa siku tunashtuka kumbe ndoa haihiitaji kitambi urefu ila maelewano upendo wa kweli kushirikiana kua na familia bora.
Umewaza vyema siyo haba kichwani upo vizuri,ikiwa hujaolewa nakubariki kama hujapata wa kukuoa akapatikane.
 
HOFU YA UMRI INAVYOFANYA WATU WAPOTEZE UHURU WA KUCHAGUA.

Tafiti kadhaa zinaonyesha umri inawezekana ikawa kitu cha kwanza kuwapa msongo wanawake wakihsi kupoteza mvuto na soko lakini pia hata wanaume umri huwapa msongo hasa wanapokuwa wanamaliza ujana wao.

WENGI HUJIKUTA KWENYE MACHAGUO MABOVU KULIKO WALIYO YAKATAA

Hofu ya umri ikizidi uwezo wa muhusika hujikuta kwenye maamuzi ya kushangaza , alichokiktaa kinakuwa bora zaidi ya amechokigaua kwa shinikizo la hofu ya umri 😔

NINI UFANYE?

Ukianza kuona huangalii tena ubora bali untaka tu jambo litimie jua tayari wewe ni muhanga wa hofu ya umri, kaa chini tulia jiambie ubora ni zaidi ya hofu ya umri.

#Instagram@fikia ndoto zako.
Ok
 
Wanawake tuna tatizo la kufanya uchaguzi tukitaka kuingia katika ndoa

Wanaume wao wanataka mke atakayeweza kuiweka familia pamoja yenye amani na furaha bila kujali muonekano wa mwanamke

Sisi wanawake wengi tunaangalia pesa, urefu ufupi wembamba kitambi ili kuingia kwenye ndoa
Mwisho wa siku tunashtuka kumbe ndoa haihiitaji kitambi urefu ila maelewano upendo wa kweli kushirikiana kua na familia bora.
Kumbe jf kuna wanawake wenye akil bwana.

Mimi aliniacha kwa sababu fulanifulani za kibinadam, siku hiz ananitafuta kuliko alivomtafuta mumewe ati mimi ndiyo furaha yake.
Ndoa hizi bana🤣
 
Back
Top Bottom