kuchagua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majimbo ambayo yametosheka na maendeleo yanaweza kuchagua wapiga porojo!

    Wale wote ambao wametosheka na maendeleo ndani ya majimbo yao ya kiuchaguzi wanaweza kuchagua wapiga porojo wenye ubishi mkali, wapenda sifa za maongezi, wasioweza kufanya lolote ndani ya majimbo yao. Tunashuhudia siasa za jirani zetu Kenya, ambapo malumbano yanaendelea asubuhi mpaka jioni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Majimbo karibu yote Kanda ya Ziwa kuchagua wabunge wa upinzani

    Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini ndani ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu wataamua kuchagua wawakilishi wabunge na madiwani kutoka vyama vya upinzania baada ya kubaini kuwa wabunge wengi wa CCM wanashindwa kuwatetea kwenye mambo ya msingi kwa kuhofia kutoteuliwa na CCM...
  3. milele amina

    JamiiForums Tanzania Hatari ya CCM Kuchagua Nchimbi Mapema kugombea Umakamu wa Rais

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha kisiasa, ni muhimu sana kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa makini na maamuzi yake, hasa katika kumchagua Nchimbi kuwa Makamu wa Rais kuelekea mwaka 2030. Hatari hii inaonekana wazi kwa sababu inawezekana kwamba tunajenga msingi wa Rais wa mwaka 2030 hadi...
  4. Stevevanny

    JamiiForums Tanzania Ati kupanga ni kuchagua

    Wadau nimekuwa nikifikiria sana Hakuna suala gumu kama kufanya planning...Napata shida sana kwenye kufukiria nn nifanye nje ya box (business) yaan cna idea kabisa japo mtaj ninao kama 1M hv nashindwa nifanye business gan mnanishaulije wataalam
  5. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa ndoa na hatima ya mwanaume kwenye jamii

    Salaam jamiiforum Si ajabu kuona vijana Kwa wazee wanapishana katika madanguro au sehemu wanapojiuza wanawake. Yaani vijana umri wa miaka 21 hadi 35 lakini pia kuna umri huu 35 mpaka 55 wote hao wanapishana na kupeana koneksheni ya madanguro (machimbo) mapya. Hii yote inasababishwa na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CDM January 2025 ni kuchagua kukinusuru au kukiua kabisa chama.

    Uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa hasa Mwenyekiti ni kwenda kusaini hati ya kifo au uhai wa chama. Kumchagua FAM kutaleta anguko kubwa sana la chama. Tatizo kubwa ni kwamba, FAM hajali chochote iwe chama kufa au kupona kwake si hoja ya msingi bali kubaki madarakani ndo hoja ya msingi kwake...
  7. Ngwatuson

    JamiiForums Tanzania Msaada kuchagua mchumba sahihi kati ya hawa nitakaowataja

    Habari Rafiki yangu ameniomba ushauri nikaona sio vibaya kuwashirikisha Wana jamii. Amesema "Ana wapenzi wawili wote wanamkubali, Wakwanza ni nesi japo halipwi hata mshahara mkubwa na sio bikra zodiac sign yake inaendana na jamaa, she's cool nyashi ya kueleweka anatokea Lindi Wapili ni...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Maisha ni kuchagua: Ili kuagiza BMW 3 series cheap kabisa kutoka JP unatakiwa uwe na Mil 14, ila IST lazima uwe na angalau Mil 17!

    Niliona juzi kati kunaa mdau anaulizia gari ambalo akiendesha watu wajue amejipata. Sasa leo nikawa nafanya comparison ya kutaka kuagiza magari mawili, yote ya mwaka mmoja 2006. BMW 3 series, 2006 generation ya E90, model 320i, ikiwa mpya 2006 iliuzwa $40,000 na leo naweza ipata kwa $930...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mbowe ana haki ya kikatiba ya kuchaguliwa na kuchagua, asizuiwe kutumia hizo kwa sababu tu Lissu na yeye anataka kugombea

    Naonakuna genge limejikita kusema Mbowe asigombee, huu ni upuuzi mkubwa sana kufanywa na wanachama wa chama kinajiita cha demokrasia. Katiba yao inamruhusu agombee, kwa nini Mbowe asiachwe ashinde/ashindwe kwenye sanduku la kura, ila anashinikizwa asigombee? Sasa kutakuwa na tofauti gani na...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Namibia: Wananchi wapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge, SWAPO hatari ya kupoteza baada ya Miaka 33

    Wananchi nchini Namibia wanapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge katika uchaguzi unaotajwa kuwa mgumu kwa taifa hilo. Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa mapema leo Novemba 27 ambapo maeneo mengi yameshuhudia msururu mrefu wa wapiga kura. Chama tawala cha SWAPO kinapewa nafasi ndogo ya...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Arusha: Maoni ya Wananchi kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa

    Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024. TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura likiendelea katika mazingira ya amani na utulivu. Baadhi ya wananchi waliopiga kura wameonyesha...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkuu Wa Wilaya Ya Ilala Edward Mpogolo apiga kura kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amewasili na kutimiza Haki yake ya Msingi ya Kikatiba ya Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao Leo Novemba 27, 2024 unafanyika Tanzania Bara. DC Mpogolo amepiga kura yake katika Mtaa wa Karume uliopo Kata ya Ilala, akiwa hapo amewahimiza...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: Amos Makalla apiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla, amewasili mtaa wa TPDC Mikocheni B Jijini DSM kwa ajili ya kupiga kura ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa ikiwa Mwenyekiti pamoja na wajumbe wa Serikali za Mitaa.
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tanga: DC Kubecha apiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa

    Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha leo Tarehe 27 Novemba 2024 Ameongoza Wananchi wa Wilaya ya Tanga kwenye zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya Central kituo cha Raskazone.
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nitafanya ujinga wote ila sio ujinga wa kuchagua kilichochaguliwa

    Leo hii watu wengi wamepanga foleni kuchagua kilichochaguliwa. Huo muda mchafu sina
  16. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Utumishi watapangia walimu vituo kwa kuchagua wenye GPA kubwa?

    Hello wakuu, Kuna tetesi nimezipata kuwa Utumishi ,hawatawafanyisha usahili walimu, badala yake wame wamechagua selection criteria, nazo ni mwenye GPA kubwa atapata ajira. Na tetesi zinasema kuwa below 3.0, unaweza husi chaguliwe. Je, yanaukweli hayo? Na ni kweli mwenye GPA ya 4.0 anaweza...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Jenga Ndoto au Jenga Mahusiano: Chagua njia yako

    Kwa wadogo zangu wote ambao bado mnapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja tu(ingawa bado itakugharimu) Mahusiano ni gharama sana kwa mwanaume, hasa katika kizazi hiki ambacho...
  18. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Jenga ndoto au jenga mahusiano. Unatakiwa kuchagua kimoja

    Vijana wenzangu wote ambao bado tunapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja tu(ingawa bado itakugharimu) Mahusiano ni gharama sana kwa mwanaume, hasa katika kizazi hiki ambacho...
  19. Edsheraan

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba kama hujajiandikisha kuchagua hutopata mkopo benki na kudhamini watu?

    Za asubuhi? Nimeskia sehemu kwamba wanaanzisha Sheria uchwara kama hukujiandikisha kuchagua huwezi kupata mkopo benki, huwezi kumdhamini mtu. Unatambulika sio raia wa nchi hii hali ni mbaya katika daftari la uandikishaji wananzengo waligoma.
  20. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: CCM wapiga kura za maoni kuchagua Wagombea, CHADEMA watoa fomu kimyakimya, ACT na wengine mmh

    Baada ya zoezi la uandikishaji kukamilika na waziri wa Tamisemi kutangaza kuwa walijitokeza kujianidkisha katika taftari la kupiga kura la wakazi, na Dodoma ikitajiwa kuwa na idadi kubwa ya waliojiandikisha ambapo kwa mujibu wa waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengelwa amesema kuwa Dodoma...
Back
Top Bottom