kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini? Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon?? Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa. ---
  2. JamiiForums Tanzania Simba SC ilivyotolewa Juzi mliicheka je, ni lini mtaanza Kuwacheka Timu Kubwa Raja Casablanca FC nayo kwa Kutolewa?

    Na ndiyo maana wenye Akili kwa Kuujua Ugumu wa Kombe husika ( CAFCL ) na hatua ambayo Simba SC imefikia na kwa Kufa Kiume Juzi kwa Wydad Casablanca FC mpaka Waarabu wanaacha Kushangilia Wanasali na Kulia tunasema hatuna Deni na Wachezaji wa Simba SC hadi Kocha na Benchi lake lote la Ufundi...
  3. JamiiForums Tanzania Akili kubwa: The Israeli plan to fit a fusion reactor into a container

    From the outside it looks like an ordinary warehouse. But inside this unassuming building, in Hod Hasharon central Israel, is one of the most ambitious energy projects in the Middle East, Researchers at NT-Tao have joined an elite group of around 35 private start-ups that are trying to build a...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga SC imetumia Nguvu Kubwa na Kujiandaa Kupitiliza kwa Mechi ya Rivers United FC wakati kwa 99% Wameshafuzu?

    Nimeshuhudia Maandalizi mengi ya Klabu ya Yanga hasa ikicheza Michuano ya Kimataifa ila sijawahi kuyaona Maandalizi haya Kabambe na Kufuru yaliyofanywa kuelekea Mechi yao ya Marudiano na Rivers United FC Kesho Mkapa Stadium. Hata hivyo Wenye Akili tunajua baada ya Yanga SC Kushinda Ugenini (...
  5. JamiiForums Tanzania Sikutegemea ningepewa Heshima kubwa kama hii humu JF. Medal hii nitakuja waonesha wajukuu zangu

    Mwandishi na mchangiaji mtulivu asiye na makeke, hata umchokoze vipi anatabasamu anakuita tu Mkuu.... Mpaka unajisikia aibu. Alilelewa vizuri na wazazi wake akashika maagizo yao. Msomi wa kiwango cha juu wa shahada ya Ustahimivu. Na elimu kwa ngazi ya PhD kwenye suala la mahusiano na...
  6. JamiiForums Tanzania Mnaosifia Simba kuwa ni team kubwa Afrika hamjui Mpira. Mnaijua Atletico Madrid ya Spain?

    Nyuzi Nyingi sana zinaandikwa kuisifia Simba eti ni kubwa Afrika na jana imeonyesha kua ni giant😂😂. Machizi kweli nyie na kama unasoma huu uzi una hilo wazo huo ni uchizi pia. Hivi Team gani ulaya haiogopi Atletico hii ni Moja ya Team ngumu sana ulaya na Match zake hua zakuvutia sana kuanzia...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga bado mna vita kubwa. Mnahitaji kuwa more professionals na uwezo mnao, maamuzi ni yenu.

    Yanga kwa maana ya viongozi na wachezaji, Ushindi wenu na dhidi ya Rivers United kule Nigeria ni chachu tu kuelekea safari amnayo bado ni mdefu pamoja na kuonekana kama safari iliyobaki hatua tatu tu. Waacheni mashabiki wenu wafurahie pia wajigambe, lakini ninyi wakati wenu wa kujipongeza...
  8. JamiiForums Tanzania Wanasimba tupo imara sana, tuna hali zaidi na furaha kubwa kusubili match yetu ya marudiano na wydad Casablanca.

    Huu ni ujumbe kwenye wenye visoklokwinyoooo na vijiba vya rohoo kwa simba. Simba ni team kybwa sana hapa Africa na duniani na tunatambua ili tuwe mabigwa africa lazima tucheze na mabigwa. Wanasimba hatuogopi team yoyote ile maana hao mnaosema watashinda sisi tulishawashinda teyariiiii...
  9. JamiiForums Tanzania Nikiiangalia hii picha ya Nape naona kuna shida kubwa kwa hawa viongozi wetu

    Hivi huwa wanapimwa akili kweli? Hivi kuna mtu na akili timamu anaweza pita juu ya watu namna hii? Hii si ni busara ndogo kuelewa kuwa si sawa haijalishi wananchi wanasemaje. Huwa nawaza sana hii nchi haiwezi endelea kwa aina hii ya watu ambao ni very.....Sijui. Ila inasikitisha sana.
  10. JamiiForums Tanzania Ni Matumaini yangu Mgeni kaombwa atuletee Watu wake ili Watuambukize Akili zao Kubwa nasi tuendelee haraka kama Wao

    Najua umezungumza nae mengi Mgeni hasa ya kutumia vyema Bandari yako Kibiashara, Ulinzi na Usalama, TEHAMA na Utulivu huko anakowanyoosha Wakata Viuno tu kila Siku. Hata hivyo ni matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa kabla Mgeni hajaondoka Kesho utakuwa umemuomba akuletee Watu wake Werevu (...
  11. JamiiForums Tanzania Unfortunately, sehemu kubwa ya nyuzi humu JF ni full miropoko

    Nawafokea kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaani Tanzania. Kwa bahati mbaya ninapofungua nyuzi nyingi humu JF, sipati ile intellectual content, yaani taarifa zilizo na facts and figures au proof ambazo zinaweza ku substantiate allegations made au hypothesis iliyokua put...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia. Hadi sasa ametoa ajira nyingi sana japo hitaji ni kubwa

    Kwa kweli hatuna budi kumshukuru sana Mungu kwa ajiri ya Rais wetu kuweka mkazo katika kutoa ajira kwa vijana wetu waliomaliza vyuo. Japo hitaji bado ni kubwa sana lakini hatuna budi kumpongeza kwa wingi wa ajira ambazo keshatoa hadi sasa. Si mnakumbuka tangu 2015 ajira zilikata kabisa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ulaya inaihitaji China kwa ajili ya soko lake kubwa pamoja na amani

    Kwa muda sasa, uhusiano kati ya China na Umoja wa Ulaya umekuwa kwenye mwelekeo wa kudorora, lakini mkwamo katika uhusiano huo ulianza kubadilika baada ya Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz na rais wa Baraza ka Ulaya Charles Michel kufanya ziara nchini China mwishoni mwa mwaka jana. Katika mwezi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nina shamba kubwa Mwanza ninauza kwa wawekezaji eka 18 lina hati nipeni soko,nifanyeje

    Ninauza shamba kubwa hekta 18 zilizopimwa karibu na ziwa huku Mwanza jamani nipeni maarifa namna ya kupata wateja linafaa kwa hoteli,kilimo,mifugo na apartments. Nipeni maarifa. 0622290094
  15. JamiiForums Tanzania NADHARIA I.Q ya mtoto aliyezaliwa na binti mwenye umri mdogo ni kubwa kuliko ya mtoto aliyezaliwa na mwanamama mwenye umri mkubwa

    Kitaalam imekaa vipi?
  16. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kumamoto nchini Japani waadhimisha miaka 7 tangu kutokea kwa tetemeko kubwa la pili la ardhi

    Inatimia miaka saba leo Jumapili tangu tetemeko kubwa la pili la ardhi kuutikisa mkoa wa Kumamoto unaopatikana kusini magharibi mwa Japani. Tetemeko hilo lililokuwa lenye kiwango kikubwa zaidi cha saba kwenye kipimo cha matetemeko nchini Japani lilitokea katika mji wa Mashiki Aprili 16 mnamo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga SC kila ikikaribia tu Kucheza Mechi Kubwa na Muhimu hupatwa na Misiba?

    Na hiyo Misiba ya hapa na pale ikiwatokea / ikitokea tu Mechi yoyote Ngumu inayokuja Yanga hushinda na pia hucheza Mpira mkubwa mno na wa Kuvutia. MINOCYCLINE nimesahau naomba kama hamtojali mnikumbushe Yanga SC inacheza Mchezo wake mwingine lini na wapi ili niishuhudie ikienda Kushinda...
  18. JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya derby Simba yapewa nafasi kubwa ya ushindi

    Kwa mechi kadhaa nyuma, Yanga ilikuwa ikipewa nafasi kubwa ya kushinda na makampuni ya kamari, lakini safari hii hali imekuwa tofauti. Watu wakiamini Yanga ni bora kuliko Simba, watu wakiamini kuwa Yanga ina wachezaji wengi bora kuliko Simba lakini kwa makampuni ya kamari yamefanya uchambuzi...
  19. JamiiForums Tanzania Ni makosa na dhambi kubwa chuo cha walemavu kugeuzwa mradi wa watu binafsi

    Nikisema niandike hapa ukurasa hautoshi, Chuo pekee Dar cha walemavu Yombo Kiwalani kinapiga Uturn badala ya kusonga mbele tangu Nyerere alipokijenga na Mzee Mengi akawa anafadhili na akajenga madarasa. Cha kusikitisha kuna mama anaitwa Mariam Chilangai yeye anakaimu ukuu wa Chuo sasa kwa miaka...
  20. JamiiForums Tanzania Huwa unamchukuliaje mtu anayekuandikia ujumbe kwa herufi kubwa?

    Suppose someone sends you a lengthy message in capital letters, how will you respond/react to it? Binafsi huwa nachukia sana kuona mtu amenitumia ujumbe kwa herufi kubwa. Yaani hiyo ni sawa sawa na mtu kukusiztizia (stressing) kwamba lazima uusome ujumbe wake na kuutilia maanani. Watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…