kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hii ndiyo sababu Kuu (Kubwa) ya Mabeki Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuachwa Taifa Stars

    Sasa kama GENTAMYCINE nakuwa Informed hivi na nina Sources wangu ( Authoritave, Credible and Reliable ) kila Kona kwanini nisiwe Mshindi wa Jumla ( Bora ) wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka 2022? Haya chukueni hii na nawaomba muiamini tena kwa 100% kwani nimeitoa kwa Mtu...
  2. Tukisema Simba sc ni timu kubwa Africa huwa mnabisha haya jioneeni wenyewe hapa

    Cheti timu zilizoingia robo fainal caf champions kisha lingalisha na hizo zilizoingia shirikisho. Simba baba lao, hakuna kunguni yeyote aliyepo shirikisho anaweza kugusa hapo.
  3. Je, naweza kubarikiwa kwa kutoa sadaka kubwa kubwa kanisani?

    Nimekulia kwenye familia ya KKIKRISTO made hebu ya Kilutheli, na Sunday School na Kipaimara nilikuwa mwanafunzi bora kabisa nikiwa nimekariri vifungu vingi sana vya Biblia. Baada ya kuhitimu kidato cha sita, nilipata daraja la tatu, nikaona niingie mazima kwenye biashara maana hamna tena namna...
  4. Foleni kubwa barabara ya kuingia mjini Mwanza asubuhi hii

    Kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo kuna daraja limejaa maji yanapita mpaka juu eneo la Mkuyuni sokoni. Foleni ni kubwa kuanzia mjini na upande wa kuingia mjini foleni magari yamesimama mpaka buhongwa, kama una plan ya kuja au kutoka mjini bora ukae kwako maana njiani...
  5. Nafasi iliyopatikana kwenye uchaguzi wa 2020 ikitumika vizuri ni faida kubwa kwa CCM

    Uchaguzi wa mwaka 2015 ulikuwa mgumu mno kuwahi kutokea tangu vyama vingi vya siasa vianzishwe. CCM ilipita kwenye tundu la sindano kushinda ule uchaguzi. Chama kilikuwa hoi mno. Kabla hata ya Lowassa kuhama tayari upinzani ulikuwa una nguvu mno kutokana na kuwepo vichwa hatari mno kisiasa...
  6. Saa 10 za gharama kubwa duniani, ya bei ndogo ni Tsh. Bilioni 11.7 aliyopewa JAY-Z na mkewe Beyonce

    Kwa mujibu wa Mtandao wa KRONOS 360, Hizi saa ndio zinaongoza kwa kuuzwa gharama kubwa kwenye minada duniani. Kumbuka ni kati ya saa zilizotengenezwa kwa oda maalumu au chache. Hivyo sio rahisi kuzipata madukani. 1- Graff Diamonds - Hallucination - Tsh. Bilioni 128.7 2. Chopard – 201 carats -...
  7. Changamoto 3 kubwa za mapenzi ya mbalimbali

    Mapenzi ya mbalimbali yanajumuisha; Mapenzi na mtu wa mbali na unapoishi (mkoa mwingine/ nchi nyingine). Mapenzi na mtu mtandaoni na hujawahi kukutana naye. Mapenzi na mtu ambaye ratiba zenu haziruhusu kukutana kwa muda mrefu. Kwenye mapenzi haya inabidi uwe makini, na ujue changamoto zake...
  8. Wimbi kubwa la wazee na wanawake wa miaka 45+ kuongezeka kwenye kamari (kubeti) tatizo ni nini?

    Habari za asubuhi wana JF, Kuna wimbi kubwa mtaani la wazee na wanawake kujiingiza kwenye kamari (kubeti), tatizo umasikini au ndio maendeleo ya soka nchini? Nakumbuka World Cup last year kila mtu ni kubeti tu, ukikutana na wazee, wanawake wa mtaani wanataka uwafundishe kubeti na wakisikia...
  9. Jeshi la Polisi Kenya lashutumiwa kutumia nguvu kubwa kudhibiti Waandamanaji

    Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu ya Kenya, (KNCHR) imeitaka Serikali kuchunguza Vitendo vya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu vilivyofanyw ana Polisi kupitia Uharibifu, Ukamataji, Kujeruhi na Matumizi ya Risasi za Moto dhidi ya Waandamanaji. Taasisi ya KNCHR inayofadhiliwa na Serikali imesema...
  10. S

    Mvua kubwa Moshi

    Tumepata neema.
  11. Baada ya kufanya kazi kubwa, Mwamba anarudi kuitumikia nchi yake

    Kila la kheri kwa Jini, Predator.... mchezaji bora Afrika na katika ligi kuu ya Tanzania Bara.Tunashukuru kwa makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa ndani ya Tanzania na Afrika, sasa ni wakati wa kurejea nyumbani kuitumikia nchi yako wakati tukijipanga kufika fainali na kuchukua ubingwa CAFCC...
  12. Tokea Rais Samia aingie Madarakani Dar haijawa na hii Mvua Kubwa, ila Leo kaadhimisha Miaka yake Miwili tu it is raining cats and dogs

    Kuna nini labda Kimejificha hapa? Je, hii Mvua inamuadhimisha Hayati Dk. Magufuli kwa Kifo chake Miaka Miwili iliyopita au ni Mvua ya Kuonyesha kuwa Mama ( Rais Samia ) ana Baraka na sasa Tozo, Mikodi, na hali ngumu ya Maisha iliyoko ndiyo inaenda kuwa Historia? GENTAMYCINE nimekaa pale kusoma...
  13. Kwa hii Mvua Kubwa ya Dar es Salaam leo nikiambiwa hakuna Madhara Makubwa nitakataa

    Tayari kuna Mto Mmoja mkubwa na maarufu uko eneo fulani unaanza Kufurika na najua hadi Saa 10 Alasiri nitaitwa kwenda kusaidia Uokozi. Na kuna Demu Mmoja ameninyima Nyama Tamu yake Chumba chake kipo Jirani na Kingo za huo Mto na kuna Uwezekano Chumba kikaondoka hivyo ngoja nijisogeze karibu...
  14. Vijana wengi nchini ni bendera fuata upepo, hawana maarifa ya kutosha

    Acha kuwa bendera fuata upepo. Lema anadai Bodaboda ni sio ajira/ nia laana yeye ameleta nini ili kiwe ajira kwako kijana? Lema anajenga hoja ambazo hazina mashiko, unasema Bodaboda ni laana we unataka vijana wafanye nini au ndo wakusubiri uwe kiongozi mkuu wa nchi ndo kila kijana umpatie...
  15. Majibu Kwanini Wasanii Wetu Hawaitwi Kwenye Steji Kubwa Duniani

    Naandika huu uzi baada ya kumsoma kamikaze kwenye uzi wake: Mafanikio ya mwanamuziki Burna Boy, Nini tunajifunza! If anything wasanii wabongo inabidi walalamikie ufinyu wa watanzania wengine nje ya nchi hususani in the boardrooms. Nigerians wapo wengi ndani na nje ya nchi yao. Unaposikia...
  16. Tukutane hapa tunaozichukia simu kubwa, tunapendelea zaidi simu ndogo tunazoweza kuzimudu kiganjani kiurahisi

    Yaani siku hizi ukienda madukani simu nyingi sana za kisasa (smartphones) huwa ni kubwa kwa umbo, yani urefu tu ni kama mkebe na hii ni kero kwangu, binafsi napendelea zaidi simu ambazo zinakaa fresh kiganjani walau zikizidi sana basi iwe ni sentimita 14 na nusu kwa urefu. Simu kuziweka...
  17. Miaka miwili ya Rais Samia Arusha inapiga hatua kubwa kubwa sekta ya afya

    Katika miaka miwili ya uongozi wa Rasis Samia Suluhu Hassan mengi yamefanyika katika mkoa wa Arusa lakini nimefurahishwa na yaliyofanyika katika sekta ya afya. Kwa uchache mambo hayo ni pamoja na: Katika sekta ya afya, Mkoa wa Arusha umeongeza vituo vya kutolea huduma za afya kutoka 383 kutoka...
  18. N

    Jua kali, hakuna mvua, kodi kubwa

    Hali ni mbaya sana mawilayani huku wafanyabiashara wengi waliokuwa wanawika wamefilisika Na kufunga biashara zao kwa sababu ya TRA. Mnapaswa muwalee wafanyabiashara ili wapate faida just imagine Mfanyabiashara anapigwa penalt ya kodi millioni 200 lazima afunge biashara akimbie. Zamani msimu...
  19. Wanaomchukia Rais mitaani wengi ni Wanawake, ila wanaoandaa Kongamano Kubwa Kumsifu Rais kwa miaka yake Miwili ni Wanawake hao hao

    Ngoja tuendelee tu kunywa Mtori na Nyama huenda tukazikuta chini ya Sahani na Mabakuli. Ngojea Sasa nimsikie Mwanamke yoyote iwe ndani ya DalaDala au Mtaani anaulalamikia Uongozi wa Rais GENTAMYCINE nitamtandika bonge la Kofi / Keleb. Hakuna Kitu ambacho nakichukia kama Unafiki na Watu...
  20. Nguvu kubwa inatumika dhidi ya Hayati Magufuli au inatumika kumtetea Hayati Magufuli?

    Ni kama vile Katikati ya jamii ya Watanzani kuna kitendawili ambacho bado hakijapatiwa majibu. Kuna swali linalosumbua watanzania wengi kuhusu nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli katika historia yetu kiuchumi, kijamii, kisiasa na hata kimahusiano ya kimataifa. Kumeibuka makundi mawili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…