Wakati Rwanda na Saudi Arabia wako 'busy' kujitangaza Kiutalii AFL wenyeji wao wanabung'aa bung'aa tu!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,738
109,177
Asanteni sana marafiki zangu mlioko South Africa, Uganda, Uingereza, Ufaransa, Marekani, China, Germany, Israel na Sweden mlioniuliza ni kwanini kila mkiingia karika kurasa za Mitandao kujua kuhusu hili Kombe jipya la African Football League (AFL) linaloanza Siku ya Ijumaa hapa Tanzania (Timu Bora Afrika Mashariki na Kati ya Simba SC ikiwakilisha) Matangazo ya Utalii mnayoyaona ni ya kuhusu Utalii wa Rwanda na Saudi Arabia pekee.

Kuwajibu tu kwa kifupi marafiki zangu nyie ni kwamba kama kuna nchi Barani Afrika yenye Kiongozi (Rais) Anayejitambua, Mpambanaji, Msomi mzuri na Mwerevu mno na ina wananchi Wazalendo, Wathubutu na Wachapakazi ni Paul Kagame na nchi yake Rwanda (Israeli ya Afrika) hivyo wasishangae sana.

Kitendo cha Rwanda kujitangaza tu na Visit Rwanda yake kupitia Vilabu Vikubwa vya Arsenal FC na PSG FC na sasa katika haya Mashindano mapya ya AFL (tena bila ya Rais wake Kagame kugeuka kuwa Actor wa Movie ihusuyo nchi ya Rwanda) inategemea kupokea Watalii Milioni Saba (7,000,000) hadi mwisho wa mwaka huu (December).

Sijakosea kuipenda Rwanda na Rais wake Kagame na Israel na Waziri Mkuu wake Netanyahu, na huwa/sijawahi kupenda vibovu vibovu na visivyo na Akili.

Tuendeleeni tu Kuitangaza nchi yetu hasa huu Utalii mpya wa kumtangaza Mother of the Nation akifafanishwa kilazima na kipuuzi na our real Father of the Nation labda itatutangaza vyema Kiutalii na watalii kufurika kulishangaa pia na 'Puto' la Kipekee kutokea Zanzibar.
 
Juzi nilibahatika kufanya utalii wa ndani na kutembea mbuga yetu ya Serengeti NP, ndiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza. Aisee hii mbuga ni kiboko, yaani niliona wanyama kwa mamia na wengine maelfu (nyumbu, pundamilia nk).

Sasa magari na idadi ya watalii niliyoyaona kwa siku 4 nilizokuwa huko ni balaa, wengi mnooo na nikaambiwa season imeanza mwezi Juni mpaka Disemba!!! Nikajiuliza hivi ingekuwa kuna mkakati mikubwa na ya uhakika ya kutangaza utalii wetu, na tulivyo na mbuga nyingi si kila mwaka tungeweza kuingiza hata watalii milioni 20??

Aisee hii nchi kwa utajiri Mungu ametubariki sanaa lakini ndiyo hivyo tena. Jambo moja nilisikitika sana ni barabara mbaya na yenye rasta nyingi mnoo na vumbi la hatari kutoka Seronera kuja Ngorongoro Conservation Area, daaah hata hao watalii kiukweli itakuwa wanaona kero kubwa sana. Sijajua ni kwa nini wanashindwa hata kuweka kokoto au lami kabisa.
 
Juzi nilibahatika kufanya utalii wa ndani na kutembea mbuga yetu ya Serengeti NP, ndiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza. Aisee hii mbuga ni kiboko, yaani niliona wanyama kwa mamia na wengine maelfu (nyumbu, pundamilia nk). Sasa magari na idadi ya watalii niliyoyaona kwa siku 4 nilizokuwa huko ni balaa, wengi mnooo na nikaambiwa season imeanza mwezi Juni mpaka Disemba!!! Nikajiuliza hivi ingekuwa kuna mkakati mikubwa na ya uhakika ya kutangaza utalii wetu, na tulivyo na mbuga nyingi si kila mwaka tungeweza kuingiza hata watalii milioni 20?? Aisee hii nchi kwa utajiri Mungu ametubariki sanaa lakini ndiyo hivyo tena. Jambo moja nilisikitika sana ni barabara mbaya na yenye rasta nyingi mnoo na vumbi la hatari kutoka Seronera kuja Ngorongoro Conservation Area, daaah hata hao watalii kiukweli itakuwa wanaona kero kubwa sana. Sijajua ni kwa nini wanashindwa hata kuweka kokoto au lami kabisa.
Unadhani Kagame anavyowadharau anakosea?
 
Juzi nilibahatika kufanya utalii wa ndani na kutembea mbuga yetu ya Serengeti NP, ndiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza. Aisee hii mbuga ni kiboko, yaani niliona wanyama kwa mamia na wengine maelfu (nyumbu, pundamilia nk).

Sasa magari na idadi ya watalii niliyoyaona kwa siku 4 nilizokuwa huko ni balaa, wengi mnooo na nikaambiwa season imeanza mwezi Juni mpaka Disemba!!! Nikajiuliza hivi ingekuwa kuna mkakati mikubwa na ya uhakika ya kutangaza utalii wetu, na tulivyo na mbuga nyingi si kila mwaka tungeweza kuingiza hata watalii milioni 20??

Aisee hii nchi kwa utajiri Mungu ametubariki sanaa lakini ndiyo hivyo tena. Jambo moja nilisikitika sana ni barabara mbaya na yenye rasta nyingi mnoo na vumbi la hatari kutoka Seronera kuja Ngorongoro Conservation Area, daaah hata hao watalii kiukweli itakuwa wanaona kero kubwa sana. Sijajua ni kwa nini wanashindwa hata kuweka kokoto au lami kabisa.
Mbugani huwezi weka lami, utaathiri wanyama
 
Asanteni sana marafiki zangu mlioko South Africa, Uganda, Uingereza, Ufaransa, Marekani, China, Germany, Israel na Sweden mlioniuliza ni kwanini kila mkiingia karika kurasa za Mitandao kujua kuhusu hili Kombe jipya la African Football League (AFL) linaloanza Siku ya Ijumaa hapa Tanzania (Timu Bora Afrika Mashariki na Kati ya Simba SC ikiwakilisha) Matangazo ya Utalii mnayoyaona ni ya kuhusu Utalii wa Rwanda na Saudi Arabia pekee.

Kuwajibu tu kwa kifupi marafiki zangu nyie ni kwamba kama kuna nchi Barani Afrika yenye Kiongozi (Rais) Anayejitambua, Mpambanaji, Msomi mzuri na Mwerevu mno na ina wananchi Wazalendo, Wathubutu na Wachapakazi ni Paul Kagame na nchi yake Rwanda (Israeli ya Afrika) hivyo wasishangae sana.

Kitendo cha Rwanda kujitangaza tu na Visit Rwanda yake kupitia Vilabu Vikubwa vya Arsenal FC na PSG FC na sasa katika haya Mashindano mapya ya AFL (tena bila ya Rais wake Kagame kugeuka kuwa Actor wa Movie ihusuyo nchi ya Rwanda) inategemea kupokea Watalii Milioni Saba (7,000,000) hadi mwisho wa mwaka huu (December).

Sijakosea kuipenda Rwanda na Rais wake Kagame na Israel na Waziri Mkuu wake Netanyahu, na huwa/sijawahi kupenda vibovu vibovu na visivyo na Akili.

Tuendeleeni tu Kuitangaza nchi yetu hasa huu Utalii mpya wa kumtangaza Mother of the Nation akifafanishwa kilazima na kipuuzi na our real Father of the Nation labda itatutangaza vyema Kiutalii na watalii kufurika kulishangaa pia na 'Puto' la Kipekee kutokea Zanzibar.
Mama yuko nusy na kampeni kule Singida

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Wanasubiri mheshimiwa Rais atoe maelekezo.
 
Hiyo visit Rwanda imeanza lini na mpaka sasa imewanufaisha nini???
TANZANIA ISHAJITANGAZA KUPITIA ROYAL TOUR .
Wewe kama wewe Rwanda utaenda kuangalia nini cha ajabu????
Labda ukanunue malaya wa kitutsi .
 
Back
Top Bottom