Kijana wa Kiume kufanyiwa Graduation kubwa hadi kukodisha ukumbi

Unafanya Graduation kubwa halafu unaishia kuwa mbeba zege kitaa.

Inaleta huzuni Sana labda awe wa mboga Saba na connection za uhakika
Wabeba zege ni nyie msiofanya Graduation kubwa, kwa sababu uwezo hamna. Sasa kama kaweza kufanya Graduation kubwa, anashindwa vipi kupata pesa ya Kufungua biashara ya maana. Mwenye pesa na mwenye pesa tu, acha kujifariji na maneno ya kimaskini.
 
Unafanya Graduation kubwa halafu unaishia kuwa mbeba zege kitaa.

Inaleta huzuni Sana labda awe wa mboga Saba na connection za uhakika
Wabeba zege ni nyie msiofanya Graduation kubwa, kwa sababu uwezo hamna.... Sasa kama kaweza kufanya Graduation kubwa, anashindwa vipi kupata pesa ya Kufungua biashara ya maana.... Mwenye pesa ni mwenye pesa tu, acha kujifariji na maneno ya kimaskini,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom