kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Familia ya Rostam, Mwenyekiti Halmashauri ya Monduli kwenye kashfa ya rushwa

    Mdogo wa Rostam Aziz, Akram Aziz akishirikiana na Mwenyekiti wa Hamsahauri ya Longido, Thomas Ngobei, na yule wa Monduli, Kisioki Moitiko wanadaiwa kumwaga mamilioni ya fedha za rushwa ili kuteka maelfu ya ekari za ardhi ya Wilaya za Longido na Monduli mkoani Arusha. Akram ambaye pia...
  2. JamiiForums Tanzania Kama una pua kubwa utupishe.

    Haiwahusu wale wa POOR infrastructure.
  3. JamiiForums Tanzania Kuna siku mtasikia pesa imelipwa kampuni ya META ambayo inashutuma kubwa sehemu nyingi.

    Kwa kuwa mchakato bado ujamalizika na wengine wakisubiri juwa la jioni kuweka misamahaa yao kwenye vitabu. Kuna jambo mtakuja kubaki midomo wazi kuhusu META hii kampuni ya facebook na ubagazaji wa afrika kuficha maovu na nchi zinazo walipa mpaka urusi yupo,USA yupo,israel yupo,afrika ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wanywaji wengi wanapenda Serengeti Lager ndogo wakati kubwa ni rahisi zaidi?

    Hapa nilipo Serengeti Lager kubwa na ndogo zoto ni bei mmoja Tsh2500 ila ndogo ndio zinatembea zaidi, wanaokunywa kubwa wanahesabika!
  5. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Taifa ni kuu kuliko Rais; Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu na Bunge ni kuu kuliko Spika. Uzalendo ni kulipenda taifa sio serikali..!

    Katika demokrasia: 👉Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu. 👉Bunge ni kubwa kuliko Spika. 👉Taifa ni kubwa kuliko Rais. 👉Katiba ni kubwa kuliko chama tawala. Hii ni kwa sababu taasisi zinapaswa kudumu, wakati viongozi ni wa muda. 1. TAIFA NI KUBWA KULIKO RAIS Rais ni kiongozi wa muda. Taifa ni la...
  6. JamiiForums Tanzania Mama Anauza Sufuria 5 Kubwa za Chakula Kwa Siku: Halipi 100 Serikalini!

    "Mama Manyema" anayefanya biashara ya Chakula kariakoo, ana siri kubwa! 1. Hana fremu wala kizimba! 2. Hajapima afya kama miongozo ya afya wala hakaguliwi. 3. Haijulikani anapopikia kwakuwa huleta chakula kwa kirikuu na toroli/guta toka Temeke Sudani! 4. Mama hatoi risiti wala hana leseni ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Shetani anatumia mbinu kubwa 10 kutuangamiza

    Shetani anatumia mbinu kubwa 10 kutuangamiza Maandiko katika kitabu cha Zaburi 119:105, yanasema: “Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu”. Hakika tukilifahamu Neno la Mungu, hata tukifungiwa katika chumba chenye giza tukapewa mshumaa na Biblia tu, tutaweza kueleza mambo yote...
  8. JamiiForums Tanzania Kama Taifa tuna hasara kubwa sana kama wanasiasa hawatajifunza baada ya kuwaharibia vijana wa Serengeti boys

    Guys Huyu dada na akili mara mia ya Makonda. kiufupi Makonda ni empty head kabisa sijui huwa anatumia ubongo upi kutekeleza mambo yake. Mara nyingi amekuwa ni mtu wa papara na mipango mibovu mibovu kwa kweli kama Taifa tuna hasara kubwa sana. Acha tu Nchimbi aitwe YUDA maana namba moja...
  9. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= tu. Delivery...
  10. JamiiForums Tanzania Data Science: Fursa na umuhimu wake kwa vijana wa Tanzania katika enzi ya uchumi wa kidigitali

    Utangulizi Katika karne ya 21, dunia imeingia katika enzi mpya ya mabadiliko ya kidigitali (digital transformation). Kila siku, mabilioni ya taarifa (data) huzalishwa kupitia simu za mkononi, mitandao ya kijamii, benki, hospitali, biashara, mifumo ya usafiri, na hata mashine za viwandani. Hata...
  11. JamiiForums Tanzania Japo Nilikuwa Simkubali Baba Levo Kwa Uchawa Compared to ZZK, Leo Nimemsikia Bungeni, Kumbe ni Bonge la Kichwa, ni Akili Kubwa!, Nimememkubali Sana!.

    Wanabodi, Baada ya kuibuka kwa fani mpya ya uchawa, mimi nimekuwa nikiwaona machawa kama ni majitu fulani majinga zero brain!, nilipoangalia line up ya wagombea ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini, kupitia CCM, kulikuwa na very good big brain, siku ya matokeo ya kura za maoni ya CCM zikitangazwa...
  12. JamiiForums Tanzania Naombeni jibu: Je, viongozi wa harakati za uhuru wanapewa sifa kubwa kuliko hali halisi ya kisiasa iliyokuwepo wakati huo?

    Nikisomaga historia za uhuru wa nchi za Afrika inaonekana kwamba ilikuwa ni mapambano makubwa sana yaliyohitaji juhudi za ajabu kutoka kwa viongozi kama Julius Nyerere, Jomo Kenyatta na wengine wengi. Lakini nikiangalia kwa karibu, miaka ya 1950 na 1960 ilikuwa kipindi ambacho tawala nyingi za...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mfumo wa TBS unasumbua kutoa gari Bandarini, gharama zinakuwa kubwa na zinaangukia kwa mteja

    Mimi ni mmoja wa wateja niliyeagiza gari kutoka nje ya nchi. Gari langu limefika bandarini tangu wiki iliyopita, lakini hadi sasa halijatolewa kutokana na changamoto kubwa ya mifumo, hususan mfumo wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Kwa kweli hali hii inakatisha tamaa sana. Tangu mfumo huo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kosa kubwa alilolifanya Mwl Nyerere ni kusaidia mataifa ya kusini kupata uhuru. Mpaka leo hili kosa linatugharimu

    Pesa nyingi ilitumika kusaida nchi za kusini mwa Afrika na akasahau kabisa kujenga taifa lake. Watanzania waliishi maisha dhiki huku mataifa ya nje yakinufaika na kupata uhuru. Miaka 26 aliyetawala Mwl Nyerere aliiacha nchi hovyo kiuchumi na maendeleo. Naishia hapa....
  15. R

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amewataka wakuu wa mikoa Nchini kote Siku ya Jumanne, Juni 2, 2026 Kila Mkoa waweke Luninga kubwa ili watu watazame fainali ya michuano ya AFCON kati ya Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys na Senegal...
  16. JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  17. JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  18. JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  19. JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  20. JamiiForums Tanzania Jamii ya binandamu kusaidiwa kufikiri na akili mnemba(AI) siyo tu ni suala la maendeleo na teknolojia ila ni janga jingine kubwa la kibinadamu

    Maendeleo ya sayansi na teknolojia ni hatua muhimu sana kwa ustawi wa binadamu na ni njia rahisi ya kufikia malengo endelevu ya kidunia "'sustainable development goals" lakini lipo swali la kujiuliza nyuma ya yote hayo. Sayansi na teknolojia imechangia urahisishaji wa maisha ya binadamu kuliko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…