Kuna connection kubwa kati ya polisi na wezi ama matapeli

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,728
Reaction score
870,457
Sometimes unaweza kusema tofauti yao ni uniform tuu
Mwaka 2005 vibaka/wezi waliruka ukuta wakavunja mlango wakaiba jikoni na sebuleni kisha wakaenda kufanya karamu kwenye gari

Kulipokucha nikaenda police kuripoti, baada ya mahojiano askari akanijulisha kuwa wezi wangu wanatoka eneo fulani kutokana na nature ya wizi uliofanyika kwangu
Kumbe wezi nao wana speciality zao hawaibi tuu
Kuna wezi wa makundi
Kuna wezi jeshi la mtu mmoja
Kuna wezi wao huiba tv tu
Kuna wezi kwenye nagari wao huiba vipuri vya aina fulani tuu

Askari police wanajua kila kitu
Madalali ni akina nani na masoko yako wapi au tajiri ni nani.. Hata wanapokamatwa madalali kwa msaada wa matajiri ndio huja kuwawekea dhamana ama kumaliza kesi

Police wengi wako kwenye payroll ya hawa watu, kuanzia wauza mjani, machozi ya simba, sembe, matapeli mpaka wezi konki.. Kuna network kubwa Kati yao na ukiona mtu kakanatwa mpaka kahukumiwa kifungo ama hana connection au kuna mahali kaharibu
Ibiwa simu uone moto wake! Ukishataja aina na thamani.. Tamaa huwaingia.. Utalipa 50,000 ya kutrack, utalipa ya mafuta utalipa na ya mkononi
Simu itafuatiliwa na kupatikana.. Mwizi atatishwa na atawekwa lupango! Kishapo atatoa hela ataachiwa kwa dhamana
Baada ya hapo subiri danadana.. Tapeliwa pesa , police watakula kwako na kwa tapeli.. Atakayeishiwa ama atakayechoka kutoa hela ndio atakuwa mhanga!
Maranyingi thamani ya kitu/mzigo/pesa ulizoibiwa au kutapeliwa ndio kitakuwa kitanzi chako
Simulizi za kweli ni nyingi
Wauza madini wa mahenge waliokula shaba kipindi cha JK nadhani
Justine Kasusura aliyepiga usd million 2.. Walizikula mpaka walipoona zinakaribia kwisha ndio wakamkamata
Mifano ni mingi sana! Ushkaji na askari una maana moja tu.. Pesa! Always wewe ndio wa kutoa na yeye ni wa kupokea! Ukiwa na shida kile kinachoitwa msaada si lolote bali ni ununuzi wa huduma!
Na mama akikuona namna gani anajifanya hilo tatizo lako haliwezi bali mtu mwingine ambaye ataku connect naye! Wote ni walewale na lao ni moja!

Tunapoumaliza mwaka 2025 walichokifanya hawa ndugu zetu zile siku 5 za giza wajue KARMA ipo! Wengi sasa hivi wamejikausha utadhani sio.. Na wanachofanya sasa hivi ni unafiki mtupu
Je kuna haja ya kuwaombea?
1767096578908.jpg
 
Je kuna haja ya kuwaombea?View attachment 3522970
Kuna kaukwel... nahisi iyo jamii IPO kwa lengo la kuichafua mamlaka,
Ningetamani Mchengerwa baadae apelekwe wizara ya mambo ya ndani,au yule bwana mdogo Jerry Silaa, nadhani hawa watu wawili wangeleta nidhamu kwenye iyo taasisi, japo mmoja hapo watu wanamchukia sababu ya ujamaa na Number 01, ila mshkaji ni mtendaji mzuri sana.
 
Sikiliza hiki kisa

View: https://www.facebook.com/share/v/1DdN49scNB/
 
Hao ni uniformed bandits
Nakumbuka miaka ya ujana 2000s huko walinidaka Coco beach na demu kwenye gari wakanisachi wakachukua hela 120k mfukoni na kulazimisha niwape password kuchukua kwenye ATM pale Village supermarket
1990s tulivamiwa na vibaka usiku na wale vibaka wa fatuma wakaiba TV natoka nje polisi wako wananizuia nisiwakimbize na wao wamepoa tu
Inaonekana waliwapa escort
 
Back
Top Bottom