Kwa mtazamo wangu.
Huyu binti anachoangalia ni pesa anayopata bila kujali njia anayotumia kuzipata.
Asha Rose Migiro miongoni mwa waanzilishi wa Tanzania Gender Network Program (TGNP) akaja baadaye kupata teuzi enzi za Kikwete na hata kufikia kupata nafasi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa...
Wana Jf salaam
Nikipita pita kwenye mitandao naona wanaume wengi tunajifariji tukisema mwanaume anakubalika zaidi na wadada akiwa na miaka 30 kwenda juu, ila that's not a case, hata wanaume mvuto wetu huanza kupungua sana tukifika miaka 30+
Mwanaume utakua na soko kwenye miaka 30's kwenda...
Biashara ya ujinga ndo imetajirisha watu hapa Africa
The same person anachukua madini yako at lowest price Ila anarudi na msaada wa Vyandarua na Condoms na unampigia makofi na kuamini Una deni juu yake
Watu walewale waliowatesa babu zako na kukutengeza mifumo kandamizi ndo unaamini...
Ushindani michezo ya game miaka 80 -99 ulikuwa mgumu kwa kampuni ya sonny.
Walichofanya wao katika kifaa chao walitengeneza kwa bei kubwa na kuuza bei ndogo.
Kampuni za software za michezo zilivutiwa sana na ndio Playstation yenye michezo mingi ya game.
Kipindi chote waliwezaje kumudu leo...
Hili ni wazo langu kama mto Rufiji ulivyojengewa bwawa,hawawezi kuujengea na Mto Wami bwawa ili uweze kuhifadhi maji kipindi chote cha masika kuliko kuacha maji ya mvua yakipotelea baharini?
Nawakilisha,ikiwezekana hata maji ya mto Jangwani nayo yajengewe bwawa
October 29 shule za Msingi na zenyewe zilitakiwa zichomwe moto kama zilivyochomwa Vituo vya mwendo kasi, Shule nyingi za Dar ni mbovu zimechoka sana yani chakavu kama zingechomwa Moto na zenyewe zinge karabatiwa na kuwa mpya na madawati yange nunuliwa na Watoto wetu wange furahia mazingira...
Askari unapandaje daladala za jerojero?? Umeshindwa hata kununua ka IST asee .
Unatoka umepiga zako kumbati unaingia kwenye daladala za kulipia jerojero ni aibu.
Kushindwa ni pale tu tumekubali damu za ndugu zetu ziende bure......
UTANGULIZI
Sisi sio watu wa kuingia msituni (sio jambo jema) tunahitaji
1. mapambano ya ground, maandamano makubwa yenye idadi kubwa ya watu na sio jokes (mfano ubungo mpaka magomeni ikajaa watu hamna wa kuzuia)
2...
Wadau,
Tumeshuhudia aina mpya ya "Uhuru Day." Badala ya sherehe, miji iligeuka kuwa "Ghost Towns" (Miji ya Kimya), ikiwa imejaa wanajeshi na polisi. Hakukuwa na maandamano ya wazi kwenye maeneo mengi, lakini biashara zilisimama, na hofu ilitanda.
Uchambuzi wangu unaonyesha kuwa huu ulikuwa...
Majiji yote yalisimama. Hakukuwa na biashara yoyote ya maana, kuanzia maduka, usafiri na kumbi za starehe. Loss kubwa kwa MO29 ilitokana na kuzima internet, lakini D9 kila kitu kilikuwa paralyzed.
Upo uwezekano mkubwa sana ya kwamba serikali imepoteza mapato mengi sana jana kuliko kwenye MO29...
Wife ana mtoto wa miezi miwili leo sijatoka mida ya mchana akaniambia nibaki na mwanangu yeye akachukue mboga aje kunipikia chakula
Alivyoniachia dogo alikuwa katulia vizuri dakika tatu badae dogo akaanza kulia bembeleza wapi kidogo namimi nilie aisee mana sikuelewa cha kufanya nadogo analia...
Kwa mujibu wa juzuu ya Royal blue heating kama alivyoandika Mwandishi Hazel Montgomery inaonekana siyo katika filamu za kisayansi ila ni katika anga letu la kila siku kuwa juwa litaghubikwa na mwezi na mwanga wake utakuwa kama umezimwa.bkwa dakika kadhaa, joto la Dunia litashuka ghafla, jua...
Nina uchungu nalia hakika Leo hii angekuwepo Nyerere Angelia mara mia ya Mimi.
Kitendo Cha kusherekea uhuru wa miaka 64 paspo kwa kufungiwa ndani ni UPUMBAVU wa Hali ya juu mno.
Tunajiuliza tunapumzika Ili iweje?
Nauliza Kuna maana Gani ya uhuru ENDAPO tunaazimisha siku muhimu kama Leo paspo...
Baada ya Wananchi kuumwa na nyoka baada ya kupoteza wanafanilia pamoja na mali zao, wamebadilisha fikra zao na kuamua kulinda familia pamoja na mali zao badala ya kushiriki kwenye maandamano, idadi kubwa inasema haitaki kupoteza urithi wake wa watu na mali uliotafutwa miaka kenda iliyopita...
Kinachoendelea Tanzania ni mgogoro wa kikanda(East Africa) sababu kubwa ikiwa ni rasilimali zilizopo katika nchi hizo hasa pale DRC.
Kwa yanayoendelea Tanzania kutekwa mauwaji etc ni mbinu au mikakati ya ki-intellijensia ku- counterattack mipango ya ki-intellijensia.
Diplomasia ya awamu ya nne...
Nilitoa uzi kuhusu wikipedia kwa watu kama ni raisi utajua wasifu wake.
Ila wikipedia inamtambua kipindi kafa magufuri kushika nafasi tu na chini wakaandika machafuko yote ila wadau wengine wakajitokeza kusema wikipedia unaweza kuandika hata wewe.
Katika tovuti kubwa ukitafuta habari za...
Kwa wale wazazi kama una mtoto kuanzia 2020 kwenda mbele kuna kitu naona kwa vizazi kuwa generation hii inaweza na IQ kubwa sana ya utafakari.
Watoto 2020 wanaweza kushika simu yako wakafungua youtube na kukwambia muwekee katuni au kitu anacho penda.
Kitu chengine mzazi ukiwa muongo au mtu wa...
Hamjambo!
1. Nitaongea kidogo kifalsafa na kisayansi.
2. Kisayansi kuna law inasema survival of the fittest kwa tafsiri ya mwenye nguvu ndiye anaishi. Sikumbuki aliitoa Mwanasayansi Charles Darwin au Bwana Lameck. Kwa Wahenga wanasema Mwenye nguvu mpishe.
3. Nguvu ndogo haiwezi kuondoa nguvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.